Search results

  1. the boss13

    Desktop computer

    natafuta desktop computer flat iwe katika hali.nzuri ram iwe at least 2gb hard disc 80 na kuendelea bajet yangu ni 200,000 mwenye nayo ani pm
  2. the boss13

    Naweza kusoma China huku nafanya Biashara

    wadau naomba msaada kwa anaejua mwaka huu natarajia kwenda kusoma degree yangu ya pili( masters ) huko china nimeshaanza michakato ya kwenda huko je kwa mwenye ufaham.na china.opportunity gany naweza faidika nazo kwa.mimi kuwa kule na kiu sana ya mimi siku moja.kuwa mfanyabiashara mwenye...
  3. the boss13

    Msaada

    hivi Tcc internship zao huwaga wanalipa msaada tafadhali wana jamvi.mim ni graduate wa mwakaa huu .thanks
  4. the boss13

    Msaada

    hivi Tcc internship zao huwaga wanalipa msaada tafadhali wana jamvi.mim ni graduate wa mwakaa huu .thanks
  5. the boss13

    Msaada jamani hi kampuni niya ukweli

    SOCIAL CREDIT COMPANY ni Taasisi ya kifedha inayohusika na utoaji mikopo nafuu na isiyokua na riba kupitia mfuko maalum uitwao Social Credit & Loans kwa dhumuni la kuwawezesha wajasiriamali wadogo na wakubwa nchini Tanzania kwa kuwapatia mikopo ya pesa kwa lengo la kumuinua kiuchumi...
  6. the boss13

    Msaada please

    Jamani mimi ni graduate mtarajiwa sasa nimejaribu kucheki matangazo mengi kuhusu nafasi za kazi nyingi ninaweza ku aply lakini tatizo nyingi zinahitaji experience wadau za kama si 3yearz ni mor than that sasa ni aply wadau au inakuwaje apo msaada pleaz
  7. the boss13

    Na mimi nko huku

    wadau wa jf naomba mnipokee nimejiunga kwa ajili ya kushea different ideas na kuwa updated na mambo mengi,,,,, jf z the soln Naomba kuwasilisha wana jamvi
  8. the boss13

    Na mimi nko huku

    wadau wa jf naomba mnipokee nimejiunga kea ajili ya kushea different ideas na kuwa updated na mambo mengi Naomba kuwasilisha wana jamvi
Back
Top Bottom