Search results

  1. T

    Dkt. Sule, kwa suala la Harmonize, wewe ndo haupo sahihi. Harmonize yupo sahihi kushinda wewe

    Msomi mjinga asiyekuwa na mipaka! Basi kula msosi kupitia tundu lako la chini, kwa sababu ni " personal experimentation" yako.
  2. T

    Iran yaishambulia Israel kwa makombora

    Israel ni spoilt child of America.
  3. T

    Sababu zilizopelekea Dini za Hinduism na Budhism kushindwa kumea Afrika

    Maneno mengi utafiti mdogo! Umeandika hisa bila rejea za kutosha!
  4. T

    Kuna haja gani ya muungano polisi kukamata wakristo huko Zanzibari wanaokula mchana?

    Muungano haukuwa kati ya Wakristo na Waislam. Kuna Waislam wasiofunga pia!
  5. T

    Kanisa Katoliki laanzisha bima yake ya afya kwa ajili ya waumini wao baada ya kuona wanahangaika

    Wanataka gharamia huduma za 'homos'. NHIF hai-cover huduma hizi
  6. T

    Mke wangu kapasua simu yake tena hii ni mara ya pili kisa hasira za kuchelewa kupokea simu zake

    Mnunulie kitochi kwa muda wa miezi sita..wakati unamuangalia muenendo wake! Ukimchekea kesho atachoma nyumba moto!
  7. T

    Ombi la Haraka la Uchunguzi wa Ushindani wa Haki katika Ligi Kuu ya NBC

    Vipi Azam hakuiona? Mapenzi/chuki huleta upofu!
  8. T

    Huyu ndiye Mungu wa Israel!

    Hivi Mungu wa Israel ni tofauti na Mungu wa Wafipa?
  9. T

    Mbwa adaiwa kushambulia watu Kinondoni Dar es Salaam

    Dar watu hawatembei na fimbo, sime na vikwapa! Sasa mbwa wataua na meno!
  10. T

    Mchambuzi Alex Ngereza unapotoka

    Hata WORLD CUP Kuna Lindi la kifo na kundi DHAIFU
  11. T

    Sababu ya Dube kuomba kuondoka Azam

    Azam please get a taste of your own medicine 💊💉
  12. T

    Tatizo la Muungano ni Uislam siyo Wazanzibari

    Una chuki zako binafsi juu ya uislam. Matokeo ya kasumba na matangopori uliolishwa kanisani. Ukristo unafundisha..."waache wafu wazikane" Mathayo 8 21-22.. hii ni baada ya Mwanafunzi Kuomba ruhusa kuhudhuria mazishi ya baba yake aliyekufa wa dini nyingine. Alinyimwa ruhusa kwa kauli hiyo hapo...
  13. T

    Sugu ameonesha ulimbukeni mkubwa sana kusema kuwa ameweka rekodi ya Dunia ya Muandamanaji aliyevaa vito vya thamani zaidi katika maandamano

    Once an artist always an artist. Sugu, Mbowe Wana asili ya usanii! Hawewezi kuacha asili hii
  14. T

    Mambo 10 niliyoyaona jana CRB na Utopolo

    Watasema Yanga imeiba "nyota" ya Simba!
  15. T

    Sipendi tabia ya mama kuingia chumbani kwangu bila hodi pamoja na kunilazimisha kunyoa ndevu zote

    Mwanaume =! Mwanamke ✓ Kuna kosa la kiuandishi hapo rekebisha!
  16. T

    Shangazi Fatma Karume akemea Udini wa CHADEMA

    Nilijua tu Kuna siku, Unabii fake wa Lema ungeki-cost CHADEMA. Kwa akili finyu za Lema, uelewa wake kuhusu dini ni kipimo kwa watu wote! Kapotea yeye, na anawapoteza wengine!
  17. T

    Mchina bado sana. Aache ujanjaujanja

    Hata toyota haitengenezi tairi na radio zilizopo kwenye magari yake na vifaa vingine vingi! Huu ndio mfumo sahihi wa manufacturing kwenye soko la kimataifa! Scania haitengenzi body ya magari yake...
Back
Top Bottom