Search results

  1. C

    Magufuli kama Nyerere: Ni mtu wa watu, hapapasi, hamung'unyi, ni kazi tuu, ila pia sio kama Nyerere!

    Jamaa anakosoa watu wakati hata yeye kuandika,"Journalist" tu kashindwa.
  2. C

    Zanzibar ina mengi ya kujifunza kutoka Scotland

    Jana thread zote zilizokuwa zinashabikia waskochi kujitenga,naona wenyewe walizisusa baada ya matokeo.
  3. C

    Bulembo na Vicky Kamata wamekuja Arusha

    Vijana wanatumiwa kama mipira ya kiume na wanasiasa,wakija kushtuka kumekucha!
  4. C

    Nassari kupokelewa kesho KIA kwa maandamano makubwa

    Kujitambua ni kitu muhimu sana maishani!
  5. C

    Mhariri wa gazeti la Mtanzania hujaitendea haki CHADEMA

    Tatizo lenu hampendi kuandikwa vibaya,nyie mnataka mazuri tu.
  6. C

    Madrid wametumia uzoefu....

    "If you are second, you are Nothing" Bill Shankly
  7. C

    Body spray ipi ni bora zaidi kwa wanaume?

    Xavier.(XL)
  8. C

    Ninakataa CCM hamna wasomi kama CDM na UKAWA

    Majina unataja kama unaogopa vile!
  9. C

    Chelsea itaweza kuifunga tena Man City Etihad katika FA cup 15/2/2014?

    City anaweza kufungwa tena ama droo,sababu ni kwamba City ataingia akiwa ana hofu ya game zilizopita,Pili itategemea na Performance Ya viungo wa Chelsea hasa Nemanja Matic,kama akipangwa.
  10. C

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Jana,nilipomuona Nemanja,Ramires na David,,Nilijua pale kati shughuli si ndogo.
  11. C

    Mbulgaria jela miaka 3 kwa wizi kupitia ATM

    Wabongo kila kitu ubishi,kwani hiyo adhabu Hakimu kaitoa Hewani!.
  12. C

    Jeshi la polisi limepiga marufuku upigaji wa fataki siku ya mwaka mpya

    Naona wa TZ wanasiasa,wanatupeleka pabaya!kila kitu tunapinga tu!
  13. C

    Tutakosa wanasiasa na wagombea

    Humu watu hamko Neutral,kuna waziri aliibiwa Hotel na hawara,wala hamkusema ni mambo binafsi,watu walijadili hapa.
  14. C

    Wabunge watafuna Posho hovyo! CCM, CHADEMA wote washiriki mchezo mchafu

    Uwa nashangaa sana watu wanavyotoana macho, kwa ajili ya wanasiasa,hawa baba na Mama yao ni mmoja,Shtuka!
  15. C

    Mwigulu amlipua Mbowe bungeni, ni kuhusu kutumia vibaya madaraka yake na hawara

    Vijana mapovu yanawatoka,wakati watu wanakula Maisha,Shtuka!
  16. C

    Ccm na ubaguzi wa watu wa kaskazini!

    Siyo wote,ila inabidi watu wa huko ndio muanze kupunguza ukabila,hasa sehemu za kazi mnakera sana!
  17. C

    Kim Jong Un’s Uncle Executed

    Fat boy,anaonyesha makucha yake sasa.
  18. C

    Andrew Chenge; Serikali isitishe kuajiri watumishi ili kupunguza matumizi

    Hapa JF kuna watu wanasema uongo sana du!
Back
Top Bottom