Search results

  1. uzeebusara

    Plot4Sale Nauza kiwanja kipo Kidete, Kibugumo, Kigamboni

    Habari wana jukwaa! TAARIFA: KIWANJA KIMESHAUZWA Note: admin sijaelewa kwa nini tangazo la kwanza mmelifuta. Tafadhali naomba msifute au laah niambieni nakosea wapi Nauza kiwanja changu kipo eneo la Kidete, Mtaa wa Kibugumo, Kigamboni. Kiwanja kinafikika kirahisi sana kwa anefahamu njia ya...
  2. uzeebusara

    Computer4Sale Nauza Laptop HP Elitebook folio 1040

    BIASHARA IMEFUNGWA: LAPTOP IMEUZWA Ahsante kwa kupitia tangazo Habari zenu! Nauza laptop mali yangu mwenyewe haina dalali yenye maelezo haya: Aina: Hp Elitebook Vpro Folio: 1040, touch screen Processor: core i5-5300U Speed: 2.30GHz RAM: 8GB Storage: 256SSD Umbo: Slim (kg 1.5 weight) Rangi...
  3. uzeebusara

    Nahitaji "android screen lcd repair"/kioo

    Habari wanajamii Naomba kujuzwa bei ya kioo cha android screen lcd inch 10, kwn inaonekana kama touch imekufa. Hii ni kutokana na kutofanya chochote ukikigusa, ila ukitumia mouse, ipo vema. Naomba 1. Kujua bei yake 2. Mahali ntapata 3. Gharama za ufundi Kama unacho nicheki PM
  4. uzeebusara

    Ufafanuzi: Toyota Harrrier yenye yenye uwezo wa injini 2490 ie cc 2490

    Habari zenu, Natumai tupo poa. Naomba ufafanuzi wa Toyota Harrier yenye injini model no. MCU30 kuwa na injini capacity 2490 nimeiona mahala. Kwa sababu nimezoea kuziona Toyota Harrier za 2AZ ambayo inakuwa na cc 2360 na 1MZ inakuwa na cc 2990 (nirekebishwe kama nimekosea). Nimekutana na hii...
  5. uzeebusara

    INAUZWA Nauza friji iliyotumika

    Habari zenu Nauza friji hii iliyotumika almost miaka 9 hv Sifa zake: 1. Rangi nyeupe, ila vema ukiirudidhia rangi 2. Ni kubwa 3. Aina ya Bosch 4. Inafanyakazi japo ufanisi umepungua kiutendaji 5. Inafaa sana kwa watotoleshaji mayai ya vifaranga ie incubator baada ya kufanya modification 6. Nauza...
  6. uzeebusara

    Nahitaji kioo cha simu: Samsung Galaxy Note 10 Plus

    Habari zenu! Nahitaji kioo cha simu yangu aina ya Samsung Galaxy Note10 Plus. Simu ilianguka ikagonga sehemu ktk kona ya kulia upande wa chini. Sasa baada ya tukio hili natumia peni tu kimatumizi inakubali lakini kwa vidole haikubali. Kuna mtu alinishauri nitafute used kuliko kuagiza akidai...
  7. uzeebusara

    Je, unaweza kufunga sports rims size 20 ktk Toyota Mark X?

    Habari zenu Wakuu, Naomba kuuliza. Je sports rims size 20 ikiwa na tyres size 225/35/R20 unaweza kufunga ktk gari aina ya Toyota Mark X baada ya kuiinua kwa kuweka 'spacer mm10' na iwe vema barabarani hata ukiwa katika mwendo mkubwa? Naomba kupata ushauri kwa wataalam na mafundi wa magari 1...
  8. uzeebusara

    Basi zuri la kwenda Kagera

    Habari zenu Naomba kujua basi zuri la kwenda Kagera/Bukoba ni basi lipi. Pia ntashukuru kama nitaambiwa nauli, muda wa kutoka hapa Dar na kufika huko na lolote la ziada ambalo ni muhimu NB: Usiniambie nipande ndege najua zipo lakini nina sababu maalum ya kufanya hvy!
  9. uzeebusara

    Je kocha Antonio Conte kumaliza zama za Juventus kutamba Italia?

    Habari zenu! Baada ya kukaa nje kwa muda toka alivyopishana na bodi na wachezaji wa klabu ya Chelsea Fc hatimaye kocha mwenye mzuka wa kushangilia na mbinu nyingi amerejea tena lakini katika ligi ya Italia. Na kwa sasa katika klabu ya Inter milan! Wachambuzi na wajuzi wa soka mnalionaje hili...
  10. uzeebusara

    Nahitaji simu

    Habari wakuu! Nahitaji simu yenye hali nzuri sana yenye specs hizi: 1. RAM walau kuanzia 4GB lkn ukiwa na 6GB au zaidi itafaa zaidi 2. Internal Memory walau 64GB 3. Kukaa na chaji walau masaa 6 4. Battery capacity 3600Amh na zaidi 5. Line 2, dual 6. Isiwe Teckno, itel (samahani wenye cm hizi) 7...
  11. uzeebusara

    Jamani waliofanya usaili TRA 26.03.2019 wameshaitwa kazini?

    Habari zenu! Kuna mdau kaomba taarifa tu kama watu waliofanya usaili wa ajira upande wa TRA hadi hatua ya mwisho ambayo ilikuwa kati ya tarehe 25 na 26 Machi 2019 kama majina yalishatoka au laah. Kwani nae alikuwa miongoni mwao waliofikia hatua hiyo na walisema majibu ni kati ya wiki mbili...
  12. uzeebusara

    Kuandika Nakala ya Wakfu

    Assalam alleykum! Habari zenu? Ndugu zangu naomba msaada wa namna ya kuandika nakala ya Wakfu. Mzee wangu ameamua kutoa eneo lake (kiwanja) kwa ajili ya wakfu, sasa nahitaji mwongozo huo kisheria. Kama kuna sampo ya nakala ya kisheria wakfu ntashukuru nikipatiwa! Itapendeza zaidi ikiwa katika...
  13. uzeebusara

    Suala la CAG: Lugha, Siasa na Taaluma

    Habari wana jukwaa 1. Je adhabu iliyopitishwa ni stahiki? 2. Je kuna athari katika tasnia ya uhasibu? 3. Tunajifunza nin katika sakata hili Note Naona kuna shida katika kona za utetezi kuwa finyu sana kwa mshukiwa Video hii pitia vema then jenga hoja
  14. uzeebusara

    Hekima na busara yako vinahitajika katika kadhia ya ndoa hizi

    Habari wana jukwaa Kuna kadhia nimekutana nazo katika ndoa za jamaa zangu watatu tofauti ambao mmoja ni jamaa yangu toka utotoni, mmoja nilisoma nae shule ya sekondari kidato cha tano na sita na mwingine tulikutana chuo kikuu. Wote hawa jamaa walikuwa na wameendelea kuwa marafiki zangu sana wa...
  15. uzeebusara

    MWONGOZO: Kupata faili la mgonjwa

    Habari zenu wana jukwaa Naomba msaada au mwongozo wa namna iliyobora ya kupata faili la mgonjwa wangu kutoka hospitali. Ipo hivi, nina mgonjwa ambaye alikuwa anapata tiba specifically masuala ya uzazi kwenye hospitali binafsi. Lakini baada ya kuona vipimo na tiba mbalimbali kutokuwa na...
  16. uzeebusara

    KERO: Muziki katika maeneo ya wazi

    Habari wana jamii Kwanza naomba niombe radhi kwa jamii itakayohisi au kuona imeguswa kwa namna moja au nyingine lakini kuna mambo lazima yasemwe ili haki za wengine nazi zilindwe Ama baada, kumekuwa na tabia moja ambayo binafsi naona ni kero hasa kutokana na kelele za muziki wa sauti ya juu...
  17. uzeebusara

    Dhana: Kasumba iliyo nyuma ya mambo mengi, ni kweli lakini?

    Habari za leo wanajukwaa Dhana ni ile hali ya watu nadhani hasa sisi Waafrika (nisahihishwe kama sipo sawa) kuamini baadhi ya mambo au dalili fulani iwapo itakutokea basi kuna uwezekano ikawa ni bahati au mkosi. Lugha nzuri ni kasumba. Sijajua kwa Wazungu japo hawa Wahindi kwa kufuatilia...
  18. uzeebusara

    Msaada: Jinsi ya kurudisha meseji za whatsapp

    Habari wataalam wa mambo ya IT Naomba mwongozo wa namna gani nitarudisha meseji za whatsapp zilizofutika ie backup katika simu yangu. Kwani nimejitahidi kurudisha lakini sizioni au sijui wapi labda zinakuwa 'stored' baada ya kurejea Aina ya simu ni OPPO F5. Mfumo wa simu OS ni android 7.1, RAM...
  19. uzeebusara

    Ushauri: Simu aina ya Oppo F5

    MREJESHO!! Nimeichukua simu ile aina ya OPPO F5. Hakika sijutii MaashaaAllaah ni simu nzuri sana. Usuri wake ni kuanzia katika kukaa na chaji, technolojia yake na hata muonekano wake ni mzuri sana Changamoto zake Hadi sasa sijapata kuona sehemu wanazouza "cover na screen protector" kwa hapa...
  20. uzeebusara

    Msaada wa kuandikiwa barua ya kubadilisha jina la kampuni

    Habari za leo? Wakuu naomba msaada wa kuandikiwa au kama una sample ya barua ya bodi ya kampuni kwa ajili ya kubadilisha jina la kampuni ya kisheria ie mfano kampuni ilikuwa inaitwa AA Ltd kuwa BB ltd kwenda kwa Msajili wa makampuni Brela. Nitashukuru hata kama waungwana mtanitumia Pm kwani...
Back
Top Bottom