Search results

  1. Kabembe

    Mbowe hana cha kupoteza katika kesi yake

    I'm not happy the way kesi inavyokwenda, btw CCM hawana aibu wala hurumu kwa mtu anaetishia uwepo wao madarakani. Katika Africa jamii nisiyoiamini ni jamii ya watanzania,Mbowe anaweza fungwa na watanzania wakaendekea na maisha yao kama vile Mbowe alikuwa hana maana yeyote kwenye maisha yao.
  2. Kabembe

    Kuongezeka kwa ujenzi wa vituo vya mafuta DSM

    Sheria na taratibu zilizopitishwa mwaka jana kuhusu makampuni ya Mafuta zimewafanya wenye makampuni hizo kufanya Petrol stations kuwa plan B
  3. Kabembe

    Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

    Kale kaofisi ka bodi ya maziwa pale Regents estate kadogo, kachafu , halafu jamaa wana njaa ile mbaya. Bila kamata kamata hakuna pesa.
  4. Kabembe

    Kampuni ya Maziwa ya unga ya Cowbell Matatani

    By the way wafanyabiashara na makampuni mengi yanayoagiza bidhaa za chakula kama chocolate, biscuit , cornflakes, cereals n.k. huo ndio mchezo wao. Wengine wana mpaka machines za ku-repack and labelling.
  5. Kabembe

    CHUKUA TAHADHARI: Usifanye hii biashara! Usiseme hukuambiwa!

    Wanautoaje kwenye hiyo exhaust system?
  6. Kabembe

    Hii tabia ya kinafiki kwenye misiba Watanzania tuiache mara moja

    Huu ujinga uko mwingi sana , hadi kwenye magroup ya WhatsApp utakuta watu wanahimizana kuwa na michango ya misiba , hakuna hata group moja linaongelea kuchangia wagonjwa au shida nyingine , ni misiba tu. Yaani ni kama Tanzania ina nyota ya Mauti(kifo). Watu wote wasomi, wanasiasa, watawala, na...
  7. Kabembe

    Elon Musk ampiku Jeff Benzos kwa utajiri duniani

    Bado hajampiku Jeff Bezos wa Amazon
  8. Kabembe

    Mtu ukiwa na pesa, somesha mwanao international schools, achana na hizi exam based schools or education

    International schools are not for everybody, hata ulaya na marekani kuna private na public schools. Jambo la muhimu ni kuwa na mitaala inayoendana na wakati na mazingira. Mfano, kuna haja gani ya mwanafunzi wa sekondari kusoma masomo 8 hadi 10?
  9. Kabembe

    Startimes ni wezi wa vifurushi, TCRA wachukuleni hatua

    Tokeni na ujinga wenu hapa, waongo na wezi wakubwa nyie. Labda mnapata jeuri sababu serikali ina hisa kiasi kwamba tcra haichukulii uzito malalamiko ya wateja kuhusu ubovu wa huduma zenu. Mimi nina ushahidi, niliwahi lipia subscriptions na nikapata huduma baada ya siku tano tena kwa kupiga simu...
  10. Kabembe

    Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu ,I am withdrawing my thread, someone took me through the all process and found text messages which shows the money was deposited to my account. Btw ,kwenye simu yangu upande wa text message ili kuzuia sms za hovyo hivyo natumia True caller sms app kublock sms za matangazo, promotions na...
  11. Kabembe

    Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    But unajua aliyenielekeza kwa huyo bank officer ni customer service manager tena akanipa hadi viwango vya kufungulia hizo account. Inawezekana branch nzima wanakula mgao! Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Kabembe

    Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Alipokea na akaweka mfukoni, na si kwa mtu mmoja. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Kabembe

    Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Hata humu naweza pata jibu na tena likawasaidia wengi. Mjinga wa leo mjanja wa kesho. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Kabembe

    Aidha Wafanyakazi wa NMB Bank au NMB Bank yenyewe au wote wanaibia Wateja na serikali

    Wakuu naandika uzi huu nikiwa shuhuda wa ninalotaka kuongelea, inawezekana labda mimi ndio sijui mabadiliko ya mifumo ya kibenk haswa kwenye kufungua account mpya. Nimewahi fungua account kadhaa kwenye bank tofauti hapo nyuma lakini hili nililolishuhudia NMB limenistua. Mara zote unapofungua...
  15. Kabembe

    Kujilinda na vibaka ama wavamizi bila ya kuwa na silaha

    Niliwahi kuwakimbia vibaka na kuingia kwenye nyumba ya vibaka (watoto yatima). Hiyo nyumba ya watoto yatima ilikuwa inavutwa bangi 24/7. Bahati nzuri nilimkuta kibaka mkuu (kiongozi wa hiyo kambi )ananifahamu, wakanisindikiza hadi home na nikawapa 5,000/=. Kuanzia siku ile hata iwe saa ngapi...
  16. Kabembe

    Vyama vya wafanyakazi Tanzania vinakwama wapi?

    Vyama vya wafanyakazi ni mzigo mwingine kwa wafanyakazi, yaani ukiweka PAYE, mishahara duni, poor working conditions, unyanyasaji na vyama vya wafanyakazi, hao ndio maadui wa ustawi wa wafanyakazi Tanzania. Suluhisho ni kwa Vyama vya wafanyakazi kujitoa kwenye kwapa za CCM (Siasa) au...
Back
Top Bottom