Search results

  1. N

    Happy Women's Day

    May God give you more wisdom and power, God bless you!
  2. N

    Anacheat lakini bado ana wivu kwa mkewe, si ubinafsi huu

    Sio mbaya mbona huulizi huyo anae mliwaza mume wa mtu, au nihaki mume kuliwazwa na nikosa mke kuliwazwa?
  3. N

    Mume wa ndoa kumshauri mke kutoa mimba....

    Ni kweli mkuu hapo panaonekana pana tatizo la system, tena wanaume wengi hawapendi wake zao watumie family planing. kuna hata wataalam wengine wa afya wanashauri mama asitumie family planing wakati ananyonyesha, hayo yote yanawachanganya sana wanawake ila kama mwanamke akili kumkichwa kwasababu...
  4. N

    Tamaa Itanimaliza Jamani

    Well said price, atumie akili kukataza kabla hajaingia matatizoni!
  5. N

    Dada huyu wa ITV (Magreth Cosmas) mwenzenu basi tu jamani

    Tyta upo juu sana mkuu, nilikua natamani sana kumuona mume wa huyu dada!
  6. N

    For those who fall in love with someone here

    Eiyer nikifuatilia coments zako hapa jf nikijumlisha na hiyo personality yako hapo kwenye avetor yeleuuuwiiii!
  7. N

    Is baby wipes safe for wiping vagina?

    Hata mimi nilikua nawaza hivyo!
  8. N

    Jamaa katembea na mama mwenyenumba kimenuka ushauri

    Huyo contrctor ana wake wawili tena nimtu wakusafiri halafu inatumia muda mrefu mpaka aje hapo kwa bimdogo, sasa huyo mke na yeye siametafuta mme wa pili ili kubalance mahesabu kwahiyo mwekundu si sawa kumwita huyo mama malaya hayawani. My advice usioe wake wengi kama huwezi kukubaliana na msemo...
  9. N

    Je ulishawahi kuwa kwenye mahusiano na mtu aliyekosea namba kwenye simu yako?

    Mimi sijawahi, ila mfanyakazi mwenzangu wa jinsia yakiume ameoa mwaka jana na mwaka huu mwanzoni wamepata baby gal, huyo mke wake walikutana that way!
  10. N

    Picha: Mkuu Muuza sura wa Jf...!!!

    Aisee kumbe na wewe ni "mkuu"
  11. N

    Nliwabamba lady doctor na Arushaone wakisalimiana

    Nibora wangesalimiana kwakupeana mikono tu, hivyo wameharibu kabisa maana ya kusalimiana kwa kukumbatiana. Watumishi bwana mbona hata neno linasema salimianeni kwa busu takatifu wao wanaogopa nini!
  12. N

    Mganga ajulikana kuwa na wake watatu baada ya kifo

    Sijui kwanini waganga mara nyingi utasikia alikufa gafla
  13. N

    Tulikuwa tukichat tu, tumekutana na kufahamiana leo na leo leo tumezini.

    kweli wewe mjanja wa town, sasa haujajiuliza kama wewe upo sawa kichwani kukutana na mtu siku ya kwanza tu na kumuomba!
  14. N

    Tofauti kati ya msichana na mwanamke

    mwanamke ni binadamu mwenye jinsia ya kike na msichana ndio wale kwa kizungu wanaiwa ma teenager yaani 12yrs to 18yrs
  15. N

    Hivi wanaume wote wako hivi?

    KIRANGWA uposahihi nahisi baada ya watoto kuwa wengi na mkewe kuwa ni mjamzito wa miezi miwili sasa yuko njia panda anawaza kuongeza bibi mwingine ndio mawazo yayomkosesha amani, jitahidi mkuu kama dini inaruhusu na uwezo wa kifedha umesha declare kwamba sio mbaya, ongeza ila uwe makini nahuyo...
  16. N

    Anasemaje hapa?

    Weweeee! Usinitishie na vibuyu vyako sikuogopi jombaa!
  17. N

    Kutoa shilingi na Kushikiria mshahara wa Waziri

    Wanasemaga wanatoa shilingi kwenye mshahara wa waziri! Sijui akishatoa inaefect gani kwa waziri!
Back
Top Bottom