Search results

  1. The Palm Tree

    Katika hotuba hizi mbili (Mbowe & Lissu) ni mwana - CHADEMA gani timamu hajawaelewa viongozi hawa kupata heshima ya kuzungumza na Rais Samia?

    Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI. Hawa...
  2. The Palm Tree

    Ameanza Tundu Lissu nchini Ubelgiji kisha impact yake ikawa Freeman Mbowe kufutiwa mashitaka na kisha straight Ikulu kuzungumza na Rais....

    This is absolutely strange indeed. Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka. Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
  3. The Palm Tree

    Kuachiwa huru kwa Freeman Mbowe na wenzake hakuna sababu nyingine isipokuwa ushahidi wa Jamhuri kutothibitisha mashitaka

    ASIKUDANGANYE MTU, kwa propaganda yoyote kuwa DPP kutangaza kutokuwa na nia ya kuendelea na mashitaka ya tuhuma za ugaidi na uhujumu uchumi dhidi ya M/Kiti wa CHADEMA - Taifa ndugu Freeman A. Mbowe na wenzake eti ni kwa sababu zingine zozote zile bali ilikuwa ni suala la muda tu siku hii ifike...
  4. The Palm Tree

    Kenya 2022 Siasa za Kenya: Rais Uhuru Kenyatta atangaza rasmi kumuunga mkono Raila Odinga uchaguzi mkuu, August - 2022

    Ni ajabu na kweli... Na kwa wafuatiliaji wa siasa zà Kenya, hivi Kenyatta na Odinga wanatokea chama kimoja cha siasa au ni wanachama wa vyama tofauti...? Anyway, vyovyote iwavyo. Ila iko hivi; Kwamba, kwa mujibu wa taarifa ya habari ya leo saa 2 usiku huu ya ITV - Tanzania, Uhuru Kenyatta...
  5. The Palm Tree

    Hongera Rais Samia Suluhu kukutana na Tundu Lissu. Watanzania hatutaki uadui unaosababishwa na wanasiasa wabinafsi wachache

    Nimefurahishwa na taarifa rasmi iliyotolewa na serikali kupitia Afisa habari wa kurugenzi ya mawasiliano Ikulu Bi. Zuhura Yunus, kwamba Mh. Rais wa JMT, Bi. Samia Suluhu Hassan akiwa ktk ziara ya kiserikali nchini Ubelgiji amekutana na Mwanasheria, mwanaharakati, mwanasiasa machachari na makamu...
  6. The Palm Tree

    Video: Tundu Lissu alisema ukweli mchungu sana kuhusu muungano wa Tanganyika na Zanzibar. CCM walimshambulia vibaya, lakini waliufyata kwa hoja zake

    Hii ni kutoka katika maktaba ya mjadala na michango ya wajumbe mbalimbali wa bunge la kupata katiba mpya mwaka 2012/2013 huko Dodoma. Bahati mbaya CCM walivuruga mchakato huo na hivyo kukwama na taifa kupata hasara mabilioni ya fedha zilizopotea bure bila kuleta matokeo... Katika bunge hilo la...
  7. The Palm Tree

    Tundu Lissu: Wakati mnajadili kujiuzulu kwa Spika Ndugai, mwenzenu He's laughing all the way to the Bank. Anaondoka akiwa tajiri

    Kwa mujibu wa Sheria ya Mafao ya Watumishi wa Kisiasa [Political Service Benefit Act] iliyotungwa wakati wa serikali ya awamu ya tatu chini ya Rais Hayati Benjamin W. Mkapa, mstaafu huyu wa "kujiuzuru kwa kulazimishwa" yuko entitled kupata mafao yafuatayo; 1. Kiinua Mgongo [Gratuity] cha 50%...
  8. The Palm Tree

    Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa...

    Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa ktk vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake. Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
  9. The Palm Tree

    Je, CCM wana nia ya kweli ya kutupa Tume Huru ya Uchaguzi? Basi twaweza sema: Good objective, wrong approach henceforth, no results

    Wasielewa waelewe hili; Kwamba, CCM ni chama cha siasa kama vilivyo vyama vingine vyote hapa nchini kwa maana ya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi, ACT WAZALENDO nk nk. Malengo ya chama chochote cha siasa huwa ni yale yale kubwa likiwa ni kushika dola. CCM kwa sasa na pengine tangu uhuru 1961 katika...
  10. The Palm Tree

    Kesi ya ugaidi wa Mbowe: Uamuzi wa Jaji wa pingamizi la upande wa utetezi kesho unaweza kuja na haya....

    Leo kumejitokeza utata mwingine tena mahakamani kwa shahidi No. 8 wa Jamhuri Askari Polisi aitwaye Jumanne. Kwamba, alipowakamata watuhumiwa na kuwapekua aka - seize [akachukua] mali za watuhumiwa kinyume cha sheria inayoongoza tendo hilo. Sasa upande wa utetezi ume - OBJECT tendo hilo na...
  11. The Palm Tree

    Video: Kesi ya F. A. Mbowe na wenzake, wakili aichambua hukumu ndogo ya Jaji M. Siyani...

    Jaji Mustapha Siyani katishwa akatishika na kuamua kuisigina haki hadharani mchana kweupe.... Amejitoa kuisikiliza kesi hii kwa maumivu makali katika nafsi yake kwa kuisigina haki mchana kweupe akidhani kwa kuwa yeye ni JAJI, wengine wote ni "wajinga" hatutaona upuuzi wake. Amekosea sana...
  12. The Palm Tree

    Video: Kumbe kabla Rais Samia kwenda kwenye UNGA - New York , waziri Liberata Mulamula alitangulia mwezi mmoja kabla. Why..?

    You may not like this. But it happened... Kumbe bwana, kabla ya Rais Samia Hassan kuhudhuria summit ya kikao cha UNGA, NewYork wiki kadhaa zilizopita, balozi Liberata Mulamula, waziri wa mambo ya kigeni alitangulia mwezi mmoja kabla.... Shida siyo Balozi Mulamula kuwahi kutangulia mwezi mmoja...
  13. The Palm Tree

    CHADEMA waibua ufisadi kwenye tozo za mafuta ya petrol, diesel & kerosene. Bei badala ya kushuka ndiyo imepanda

    1. Hii serikali ni ya ajabu sana. Inasema uongo mchana kweupe. 2. Yaani kiongozi anatoka anasema tumepunguza tozo hii na ile ili kupunguza bei za nishati ya mafuta ya petrol, diesel na ya taa (kerosene). 3. Lakini cha ajabu, badala ya bei kupungua ndiyo zimeongezeka kwa wastani wa shilingi...
  14. The Palm Tree

    Kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake: Nini maana ya "submission?". Je, ni kweli kuwa DPP ana mamlaka ya kuingilia majukumu ya mahakama?

    Jana tarehe 29/10/2021 mashahidi wa pande mbili wamemaliza kutoa ushahidi wao katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya tuhuma za ugaidi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA taifa Mh. Freeman Aikael Mbowe na wenzake watatu... Kesi hii ndogo imezaliwa baada ya upande wa utetezi kupinga kupokelewa...
  15. The Palm Tree

    Kulingana na ushahidi wa kesi ndogo ndani ya kesi kubwa uliotolewa, Je unadhani maelezo ya Adamoo aliyoandikisha polisi yatapokelewa kama ushahidi..?

    Wengi tunahudhuria mahakamani kusikiliza kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu . Wengine tunafuatilia mitandaoni hatua kwa hatua mwenendo wa kesi nzima.... Kwa ambao hawajui au hawakumbuki au kusahau ni kuwa, kinachoendelea sasa ni kesi ndogo ndani ya kesi kubwa (trial within a...
  16. The Palm Tree

    Joe Biden awaambia wajumbe wa UN - General Assembly kuwa, dunia ya wakati ujao si ya viongozi katili wanaokandamiza haki za watu...

    Tafsiri isiyo rasmi; Biden akihutubia mkutano wa Baraza kuu la Umoja wa mataifa, amesema; "....Nyakati zijazo ni za viongozi ambao wanaheshimu uhuru wa watu wa kupumua (i.e kufurahia haki zao za kiraia, kisiasa, kiuchumi na kijamii) na si nyakati za viongozi wanaowakandamiza uhuru wa watu wao...
  17. The Palm Tree

    Voice video: Tundu Lissu afunguka akiuchambua ushahidi wa shahidi No. 1 wa Jamhuri ACP Ramadhani Kingai

    NOTE: å Nadhani hii ndiyo imefanya jamhuri kuanzisha fujo leo mahakamani ili tu kuzuia usikilizwaji wa kesi inayomkabili m/kiti wa CHADEMA (taifa) ndugu Freeman Mbowe ushindwe kuendelea... å Ni jambo jema kuwa haya mambo yanafanyika mchana kweupe kila mtu akiona. Na uzuri ni kuwa hapa ni...
  18. The Palm Tree

    Kwanini upande wa utetezi kesi ya ugaidi wa Mbowe na wenzake wame - object maelezo ya Kingai na mshitakiwa Adamu kupokelewa kama vielelezo halali?

    1. Upande wa utetezi katika kesi ya ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu leo umepinga kupokelewa kwa maelezo ya shahidi namba 2 wa jamhuri Afande Ramadhani Kingai na maelezo ya mshitakiwa Adamu Kusekwa kwa sababu kuu mbili; . Yalichukuliwa nje ya muda wa kisheria ...
  19. The Palm Tree

    Tundu Lissu: Polisi wote huni - treat with respect kila walipotumwa kunikamata isipokuwa baadhi kama afande Cammilius Wambura, Sirro na Kigaigai...

    Tunaendelea kupata simulizi za kusisimua toka kwa Tundu Lissu ikiwa ni sehemu ya kumbuizi ya miaka 4 tangu kufanyika kwa jaribio baya lililoshindwa la kutaka kumuua kwa risasi za kivita lakini likimwacha nusu mfu tarehe 7/9/2017.... Shukrani kwa madaktari wa hospitali ya mkoa wa Dodoma...
Back
Top Bottom