Search results

  1. S

    Matokeo kidato cha nne 2009

    Kufunguka ndo kazi ngumu kwa sasa.
  2. S

    Ndoto za waliotutangulia wakati wa usingizi

    Wanajamii,ni nini chanzo hasa cha mtu kuota yupo na Marehemu wa karibu naye mfano baba,mama mjomba na wengine ambao walimtoka kama miaka zaidi ya kumi iliyopita. Na katika ndoto hizo mtu anakua anaisi kama anafanya nao kazi kana kwamba wako hai.Hii inatokana na kitu gani? na ni jinsi gani...
  3. S

    Juu ya OIC na Mahakama ya Kadhi

    kama ni kweli serikali imeridhia mahakama ya kadhi basi mwelekeo wa serikali yetu na watendaji wake sio mzuri Serikari kama serikali ikiamua na kutangaza kitu ni vizuri ikawa na msimamamo kuhusu ilichokiamua.tumeona bungu likiondoa misaada ya kodi kwa mashirika ya dini,kelele zikapigwa na...
  4. S

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Mweshimiwa MP umeandika ujumbe ambao ni mzuri na itakua busara kama maswali yako waeshimiwa wa jeshi la polisi wakiyajibu.Mambo ya kuonewa kwa waliopata ajari yapo apa nchini ila kwa kua watu uelewa wao ni mdogo basi wanakaa kimya tu na kukubali matokeo. Wewe ni msomi na unaijua sheria pamoja...
  5. S

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Wakubwa kiti kuonyesha kua mtu alikua amesinzia ni technologia gani iyo? Hata kama mchunguzi kasomea Uingereza, ni kwa nini tusiseme Mwakyembe alikua kalala make kuna tofauti kati ya kulala na kusinzia. Mtu anaweza kulaza kiti ili alale ila akawa ajasinzia. Mchunguzi wetu aliyesomea Uingereza...
  6. S

    CCM yanguruma Busanda; Wapinzani chali!

    tunashukuru mkuu. endelea kutupa habari. Asante sana.
  7. S

    Wanaume wababe

    Wapendwa wana JF. Ni kweli kwamba wanaume wababe sana kwenye sehemu zao za kazi mfano,walimu kwa wanafunzi wao,bosi kwa wafanyakazi wa chini yake,Viongozi wa siasa kwa wanachama wao na wengine wa namna iyo uwa ni wanyonge sana na watu wa kufokewa na wake zao wawapo majumbani kwao? Kama ni...
  8. S

    Ajali ya Dr. Mwakyembe na yatokanayo

    Basi kama ulikua ni mshituku Mungu amesaidia. Karibu sana Mwakyembe uendeleze libeneke.
  9. S

    Wmasai

    Hivi lengo kuu la ndugu zetu wa kabila la wamasai kungoa jino la chini hapo zamani ilikua ni nini? Maswala ya mila na desturi,afya au urembo?
  10. S

    Mtoto wa kitanga anahitajika!!

    Kaka njoo huku zenji ni wengi.karibu sana uwe shem wetu
  11. S

    Mauaji ya kutisha Mbeya

    Ukweli uko wapi? Tuthibitishie kaka.
  12. S

    Chenge ashikiliwa polisi kwa ajali ya gari iliyosababisha vifo

    Pole kwa wafiwa wote make uyo mkubwa chenge yeye ataendelea kula nchi kwani nchi yetu kwa kulinda wakubwa tunaijua. dito aliua wakapindisha mpaka Mungu naye kamchukua Ni lini mnyonge ataeshimika Tanzania hii? Watu tunashindwa kujitoa muanga kwa ajili ya wenzetu kisa kila mtu anajali maisha...
  13. S

    Waziri apanda kizimbani: ...Kisa cha SANGAM SECURITAS!

    Mkubwa wewe ni kichwa.(mbunifu mkali sana) Endelea kutoa changamoto zako.
  14. S

    Mawaziri waghushi vyeti

    Hayo ndo mambo ya Tanzania bwana.Lakini viongozi wakae chonjo make watanzania walioongozwa na baba wa taifa sio wa sasa hivi.Kwa sasa watu wanajua kinachoendelea ingawa shule za kubabaisha.Kufikia mwaka 2020 wabongo wengi watakua hawadanganywi tena.
Back
Top Bottom