Search results

  1. Vato

    Wanaoomba kulipiwa mahari Al Hikma wafika 1,000, wapo wanawake, wanatakiwa 50 tu

    Ila KIUME, ni bora uende ukweni na kitu kidogo, uwaambie hali tete wakuvumulie upambane kutafuta mahari ukipata utalipa kilichobaki. Hii ya kulipiwa mahari imekaa kiboya sana. Kama umeshindwa kupambana kupata mahari, utaweza kweli kupambana kulisha mke na mtoto? Hata kama mnapendana kiasi gani...
  2. Vato

    Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    [emoji1][emoji1] matusi ya nini sasa. Wewe si unajua sheria na unapenda haki? Nenda kaonyeshe utu na umahiri wako mahakama ya rufaa, kama huwezi funga bakuli lako cuz whinning like a little girl hapa JF wont do any justice kwa huyo unayesema ameonewa..
  3. Vato

    R. Kelly alificha historia yake mbaya isijulikane, Mahakama yaambiwa

    Mfano mwingine Kelly alifunga ndoa na Aaliyah kupindi Aaliyah akiwa under age. In a whole universe ni Tanzania tu ambapo mtu anaweza kubishia tafiti na hata hard facts kwasababu akili yake inamtuma kuamini vinginevyo..
  4. Vato

    R. Kelly alificha historia yake mbaya isijulikane, Mahakama yaambiwa

    Ishu ya Kelly haihusiani na racism ya Criminal justice system ya Marekani. Kelly hayuko matatizoni kwasababu ya rangi yake, yuko matatizoni kwasababu amebaka watoto tena wengine wengi wakiwa weusi wenzake, na ushahidi upo. Ni pedophile. Anapaswa kufungwa.
  5. Vato

    R. Kelly alificha historia yake mbaya isijulikane, Mahakama yaambiwa

    Its disgusting, wanaleta mapenzi ya mziki kwenye maisha ya watu..amebaka, ameharibia watu maisha halafu watu wanamtetea kwasababu alikuwa anaimba vizuri..
  6. Vato

    Afungwa miaka 20 kwa kuwadhalilisha kingono Watoto

    ..kamsaidie kukata rufaa..
  7. Vato

    Hatua gani stahiki za kuwakabili Panya Road?

    Dawa ya Panya Road ni KUWAUA mara baada ya kuwakamata. Crackdown kama ya Duterte kwa wauza unga. Au Kama tulivyofanya kule Rufiji. Katika muktadha mpana, tatizo la panya road msingi wake ni Family Dysfunctions. Yaani Familia kupoteza muelekeo, na kushindwa kutekeleza wajibu wake wa kuchunga...
  8. Vato

    Hashimu Rungwe: Magufuli alikuwa anaimba viwanda lakini hakujenga hata kimoja

    Katika mfumo wa Uendeshaji uchumi wa Soko Huria dhima ya kujenga viwanda sio ya serikali, ni ya sekta binafsi. Serikali kazi yake ni kuweka institutional frameworks nzuri kuwezesha sekta binafsi kuwekeza.
  9. Vato

    TRA koma kuwadai wafanyabiashara Kodi za miaka ya nyuma except mwaka jana tu

    Kwani kipindi kile Magufuli alipofuta kodi za kipindi cha nyumba baada ya kukutana na wafanyabiashara alitumia utaratibu gani?
  10. Vato

    Serikali isiruhusu wavunja sheria za nchi (wahuni) kutamba. Wamasai wa Ngorongoro wafurushwe

    Haijalishi wameanza kukaa lini. Ishu ni kwamba wapo kwenye eneo la hifadhi. Uwepo wao na mifugo yao hakuna faida yoyote kwenye ecosystem ya hifadhi, zaidi zaidi in long run kunaleta competition for resources kama ardhi na malisho. Wawe relocated. Serikali, kwa maana ya umma ndio mmiliki wa...
  11. Vato

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Na hicho ndicho kinachotakiwa. Na huo ndio muarubaini wa hilo tatizo. Desperate times calls for desperate measures.
  12. Vato

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Exactly. Kamata, Kichapo, Ua. Kamata, kichapo Ua. Kama alivyofanya Duterte kwa waZungu wa Unga. Mambo kama haya hayataki sijui eti Diplomasia, Hotuba kwenye vyombo vya habari, sijui innocent until proven gulity, sijui haki binadamu. Mtu anapoamua kujitoa akili na ku destabilise amani ya nchi...
  13. Vato

    Panya Road waibuka tena Buza, wajeruhi watu na kuchoma mtoto Bisbisi ya kichwa

    Dawa ya makundi haya ya kihalifu ni moja. Kuwaua. Kwamba wakikamatwa 18, angalau nusu wauawe. Ama wananchi, au polisi wawaue watoto hawa. Kuwakamata, kuwafungulia mashtaka, kuwafunga, kuwatisha kwa kuwakemea kwenye vyombo vya habari ni hatua za kipuuzi ambazo hazi saidii kukomesha vitendo...
  14. Vato

    Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    Umeongea vyema. Huyu jamaa ni mjinga sana, kwasababu anafanya generalizations za kipuuzi kabisa bila kujenga hata hoja moja tu ku justify anachoongea. Tukirudi kwenye facts Kifo cha Magufuli watu waliomboleza mpaka nje ya Nchi. Mbali ya kifo cha Nyerere, Hakuna tukio la kitaifa lolote...
  15. Vato

    Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    Wewe ni mpuuzi sana mkuu. Magufuli alikuwa ni Anti-elite. Kwa tafsiri nyingine, unaweza kusema alikuwa populist. Huwezi kumkuta hata mara moja Magufuli anazungumziwa vizuri kwenye corridors of power, kwasababu agenda yake haikuwa aligned na agenda ya Elites Interests/ The Establishment. Magufuli...
  16. Vato

    Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    Katika kipindi cha awamu ya tano kulikuwa na remarkable changes kwenye utoaji huduma ktk civil service offices. Generally speaking Rushwa ilipungua, na speed na ubora wa utoaji huduma viliongezeka. Kwa mara ya kwanza, baada ya muda mrefu, ile dhana ya cheo ni dhamana ilihuishwa, na ilionekana...
  17. Vato

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aagiza Wabunge wote waelezwe kinachoendelea Ngorongoro

    ..acha makasiriko na ujinga mwingi..
  18. Vato

    Serikali: Ardhi ya Tanzania ni mali ya Umma siyo ya Kabila moja, Katiba imemkabidhi Rais wa JMT aisimamie

    Haki za indigenous people zina Mipaka na Exceptions. Pale Ngorongoro haki za Wamasai juu ya Ardhi wanayoishi zina mipaka ndio maana sheria imewapa limitations kwenye uendelezaji wa makazi yao na ufanyaji wa shughuli zao za kiuchumi. Hiyo ni kwa maslahi ya vizazi vya sasa na vya baadae. Katika...
Back
Top Bottom