Search results

  1. azzurre

    Kati ya sayansi na imani za dini ipi imejibu masuala muhimu kwa ufasaha?

    Hello Memba Nipo nafikiria sana ila nashindwa kupata jibu nategemea memba wa JF watakuja zaidi na majibu mazuri yatakayo nisaidia kupata mwanga wa thinking pengine ikapelekea kudevelop theory. Kwa kawaida wasomi wengi wa elimu hapa uimwenguni hutegemea majibu ya sayansi katika kujenga hoja...
  2. azzurre

    Mtoto wa kike kutoka taka ukeni

    IIgwee JF, Nina mtoto wangu anapotumia dawa ya kusaidia kupumua kama vile amoxcilin huwa akivua chupi huwa imejaa uchafu. Je, hili linatokana na nini na nini nifanye kuondosha tatizo lakutoka taka?
  3. azzurre

    Kupata mashine ya kufanya packaging

    Hi all member, Nimefanya utafiti wangu simple kwa ajili ya kujua biashara gani na weza kuingia na biashara hiyo ikawa na opportunity ya kukua (growth) kulingana na wateja niliowakusudia (target market), nimegundua wasindikizaji wadogo wengi wanapata tabu ya kuwa na product package nzuri na kama...
  4. azzurre

    Dangote Cement bei ni TZS 8,000?

    Je nikweli kuwa cement ya dangote ni TZS 8,000 kwa kg 50
  5. azzurre

    Kufanikiwa kufika mwezini

    Hi all members. Kama tunavojua science imekua kwa kiwango kikubwa, mambo mengi ambayo hayakuwezekana mwanzo mwa karne zilizopita leo yanawezekana. Laiti km wangerejea duniani wakazi wa miaka ya nyuma ambawo usafiri wa kifahari kwa enzi zao ni kutumia wanyama km farasi, ngamia nk leo watashanga...
  6. azzurre

    carina si module 2000 msaada

    Hi wana JF. Ninapata tabu, kubadiliaha break disc kwani qauza maduka ya spare hawajui ni ipi, hivyo anaejua wepesi wa kumsaidia muuza duka kunipatia, aniaaidie. Japan version
  7. azzurre

    Ukweli juu ya uyahudi

    Wayahudi ni akina nani? Wayahudi wanatokana na kizazi cha Yakoob,ambacho kilikuwa kinaishi ktk nchi inayojulikana kwa jina la Kanian, Mzee huyu ndio chimbuko la wayahudi, wayahudi walihama Kanian na kuhamia misri, wakati Yussouf alipo pewa kuwa mkuu wa hadhina ya chakula cha nchi ya misri, na...
  8. azzurre

    Msaada finance research topics

    Habari zenu wana JF. Naomba mnisaidie research topic ambayo inahusiana na masomo ya finance kama corporate finance,international finance, financial account, financial planing , investment Valuation, au Management account. NB. Please ntapendelea zaidi ikiwa itakuwa inahusiana na Airport services...
  9. azzurre

    Ninatakubaliana na serikali moja tu pale jina la Tanzania litakuwa "Zanzibar"

    Hi Watu wengi huwa wana jiuliza kwa nini wa Tanganyika hawapendi kuitwa "watanganyika" wanapenda kuitwa wa tanzania bara wakati wa Zanzibari wao wanapenda kuitwa wa Zanzibari wakiwa ndani ya Tanzania hata ncje ya Tanzania. Baadhi ya wachangiaaji wengi wa wakitanganyika hutoa hoja kwa nini...
  10. azzurre

    Msaada: Kuvimba uso, macho na kuuma kwa kichwa na uti wa mgongo

    Hi wana JF. Nawashukuru sana wana JF kwa michango yao kwangu, namuomba mungu awape maisha bora hapa duniani na ya baadae. Mimi huwa nasumbuliwa sana na maradhi ambayo sina uhakika wa jina lake lakini huwa napewa majina na nnao wa hadithia, namna nnavyo umwa, huwa naambiwa nna "HIJAB" au...
  11. azzurre

    Matatizo baada ya kuoa

    Mimi ni kijana wa kiume nimeoa hivi karibuni, lakini kabla ya kuoa nilikuwa naweza kufanya mapenzi vizuri (mwanamke hakuwa bikra) hadi mara tisa kwa masaa 24 lakini huwa nafika miezi (huwa sina tabia ya kusex kwa kipindi kifupi) ila tangu nioe nimeshindwa kufanya tendo la ndoa ume husima lakini...
  12. azzurre

    Ku ummwa na mguu kuanzia kiungio cha paja hadi vidoleni

    Na omba msaada kwa wale wanaojua dawa au aina ya tatizo au sababu ya tatizo linalomkabili mama angu Mama angu ana umri wa miaka 47, ana tatizo la kuumwa upande mmoja wa mwili kutoka kwenye paja (Joint ya paja/mguu) hadi vidoleni, anapata maumivu makali na anashindwa hata kutembea...
  13. azzurre

    Jee binaadamu anaweza kujiwekea sheria na wakati huo huo akawa na amani, haki na mapenzi baina yao

    Ndugu wana JF Binaadamu ni kiumbe ambae ameubwa mwisho kwa mujiwibu wa vitabu vya dini, kabla ya hapo duniani kulikuwa na viumbe wengine (majini nk), cha ajabu, Muungu aliweka kila kitu kinachotakiwa na binaadamu ili kumfanya aishi na kuyakabili mazingira ya dunia (alifanya hivyo bila ya...
  14. azzurre

    Mwisho wa Amerca na Ulaya unakaribia ijapokuwa uko mbali

    Mimi simuelewa sana katika mwasuala ya vita vinavyo endelea Mashariki ya kati pamoja na nchi za ki arabu pamoja na nchi za kiislamu mpaka pale utawala wa kimarekani na wazungu wa ulaya utakapo anguka. na kwa ivi sasa tayari zimesha anza kuonekana dalili za kuondoka kwenye Mamlaka ya ulimwengu...
  15. azzurre

    Zingatia kanuni hizi za kula ili kuwa na afya bora

    1. "Usile mpaka uwe na njaa na unapokuwa na njaa, usile mpaka ukashiba sana" 2. " Ligawe tumbo sehemu tatu, unaptaka kula sehemu ya kwanza iwe ya chakula, sehemu ya pili iwe ya maji na sehemu ya tatu iwe ya kuvutia hewa" Pia epuka kuwa katika kundi la watu ambao watakuwa na afya mbovu na ilio...
  16. azzurre

    New member

    Hi for all member
Back
Top Bottom