Search results

  1. J

    INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine...
  2. J

    Shamba heka 8 linauzwa-Kisarawe

    Shamba / Eneo linauzwa hekari 8. Lipo Wilaya : Kisarawe Kata : Msimbu Kijiji : Mwanzo Mgumu Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka kijijini mwanzo Mgumu na ni dakika 10 kutembea mpaka shambani Barabara ipo mpaka shambani. Lina...
  3. J

    Laboratory Technical anahitajika

    Laboratory Technician anahitajika Awe ngazi ya cheti kutoka chuo kilivyosajiliwa na kinatambulika Awe na uzoefu usiopungua miezi 6 Awe na uwezo wa kumshauri mgonjwa (convincing power ) Afahamu kutumia vifaa vyote vya muhimu Centrifuge Water bath Urine analyser Esr Hbo analyzer Microscope...
  4. J

    Shamba linauzwa hekari 8

    Shamba / Eneo linauzwa hekari 8. Lipo Wilaya : Kisarawe Kata : Msimbu Kijiji : Mwanzo Mgumu Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka kijijini mwanzo Mgumu na ni dakika 10 kutembea mpaka shambani Barabara ipo mpaka shambani. Linafaa...
  5. J

    Msaada: Ununuzi wa Toyota Passo

    Bandugu amani na iwe nanyi, Ninaomba ufafanuzi wa gari aina ya Toyota Passo Ninatarajia kununua gari dogo kwa ajili ya safari fupi fupi, kuendea sokoni na kanisani, kwa makadirio weekly inaweza tembea 10 kmts Kutokana na hali ya uchumi nimeona gari ambayo naimudu bila kuadhiri budget ni Toyota...
  6. J

    Debate: Education is Better than Money:

    Habari JF GT Nakumbuka tukiwa sekondari tulikuwa tunafanya debate hoja "education is better than money" Makundi mawili tunabishania hiyo hoja: Naomba niwaulize nyie mliokuwa mnasuppot hiyo hoja tupeni mrejesho wenu tafadhali. Nauliza bado mmeshikilia msimamo huo huo?
  7. J

    Tanzania ninayotamani kuiona

    Tanzania Tanzania Nchi yangu Natamani kuiona Tanzania ikiwa na Viongozi mwenye maono, hekima,busara na fikra pevu. Natamani kuiona Tanzania yenye uhuru wa kujieleza na kukubaliana kutokukubaliana. Natamani kuiona Tanzania yenye amani ya kweli inayotokana na watanzania kuaminiana Natamani kuiona...
  8. J

    Tractor Ford 7610 Inauzwa

    Imported from UK - Ireland Refurbished 95 Horse Power Ford 7610 in Excellence Conditions Brand new tire, Never used in Tanzania Its very powerful Tractor registered no D Contact: Malisa 0783529108 Price TSh 45Milions
  9. J

    Natafuta Taasisi ya fedha inayotoa mkopo dhamana kadi ya gari

    Wandugu, naomba mwenye taarifa kwa anayefahamu taasisi yoyote ya fedha wanayoyotoa mkopo dhamana kadi ya gari. mkopo ninaohitaji ni kukuza mtaji na utarejeshwa ndani ya miezi 12 nimejaribu kutembelea bank kama CRDB, NBC, NMB, DCB, Access Bank nimekwama. Shukrani
  10. J

    Msaada: Jinsi ya kusajili kituo cha kutoa elimu

    GT, Wasalaam Naomba kujuzwa jinsi ya kuweza kusajili kituo cha kutoa elimu(institute) ya mambo ya ujasiriamali na kilimo Natanguliza shukrani kwenu Wasalaam
  11. J

    Tunahangaika kutafuta fedha watoto wetu nani atawalea?

    Maisha kwa sasa yamekuwa na changamoto nyingi sana hasa kwa wale wanaoisha Dar watanielewa zaidi.. Tunahangaika sana kutafuta hela na kuhakikisha watoto wetu wanapata mlo wa kila iitwapo leo.. Tunatoka nyumbani saa 10 Usiku watoto wamelala tunarudi nyumbani saa 4 usiku watoto wamelala...
  12. J

    Nimepotelewa na wallet vyangu

    GT Wasalaam Nimepotelewa na wallet yangu yenye vitambulisho 1. Driving Licence yenye jina la Jubilant Malisa 2. Eco Bank card 3. Kitambulisho cha kazi jina Jubilant Malisa Kampuni Africare 4. AAR Insurance card yenye jina Jubilant Malisa Kwenye wallet kuna business card yenye jina langu...
  13. J

    Nahitaji website designer

    Nahitaji Mtu wa website design kwa ajilli ya kutengeneza website yangu. Sharti: 1 awe amshawahi tengeneza website na anipatie links zake niwezeona kazi zake 2. Bei yake iwe inalipika mwenye ujuzi anipm kwa taarifa zaidi..Natanguliza Shukrani
  14. J

    Nakulilia Ewe Tanzania

    Ee Mungu, kumbuka yaliyotupata; Utazame na kuiona aibu yetu. Urithi wetu umegeuka kuwa mali ya wageni; Na nyumba zetu kuwa mali ya makafiri. Tumekuwa yatima waliofiwa na baba; Mama zetu wamekuwa kama wajane. Tumekunywa maji yetu kwa fedha; Kuni zetu twauziwa. Watufuatiao wa...
Back
Top Bottom