Mkuu kuwepo kwa haya mambo hakuondoi ukweli wa uwepo wa watumishi wa Mungu wa kweli. Ndo maana kila Mkristo anapaswa kuwa na Biblia yake mwenyewe asome na kuona kama kweli anachoambiwa ndivyo kilivyo. Tatizo wana-Adamu wengi tunapenda kusikia story bila kuchunguza maandiko.
Naona unaamua kujitoa akili, Waziri mkuu na Raisi hawajui? Raisi ni mwalimu, anashindwaje kujua changamoto hizo wakati hapo hapo Dar es salaam kuna wanafunzi hawana madawati? wanasoma kwa kubanana?
Shida ya nchi yetu ni vipaombele vya Taifa hatuna, kote kote tunapapasa na mbaya zaidi huyu...
Ujinga wa watanzania baadhi ndo uko hapo. Hujatuma maombi ushaanza negativity ilihali applications zinafanyika online, kama wewe unajikubali kwa uwezo wako kwanini uwaze watu wengine kuwa wameajiriwa na wakati nafasi imetangazwa. Au unahisi kila sehemu ni Serikalini?
About Fides Tanzania Ltd
Fides Tanzania Limited is a cut flowers company situated near Tengeru, about 17km from Arusha town. Fides Tanzania is one of the subsidiary of Dümmen Orange, the world’s largest breeder and propagator of cut flowers, bulbs, tropical plants, pot plants, bedding...
Ulishawahi kujiuliza kwanini upepo unajulikana upo ilihali hujawahi kuuona?
Ukiona miti inaanguka, nyumba zinaezuliwa etc unajua ni upepo umepita.
Halikadhalika kwa MUNGU.
Mungu yupo kwa hakika kutokana na kazi zake, Nikiona mtu kama wewe najua yuko mwanzilishi wa binadamu na huyo ndiye MUNGU.
JIna la Waziri linaonyesha amekulia vijijini lakini anajifanya kasahau kuwa huko mtandao mmoja baadhi ya maeneo haushiki na pia internet kasi yake inatofautiana toka mtandao mmoja kwenda mwingine. Bila kusahau makampuni ya simu yanauza simu za smart zikiwa na upande mmoja ambao ni sharti utumie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.