Search results

  1. J

    Wabunge kama hawasikii kilio juu ya HESLB

    Hivi Tanzania tunao wabunge au mabungo? Hutasikia chochote cha kutetea wananchi...wala wa kufungua mdomo.
  2. J

    Msaada kuhusu hili suala la mbwa kuua mwizi na mmiliki wa mbwa kufunguliwa shtaka la mauaji

    Tatizo sheria zetu ni zakikoloni sana zinahitaji marekebisho makubwa.. Kuwekwa ndani ni kwa ajili ya kupata taarifa na kufanya uchunguzi Mnachotakiwa ni kumtafuta mwanasheria na kumuombea dhamana wakati polisi wakiendelea na upelelezi wao.. Ila msiwe na shaka hatakuwa na shitaka la kujibu...
  3. J

    INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    www.lytemedica.com
  4. J

    INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine 4...
  5. J

    INAUZWA Nauza Vifaa vya Maabara ya Binadamu

    Umofia wana JF-GT, Heri ya mwaka mpya,, Nauza vifaa vya maabara ya binadamu hivi vinawafaa wanaopenda kuwekeza kwenye biashara ya Maabara (Diagnosis health center) Vifaa ni vipya kabisa na havijawahi tumika kabisa. Vifaa vilivyopo 1. Haemoglobin Tester 2. Microscope 3. Urine analyzer Machine...
  6. J

    Wakuu msaada tafadhali

    Nakushauri Silent Ocean ndio the best ...kama wao unawaona bei juu ujue hao wengine ni balaa... Pili bidhaa yako itafika kwa haraka na wanafanya home delivery kwa bei kidogo kabisa.... Kuna Mokha wapo jengo la ushirika Kilimanjaro Cargo.. Unaagiza mzigo January unafika December....
  7. J

    Wakati matajiri duniani wakitoa misaada kukabiliana na COVID-19, Mo Dewji yeye anauza vitakasa mikono

    Hayo ni mawazo ya kimaskini! We we kazi yako iwe ni kumjaza mimba mkeo halafu utegemee mo aje kukisaidia? Huu ujinga ndio uliojaa kichwani kwa Watanzania wengi. Tupambane kuzihudumia familia zetu... Mwanaume ni kubeba majukumu ya familiar yako... Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Niliwahi kuwa mkuu wa kitengo cha vinywaji harusini

    Hahaha umenifanya nicheke mpk machozi ur a very good comedian... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. J

    MAJOR GENERAL QASSEM SOLEIMAN: A Fully Trained Commando na mbabe katika medani ya vita eneo zima la Mashariki ya Kati na Afrika ya Waarabu

    Unabii umetimia hayo yalikuwa ni majibizano Kati ya General Qaseem Suleiman na General wa Jeshi la Marekani pale Qaseem alipomtukana Trump miaka 3 iliyopita Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Matokeo ya Darasa la nne 2019/2020

    Kuwa mpole mipango bado inafanyika Matokeo bado hayajatoka yanategemewa mpaka tarehe 20 yatawekwa wazi! Sent using Jamii Forums mobile app
  11. J

    Wazoefu wamikopo ya mabank nahitaji uzoefu wenu

    NMB wanatoa mkopo ndani ya Siku 7 za kazi Bila shida yoyote. 1. Lazima uwe na biashara ambayo umeishaifanya kwa muda was miezi 6 2. Uwe na ripoti ya fedha ya miezi 6 3. Uwe na hati ya nyumba Kama dhamana. Riba yao Ni 14% kwa mwaka sawa na 1.6% kwa mwezi. Kila la kheri
  12. J

    Hii Tabia ya Kupenda ligi barabarani

    Hahaha Ligi napenda kupita maelezo Natumia cresta ila nikiona Range, au BMW huwa na respect ila awe na Roho ngumu kwani naweza clock 180k/h hata 2hrs sijafikiria kurudi ukiwa mwoga kwangu usijae mbele Juzinimetoka Dar kuja Ar asubuhi mpaka nafika Moshi Nina faini ya 90,000 overspeed
  13. J

    Shamba heka 8 linauzwa-Kisarawe

    Kuna mto wa msimu ambao masika huwa unapitisha maji, sio lote tambarare kuna eneo la mwinuko Kama heka 4, maji hayatwami ila mvua kubwa zile za elnino mto ulimwaga shambani, give ur no nikutumie more pic on whatsapp Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Shamba heka 8 linauzwa-Kisarawe

    Shamba / Eneo linauzwa hekari 8. Lipo Wilaya : Kisarawe Kata : Msimbu Kijiji : Mwanzo Mgumu Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka kijijini mwanzo Mgumu na ni dakika 10 kutembea mpaka shambani Barabara ipo mpaka shambani. Lina...
  15. J

    Laboratory Technical anahitajika

    Laboratory Technician anahitajika Awe ngazi ya cheti kutoka chuo kilivyosajiliwa na kinatambulika Awe na uzoefu usiopungua miezi 6 Awe na uwezo wa kumshauri mgonjwa (convincing power ) Afahamu kutumia vifaa vyote vya muhimu Centrifuge Water bath Urine analyser Esr Hbo analyzer Microscope...
  16. J

    Shamba linauzwa hekari 8

    Mradi uko wa rea ila kijiji hapo haujafika Sent using Jamii Forums mobile app
  17. J

    Shamba linauzwa hekari 8

    Shamba / Eneo linauzwa hekari 8. Lipo Wilaya : Kisarawe Kata : Msimbu Kijiji : Mwanzo Mgumu Kuna mto wa msimu unapita mpakani mwa shamba Kutokea chanika stand nauli ya daladala ni Tsh 2000 mpaka kijijini mwanzo Mgumu na ni dakika 10 kutembea mpaka shambani Barabara ipo mpaka shambani. Linafaa...
  18. J

    Matajiri wanalipa kodi ndogo

    Uko Tanzania au wapi ndugu? Tafuta mtu kueleweshe maana ya VAT value added tax analipa nani? Pay as you earn analipa Nani? Investors wana tax exemption nyingi Sana na wameajiri makonsultant wa kodi hivyo pambana uwe tajiri ujitoe kwenye hicho kifungo! Sent using Jamii Forums mobile app
  19. J

    Kabla sijazaliwa Tanzania nilikuwa mzungu niliyeishi Marekani

    Bishororo: Tabia zako na jina lako ulilochagua linaweza likawa chanzo cha maruweruwe unayoyapata. Ila unachokipitia ni jambo ambalo walimwengu na wanasayansi wameligundua kwa mara ya kwanza 90 na bado wanalifanyia utafiti. habari yako sio ya kwanza nimefuatilia similar issue nilishangaa kwa...
  20. J

    Tuisaidie jamii iache tabia ya kulaumu na kutowajibika

    Hiyo imeshakuwa kama culture yetu Watanzania. Kwangu ni oja kati ya tabia ninazozichukia sana, binafsi huwa nawafundisha wananngu na wale wanaonizunguka kuwa wakweli na kukubali wajibu na kuwajibika
Back
Top Bottom