Search results

  1. sexologist

    ITV hapa mlikuwa na maana gani?

    Kwel we Sexer
  2. sexologist

    Dk. Slaa atikisa

    Mkuu salamu kutoka kwa Strong woman... Back to topic... Slaa hatoki chadema.. Cc: masai dada kwa ukumbusho..
  3. sexologist

    Kulea nikazi sana: Kitu ambacho wazazi hawawezi kusema

    Mkuu umewahi kujifungua mtoto??
  4. sexologist

    Ushauri: Nataka kwenda Nigeria

    Hapana simaanishi hivyo... Kama una ushauri please, please nijalie..
  5. sexologist

    Ushauri: Nataka kwenda Nigeria

    Hamjambo? Husika na mada tajwa hapo juu, nimeona changamoto za maisha zimekuwa nyingi sana. Sasa nimeamua na mimi niende Nigeria kutafuta utaalamu wa kienyeji nifanikiwe zaidi kifedha. Tafadhari mwenye uzoefu na hiyo nchi aniambie pa kuanzia, yaani nauli, viza, accommodation, mahali...
  6. sexologist

    BBC, DW, VOA, Aljazeera yamtangaza Lowassa dunia nzima

    Mitaa yote ya Paris St Germany, Aston Villa, Chelsea, Bayern Munich, Liverpool, Manchester, Arsenal Wenger, West harm, NBA, Barcelona, Real Madrid, David Beckham, UEFA n.k Yooote ilijaa watu kwenye big screens kushuhudia ujio wa Lowasa ukawa.
  7. sexologist

    15 Signs a man has low self esteem

    Mi sijaelewa... Aliyeelewa anitafsirie.. Cc masai dada
  8. sexologist

    CCM kufanya press conference kesho

    Mtajwa hapo juu ndio naani? In Joti voice..
  9. sexologist

    Hotuba ya Mhe. Mbowe ina ubora kuzidi hotuba zote tangu mwaka 1995!

    Mkuu umehemewa na nani??? Nway viva viva ukawa.
  10. sexologist

    Kutoka Bahari Beach Hotel: Yaliyojiri katika Mapokezi ya Edward Lowassa kujiunga CHADEMA

    Samahani wewe na wengine kama ntawakwaza, ila mzee HAJARUDISHA KADI ya CCM. Nna wasiwasi.
  11. sexologist

    Joyce Kiria na akaunti yake ya Facebook

    Malaya haachi umalaya mpaka wammalaye upande wa kimalaya..
  12. sexologist

    Mwanaume unashindwaje kumaliza sahani ya wali?

    Hao ni wanaume wa Dar, sio mimi na wenzangu wa kanda ya ziwa..
  13. sexologist

    hii beach iko wapi?

    Iko beach Mkuu....
  14. sexologist

    Upepo umegeuka, Marafiki wa Lowassa wapinga swahiba wao kwenda CHADEMA, Apson Matatani

    Hamjui mgeja.. Kuna watu wana hisa kwenye migodi mikubwa nchini.
  15. sexologist

    Rais Kikwete apigiwa Simu ya Dharura arejee Ofisini

    Achana nae huyo ngoja lowassa aingie apigwe chini yeye na wakuu wenzake wa wilaya. Pia si alimtukana lowassa huyu..
  16. sexologist

    Tulioenda Dodoma ndiyo tulioshuhudia nguvu ya Edward Lowassa! Ana mikakati mizito!

    Potelea mbali, utapata majibu ya hisia tu bila facts.. Mi nna uchungu na familia ya kwanza... Ifirisiwe.
  17. sexologist

    Milioni 5 hii hapa, nipe kiwanja Dodoma mjini

    Mkuu vipi kwa Nachingwea? Kipo km 5 toka mjini yaani center. Unapata kwa 4.8m.. Ni 25*30m.
  18. sexologist

    Mtangaza nia wa ACT Wazalendo ni udhalilishaji mwingine kwa taasisi hii ya Urais

    Aiseee upo we Mkuu... Kitambo hii id haijatumika..
Back
Top Bottom