Naona wamepata mpiga debe kule instagram anaitwa mangekimambi huyu alikuwa ni wa kwanza kumchagua magufuli leo anajifanya ukawa damu sijui ni ule ubunge aliopishana nao policy orstebay pale ha ha ha ha
huwa sielewi kelele kwenye maombi kwani hakuna kuabudu bila makelele kwani mungu anataka kelele mimi huwa naona ni watu waliochanganyikiwa tu na maisha mbaya zaidi hakuna siku au muda maalumu wa kuabudu maisha ya sasa ni ukichaa then akili zimevurugika na hayo makelele.
tatizo la ubungo wabunge wote wanaopewa wakishapata hawana time na wananchi kilichobaki ni kurudi ccm tu nakumbuka hata alipokuwa keenja hakukuwa na shida ya maji lkn yalipoanza mambo ya upinza ikawa shida sasa maji hayaonekani na matatizo mengine ndio kama hayo ya mambo ya usafiri na wabunge...
naomba kujua watajuaje kama cd4 zipo chini manake kwa sasa wameacha kupima cd4 ila wanapima viral load tu, na pia tusichukulie ukimwi kama issue sana kwa sasa tuangalie cancer na sukari zinavyomaliza nguvu kazi wa tz tuache kukremu ujinga kila siku ukimwi sio issue tena bado kidogo tu tutaambiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.