Search results

  1. Salas

    Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    hio ndio clue ya kufuta uvumi wa kifo cha kisiasa au kimaslahi. Daah common sense is no longer common
  2. Salas

    Bunda: Mwili wa Samson Josiah, mmiliki wa mabasi ya Super Sami waokotwa mto Ndabaga kwenye Kiroba

    Huyu alikuwa chama gani kwani? Wanaomfahamu watueleze alikuwa anataka ubunge au nafasi ya kisiasa? Na je anahistoria gani nyuma ya utajiri wake?
  3. Salas

    Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

    huu ni uongo nimesafiri na bombardier zaidi ya Mara kumi mpaka sasa hilo la hali ya Hewa kuzingua Ndege itatikisika tu. Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni
  4. Salas

    Nimekubali kwamba Magufuli kapanyoosha Bandarini DSM

    Acha ukabila wewe ndio maana utakufa maskini invest in education you will see the difference, uliza ni wachagga wangapi wana degree, masters na PhD. Uliza ni wachagga wangapi wako nnje ya nchi, elimu elimu elimu,
  5. Salas

    Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    Unatuma tu stress code jamaa wanabadilisha password then hata na wewe unakuwa hujui mpaka utakavyokwenda physically
  6. Salas

    Polisi wajipange na kazi ya kuzima moto kuliko kupiga watu

    September kwa mujibu wa unajimu ni mwezi wa uchomaji, nashauri polisi kukifanyisha kikosi cha zimamoto mazoezi! September mosi kwa intelligensia ya kawaida ni uharibifu mkubwa
  7. Salas

    Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Huu ndio mwanzo wa mwisho wa ngosha
  8. Salas

    Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Hahahha mkubwa kafikwa
  9. Salas

    Serikali mbona kimya shule binafsi?

    Katika hali ya kustaajabisha jipu tambazi la ada za private school limeshindikana kutumbuliwa. Huu ni mwanzo mbaya au dalili za kuanza kushindwa kwa kasi ya mabadiliko ya kudandia. Serikali ilijipambanua Ifikapo December 15 wangekuja na Muongozo lakini hakuna kitu. Hakika mabadiliko bado...
  10. Salas

    Wamiliki wa shule binafsi kutofungua shule zao

    .... Feza boys si ndio anasoma mtoto wa nani vile hahahahah shikamoo kazi tu 9M
  11. Salas

    Moyo unauma, nahitaji ushauri wenu wana JF wenzangu

    Tatizo mnawalea vibaya wewe kanunue determine au unigold mpime ngoma, then hakikisha una KY pasua jicho walau utoe iloyobakia kama ipo. Ila hapo kuna mwanamke asiye na maamuzi..... Toa namba tukusaidie kutunza bila wivu
  12. Salas

    Makubwa yaibuka baada ya kutega camera ya kalamu chumbani

    Wewe sema tu mkeo ametifuliwa. 713 kiroho safi maana ulitega kwako
  13. Salas

    Serikali kuzuia shule binafsi kupandisha karo ni njia sahii ya kuboresha elimu?

    Nachelea kusema mtoa mada anaisoma namba na bado ada elekezi 150000, day na 300000 boarding hutaki unaacha
  14. Salas

    Standard fee structure for private schools coming

    Honestly it doesn't add up nursery 2m University fees 1M for a year! Na iwe tu hata elfu hamsini
  15. Salas

    Nazidi kupoteza imani na Lowassa kuwa Rais wa taifa hili

    Waliofaa wametufikissha tulipo huyu ambaye hafai ndio tunamtaka
  16. Salas

    Dr. Slaa kuzungumza na Vyombo vya Habari, Serena Hotel - Septemba 1, 2015

    ...kama watu waliweza kusaliti upadri hio nyingine mbona sio issue kabisa... kanyaga twende !
  17. Salas

    Diamond, ni nani kakwambia Sumaye na Lowassa ni kabila moja?

    sio account ya diamond
  18. Salas

    CHADEMA imepona, CUF itapona? Mchezo wa uwezo wa ujasusi unaendelea!

    ...cover blown....and Jason Bourne is ....................
  19. Salas

    Kwanini nitampa kura yangu Lowassa Oktoba 25

    Ntampa kwasababu ni mwizi like serious i will vote for lowassa simply because ni mtuhumiwa ufisadi....wasafi wametufikisha wapi
Back
Top Bottom