Ameanzia wapi hata akatoa kauli hii...?
Nina hakika kuna maneno umeacha na ukatupia (quote) sentensi hii moja tu..
Naamini kuna mahali Zitto kaanzia na kuna mahali alimalizia..
Otherwise, mimi binafsi nakubaliana na Zitto 100% katika mantiki ya hoja yake...
Mabadiliko yoyote ya kisiasa ni...
Yaani watu wote wakiwa na akili duni za kufikiri na kisha kuamua kama zako, maisha yasingekuwa na maana kabisa...
Yes, he's dead but he's in the history books....
Na katika maisha haya, historia ni mwalimu wa wakati uliopo na tunatumia historia ku - predict future...
Mfano, ni mtu mjinga...
Tindo, this is just a change of tactics...
Katika vita yoyote kinachobadilika huwa ni mbinu za kivita na siyo malengo...
Wakati wa Magufuli there was no round table for talkings kati ya CCM - chama kinachoongoza serikali na vyama vilivyo nje ya serikali (vya upinzani). Yeye alitaka kuwamaliza...
Kipaumbele cha bajeti ya 2022/2023 ni: KILIMO KWANZA...
Tatizo lako unabeba mengi mno kichwani mwako mpaka unachanganyikiwa....
Sasa unaleta haya ya ndani ya nyumba ya watu, ili sisi tusemeje? Kusudi lako tumeshalujua. Ni ili utuunge kwenye tela lako la ku - spin/kujadili umbea...!!
Kwani KILIMO KWANZA ililetaga mafanikio gani eti...?Na Mwigulu anaileta kauli mbiu hii tena kwa mlango wa bajeti...?
Na TANZANIA YA VIWANDA VYA MAGUFULI ndiyo kwa heri tena na wameamua kuizika kimoja na MwendazakeJPM...?
Na maana yake ni kuwa, vile viwanda 8,000 kila mkoa, kabla hata...
So, what is your point here na tushike lipi hasa...?
Kwamba mamlaka za mipango miji huko Ugunja - Zanzibar ziliamua kulivunja kanisa la Mch. David Suni kwa sababu they are all insecure....?
Au tumwamini DC asemaye kuwa, zimevunja kanisa hilo kwa sababu ya utabiri wa hali ya hewa kusema kuna...
Ni kweli...
Sisi sote ni binadamu...
In some different occassions and cirumstances huwa tunafanya makosa ya kutisha na ya kawaida dhidi ya binadamu wenzetu. Makosa haya ndiyo huitwa dhambi...
Hivyo sote sisi tuna dhambi, tunahitaj msaada ili tuokoke toka ktk adhabu ya makosa hayo ambayo...
Ndugu britanicca upo? Hizi ramli zako zinakupa majibu gani?
Sasa unaweza tu kubadili uelekeo kwa kuwa unaweza kuona kwa macho yako ni nani anakwenda kufa kati ya lizee CCM lililokwisha jichokea na kijana machachari na mtanashati CHADEMA....!!
Maudhui makuu ya mazungumzo ya viongozi hawa Tundu Lissu vs Mh. Rais Samia Suluhu Hassan [Brussels, Ubelgiji] na Mh. Freeman Mbowe vs Mh. Rais Samia S. Hassan [Dar es Salaam, Tanzania] ni maridhiano ya kisiasa kwa mustakabali wa kujenga Tanzania ya HAKI kama tunda la UPENDO na AMANI.
Hawa...
Asipodai yeye, wewe si uendelee kudai..?
Na wewe obviousily ni wa upande wa wale wa kijani CCM kuumiza na kubambikia wapinzani wenu wa kisiasa kesi za ugaidi wa uongo....
Wewe unajiona mjanja eti umeji - comouflage kwa avatar ya logo/brand ya CHADEMA na kuji - personify kwenye u - CHADEMA...
Sambamba na picha bila ya kinachosemwa, inakuwa haina maana sana...
Ungetuletea na jumbe (mesaages) kutoka kwa yanayojiri katika hotuba za main speakers hususani mgeni rasmi Freeman Mbowe..
Mengine yote sawa Mr Lord Diplock MR....
Ila hoja namba 8 nikusahihishe kidogo...
Freeman Mbowe hakukimbia nchi kwa maana ya "kukimbia kwa eti kwa sababu alikuwa na makosa" kwa maana ya yale aliyoshitakiwa kwayo...
So, the best statement kuhusu hili inapaswa kuwa hivi....;
".......baada...
Kwenye kesi mliyoshindwa kuendelea nayo na kuamua ku - surrender hakukuwa na shitaka la "kutukana/matusi" wala hilo la "uanaharakati...."
Wewe Kingai haya unayatoa wapi au unaota....?
Exactly, huu ndiyo utaratibu....
Mimi nashauri hata kama CHADEMA watapitia upya maamuzi ya kuwafukuza, tukumbuke kuna ishu ya jinai ya kufoji nyaraka....
Wakitaka kurudi basi, watoe ushirikiano kumweka/kuwaweka wazi waliotumiwa na CCM ya Polepole na Bashiru + NEC ili kughushi nyaraka za chama...
Ndugu denooJ wanachama vichwa ngumu wa CHADEMA ni wepi kwani...?
Je, unamaanisha huyu mleta mada Leak.....?
Umekosea sana kumpa hadhi ya "mwanachama mwenye kichwa kigumu" kwa sababu huyu siye mwana - CHADEMA....
Huyu ni wa kule kwenye majani ya migomba. Huko hawana HEKIMA wala BUSARA kwa...
Ulitegemea iisheje ndugu..?
UKWELI siku zote HUSIMAMA na KUJITETEA wenyewe....
Askofu Mwingira spoke the TRUTH...
Ukijaribu kubishana na ukweli, abishanaye nao huo ukweli, yeye ndiye hu - surrender...
Sawa na kesi ya Freeman Mbowe. Unamshitaki mtu kwa uongo halafu utegemee uwe salama...
Wewe tatizo ni dogo sana, UJINGA....
Yaani utakuwa HUJUI tu lakini HUJUI kuwa HAUJUI....
Unastahili kuelimishwa...
Soma main thread yangu yote, utaelewa...!
This is absolutely strange indeed.
Ni wazi kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ameona mwezi, macho ya kuuona ukweli yamefumbuka.
Hebu jaribu kufikiri vizuri kidogo. Kwamba, Rais Samia Suluhu all the way kutoka Brussels - Belgium kuonana na kuzungumza na National CHADEMA Vice Chairpersnon, ndugu...
Si vizuri kukataa na siyo ustaarabu unless kuwe na sababu kubwa sana...
Mfano Nabii Eliya aliwahi kuukataa wito wa mfalme Ahazia kwenda Ikulu kuonana naye kwa sababu nia na kusudi la Mfalme Ahazia dhidi ya Nabii Eliya halikuwa jema...
Sababu ya Nabii Eliya kutakiwa kufika Ikulu ya Mfalme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.