Search results

  1. J

    Riwaya: Ant Ezekiel

    Ni nzuri ila ndio kama kawaida ya humu simulizi kuendelea ni kwa kusuasua
  2. J

    Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    hahaaaa..!!! Mkuu nina mb za kutosha.Nikicheza kwa kawaida halina tatizo ila nikichakachua kwa L.patcher, ndio linaandika ujumbe huo
  3. J

    Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    Mkuu Kibajajitz msaada wako naona kila nikijaribu nachemka
  4. J

    Zipi ni Games nzuri za magari na mpira kwenye smart phones

    wakuu nimefuata process zote kwa game la D-day frontline-commando, ila mwisho nikifungua linashindwa kufunguka unatkea ujumbe "Download paused because wifi is unvailable".Msaada wenu wakuu.
  5. J

    Meya wa Bukoba Dr Anatory Aman awekwa ndani kituo cha polisi Bukoba

    Wewe hujauliza swali kwakutaka kujua ila kwa kulaumu
  6. J

    Meya wa Bukoba Dr Anatory Aman awekwa ndani kituo cha polisi Bukoba

    Acha kukariri kwamba kila wanachofanya Polisi wanakosea au wanamuonea mtu, acha mawazo mgando.
  7. J

    Nashindwa ku-play video za kwenye blog kwenye Nokia X, Naomba msaada

    sawa mkuu ila niki-play inagoma nakusoma "can't play this video"
  8. J

    Nashindwa ku-play video za kwenye blog kwenye Nokia X, Naomba msaada

    Wakuu simu yangu inatatizo laku-play video kutoka ktk blogs mbalimbali. Mwenye suluhisho wa tatizo hili msaada tafadhali.
  9. J

    Msaada tatizo kuhusu Nokia X

    Wakuu simu yangu inatatizo la ku-play video kutoka ktk blogs mbalimbali.Tafadhari mwenye suluhisho naomba msaada
  10. J

    Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Asante Mkuu nitampigia
  11. J

    Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Nashukuru sana mkuu kwa msaada wako.
  12. J

    Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Mkuu hao mawakala wanapatikana hapa Dar?
  13. J

    Nahitaji kubadilisha touch screen ya Samsung s3

    Wakuu juzi kati nimedondosha simu yangu bahati mbaya imevunjika Screen tachi. Je naweza kuipata wapi na gharama yake ikoje? NB: Simu bado inatumika kama kawaida ila muonekano wake sio mzuri.
  14. J

    Download Gospel Music mp3s

    Ubarikiwe na Mungu
  15. J

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Mpira umekwisha matokeo 2,2
  16. J

    Tanzania National Football Team (Taifa Stars) | Special Thread

    Dakika saba zimeongezwa,Ngasa ameingia Ulimwengu ametoka.
  17. J

    Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    kificho anachukua nafasi yake
Back
Top Bottom