Search results

  1. CHADEMA

    Taarifa ya awali kuhusu hukumu ya Mahakama Kuu masjala kuu Dar es Salaam, kuhusu Wanachama 19 waliofukuzwa CHADEMA

    Tumepokea hukumu iliyotolewa leo Alhamisi tarehe 14 Desemba, 2023, uamuzi wa Mheshimiwa Jaji Cyprian Phocas Mkeha; 1. Kwamba uamuzi wa kuwafukuza uanachama waliokuwa wanachama wetu 19 uliofanywa na Kamati Kuu ya Chama, umeendelea kusimama (Upo pale pale) na Mahakama imekubaliana kuwa taratibu...
  2. CHADEMA

    Tamko la kulaani kusimamishwa kiholela kwa Wakili Mpale Mpoki na tishio kwa mawakili wa kujitegemea nchini

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kusimamishwa kiholela kufanya kazi za uwakili iliyomkumba Wakili Mwandamizi Mheshimiwa Mpale Mpoki ambaye alikuwa akiongoza jopo la Mawakili wa utetezi katika shauri la kinidhamu linalomkabili Wakili Boniface...
  3. CHADEMA

    Mbowe, Mwalimu watikisa Butiama

    - Wabeba Mwenyekiti wa Kijiji na wajumbe wake Na Mwandishi Wetu FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho upande wa Zanzibar, Salum Mwalimu, leo wamepata mapokezi makubwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika Buhemba...
  4. CHADEMA

    Mafuriko ya Mbowe, yamsomba DC

    MAELFU ya wananchi wa mji wa Mwanhuzi, wilayani Meatu, mkoani Simiyu, wamehudhuria kwa wingi katika mkutano wa hadhara wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), huku aliyewahi kuwa mbunge wa viti maalum mkoa wa Simiyu na Mkuu wa Wilaya (DC) za Meatu na Maswa, Rosemary Kirigini, akitangaza...
  5. CHADEMA

    John Mnyika mgeni rasmi Nungwi Super Cup

    Jana Agosti 27, 2023 Katibu Mkuu wa Chama Mhe. John Mnyika amekuwa mgeni rasmi katika fainali ya mashindano ya mpira mguu ya Nungwi Super Cup yaliyoandaliwa na Chadema Zanzibar ndani ya jimbo la Nungwi. Katika mashindano hayo timu 11 zilishindana na baadae timu mbili kuingia fainali, Kiungani...
  6. CHADEMA

    UWT Waungana na Mbowe kupinga Mkataba wa Bandari

    Wanachama na viongozi wa Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Kata ya Didia, Jimbo la Solwa, mkoa wa Shinyanga, ni miongoni mwa wananchi waliopiga kura ya wazi leo kupinga Mkataba baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai, kuhusu uendelezaji wa bandari na maeneo mengine ya kiuchumi...
  7. CHADEMA

    Mbowe akomaa na Pamba, Tumbaku na Madini.

    Lembeli aibukia jukwaa la Chadema, Kahama, akerwa na rushwa serikalini. AKIHUTUBIA maelfu ya wananchi katika mikutano sita aliyoifanya leo kwenye jimbo la Ushetu na Kahama, mkoani Shinyanga, Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), amekutana na vilio vya...
  8. CHADEMA

    Mbowe, Lissu: Rais Samia amegawa Maliasili za Taifa bila Bunge kushirikishwa

    - Baada ya Bandari, sasa atuhumiwa kugawa raslimali nyingine kwa Wageni Na Mwandishi Wetu, Shinyanga WAKATI sakata la "Mkataba wa Bandari" likizidi kupamba moto, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo kimemtumbukiza rasmi Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye kashifa nyingine kubwa...
  9. CHADEMA

    Mbowe: Tutaboresha maslahi ya Polisi

    Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema chama hicho kikiingia madarakani kitaboresha maisha na maslahi ya watumishi wa umma, wakiwemo wa Jeshi la Polisi, kwani wana kipato duni na maisha magumu. Akihutubia wananchi wa Kayenze Mwanza...
  10. CHADEMA

    Mbowe: Better days are coming for security forces

    August 11, 2023 KAYENZE, MWANZA. The National Chairman of the main opposition political party- CHADEMA Mr Freeman Mbowe has stated that if his party wins the 2025 presidential election, he will ensure that the country's security forces live better lives, pledging to address core challenges that...
  11. CHADEMA

    Mbowe faults CCM over extreme poverty on Ukerewe islands

    August 11, 2023 By CHADEMA Media NANSIO, UKEREWE. The National Chairman of the main opposition political party- CHADEMA Mr Freeman Mbowe, has criticized the dire poverty situation affecting around 400, 000 people across 38 islands in the Ukerewe district of Mwanza region. Addressing...
  12. CHADEMA

    Nondo za Mbowe Ukerewe

    Na Chadema Media FREEMAN Mbowe, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ameichambua hali mbaya ya umaskini unaowasibu takribani watu laki 4 wa visiwa 38 vya wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, huku akiwataka wananchi wa visiwa hivyo kuachana kabisa na utawala wa Chama...
  13. CHADEMA

    Kishindo cha Mbowe Magu

    - Asema "mitumba ya CCM imeuwa Pamba ya Wasukuma" Na Mwadishi Wetu SERIKALI ya Chama cha Mapinduzi (CCM) imeuwa viwanda vingi vya nguo na kusababisha Tanzania kuwa "Taifa la Wavaa Mitumba", huku pamba inayozalishwa nchini, hususan kwenye mikoa ya kanda ya ziwa, ikizidi kuporomoka bei kwa kukosa...
  14. CHADEMA

    Mbowe: The new pension formula is unjust

    By CHADEMA Media MAGU, MWANZA. The National Chairman of the main political party - CHADEMA Mr Freeman Mbowe has promised that if his party succeeds in winning the 2025 Presidential election and coming into power, he will remove the current Pension Formula for retirees to ensure they receive...
  15. CHADEMA

    Government ignores prominent figures' concerns over port contract, says Mbowe.

    By CHADEMA Media SUMVE, MWANZA. Mr Freeman Mbowe, a National Chairman of Tanzania's main political party CHADEMA criticizes the government's decision to sign a contract with a Dubai-based company DP World for the investment and development of country's ports, accusing the government of ignoring...
  16. CHADEMA

    Stop killing suspects of illegal fishing and poaching, Security Forces warned

    By Chadema Media NKOME, GEITA. The main opposition party in the country, CHADEMA, has warned against the cruel actions carried out by security forces in various areas of the country against citizens, including the killing of suspects involved in criminal offences. The opposition political...
  17. CHADEMA

    Lissu: Gold investors earn huge profits yet pay a little to local authorities

    By Chadema Media GEITA. The Vice-Chairman of the main opposition political party - CHADEMA Mr Tundu Lissu has stated that the value of all the gold mined and sold abroad in the fiscal year 2021/22 was 3.6 billion US Dollars, equivalent to 8.6 trillion Tanzanian Shillings, but the country only...
  18. CHADEMA

    The decline in cotton business concerns opposition

    By Chadema Media GEITA. Cotton, once a significant economic driver for Geita region, has experienced a sharp decrease in production and profitability. Several factors have contributed to this decline. The decline of the cotton industry in the region has been a concerning issue, with the...
  19. CHADEMA

    Mbowe: Maji ni Shida Kubwa Kanda ya Ziwa

    MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amesema maji ni moja ya shida kubwa zinazowakabili wananchi wengi wa ukanda wa ziwa Victoria. Tathmini kutoka mikutano ya hadhara iliyofanywa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka sasa katika mikoa ya...
  20. CHADEMA

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    UPDATES: 05:55 Asubuhi: Viongozi wa vyama vya ACT na CHADEMA wakiongozwa na Freeman Mbowe, Tundu Lissu na Zitto Kabwe wanaingia kwenye ukumbi ambapo watafanya mkutano na waandishi wa habari. MNYIKA: Viongozi wakuu wa vyama vyetu tumekuwa kwenye vikao vya mashauriano na vimeendelea leo asubuhi...
Back
Top Bottom