Search results

  1. Lady Masai

    Ukimpata wa aina hii andika maumivu

    sasa haya mambo yanazidi kuwa magumu unakutana na kila mwanaume ni kukusifia tuu umbo lako zuri sasa tutabaki single mpaka lini?
  2. Lady Masai

    Wanawake walio wengi huvutiwa na wanaume warefu

    urefu ama ufupi unahusika vipi wajameni kwenye mapenzi? hizo mara mwanaume mrefu for show off and what is the outcome of that show off?!
  3. Lady Masai

    WARAKA: MMU members, kwa wanaotaka kuoa au kuolewa

    mnatuogopesha sasa eeeh Mungu atujalie wenzi wenye kumhofu yeye na mazuri mengine yatafuata
  4. Lady Masai

    Nataka Kuoa Nitulie, Msaada Please

    mke mwema hawi determined by mkoa wala kabila ni yeye mwenyewe hilo swala la mkoa gani, duuuh.....
  5. Lady Masai

    utachukua uamuzi gani

    kweli inaweza kuwa ngumu kumbadilisha kwa sababu ni mpaka atambue ndani ya moyo wake kwamba anachokifanya sio sahihi lakini kubadilika kwa kuambiwa its kind of hard!
  6. Lady Masai

    Natafuta mwanamke mtu mzima

    mmmmh!
  7. Lady Masai

    Kubaka kwa style hii ni kosa?

    ni bora amweleze mkewe ajiulize pia kwanini housegal kamtaka? ukute ana yake ni bora ayamalize na mkewe
  8. Lady Masai

    mwanafunzi aliyemaliza udsm

    nadhani huyo hawakilishi UD hizo ni personal traits zake
  9. Lady Masai

    To UDSM cass students...

    wataongeza tu muda wana huruma kweli maana kuna watu bado hawajapata ada hali ngumu huko vijijini.. hata ada wanasemaga kusain mwisho zitarudishwa bodi ila bado wanaongezaga muda
Back
Top Bottom