Search results

  1. S

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    Thank you Mbalamwezi for the narration. sakauyek
  2. S

    Nahodha Kanunuliwa Na SMT?

    Mhe. Nahodha hajanunuliwa. Kwa mujibu wa makubaliano ya hati ya muungano, upande mmoja wa muungano hauwezi kujibadilishia mambo ya muungano bila kushirikisha upande mwingine. Kama BMZ na SMZ wengekuwa na nia ya dhati ya kuondoa swala la mafuta na gesi kwenye mambo ya muungano, basi wangefuata...
  3. S

    Mkapa angewafaa zaidi Waislam Kuliko Kikwete

    Napenda kutoa maoni yangu kuhusu mawazo ya udini. Marehemu Mwalimu Nyerere katika moja ya hotuba zake alitoa mfano wa ukabila; alisema siku moja walisafiri kwenye ndege moja na Mhe. George Kahama na ndege ilipata misukosuko juu hewani. Mara ya kwanza, Mhe. Kahama akasema "My God!", mara pili...
  4. S

    Kikwete to USA (May 2009)

    Dear community members, First of all I say hi! to everybody. Since I heard the news that our loved president has an official visit to the US, I was very much interested to know the content of the visit that included visiting one to two universities and meeting President Obama. Question...
Back
Top Bottom