Search results

  1. D

    Naomba kujua utaratibu wa usafiri wa ndege

    ha ha ha ha ha Umenikesha sn mkuu.Umeongea ukwel sijui toka moyon yaan mpk unatia huruma.Mi naomba nikupe offer kwanza ya first jet.Dar -Nairob,afu ndo uende hiyo safar yako sasa uko Dunian.Uko Dunian kila kitu kinajieleza mrad unajua kusoma kiinglish na kuelewa,bhas.Doa,Amsterdam,Dubai kila...
  2. D

    Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    I.John Dillinga 2.MR Chriss 3.Miss Jacky(101.4 enzi hizoo) 4.Milard Ayo 5.Charles Hillary 6.Regina mwalekwa 7.Mr flavour
  3. D

    Hili tukio huwa linanichanganya sana

    Yaan mi mwenyewe nimeshindwa kuelewa lugha aliyotumia.Nilijua ni Typing Error lkn duuh mwanzo wa habar mpk mwisho.Aisee...Embu tumwache kwanza asome alichoandika.Hakishindwa tutamrudisha grade One akajifunze Kusoma na kuandika si kwa UANDISH huu.
  4. D

    International seminar

    Awww...!! Thank you so much for sharing with us.
  5. D

    Jamani naomba kwa anaejua sehemu nzuri ya darasa la computer

    [MjOTE="Kiintaneti, post: 15901908, member: 352083"]Tiririkeni hapa Mim binafsi naona chuo kizur cha kusoma Course za computer ni UCC hutojutia hela yako na mda wako kwakwel,wako vizur na wako sehem mbal mbal hp DSM na kuna shift ni wewe tu unaingia mda gan.Kwa maelezo zaid fika ofisn...
  6. D

    Dida Shaibu, paka urimbo mwanaume anase, usimvute kwa uzi wa buibui

    Kwakwel Da Jane yuko juu.Heshima yako Da Jane.Kwenye UANDISH Nakupa A,Matumiz ya Alama za UANDISH A,Mpangilio wa Vichambo A, Kujibu Hoja A. .Yaan kama ni essay umepata zote kuanzia Introduction mpk Conclusion.Si kwa mifano iyo na mapicha picha ayo.Uyo mwingine bado sn akajipange...
  7. D

    Rais Magufuli: Ningejua kama Urais ndio hivi, nisingegombea

    Aisee wala usipoteze mda wako kubishana na uyu Dada anapenda sn UDIN.Wote tunamjua humu ndan.We Faiza Fox usijifanye DIN yako bora kuliko za wenzako.Kajiunge bas na Islamic state,Am shabab,Al Qaeda au Boko Haram tujue Moja.Unaboa.Baada ya kuelimisha watu waache UDIN unaponda Din za watu.#Shika...
  8. D

    Design Failure: Bagamoyo Road eneo la Samaki wabichi

    Siyo tu kuchepuka,hata gar likikuharibikia njian unaliacha hpo hapo mpk fund aje na km ukikuta Distance ya ulipoharibikiwa na kituon mbal bas itakua kero kubwa sn kwa wengine.Yaan huwez kuweka gar pemben kama tulivyozoea.Hapo Samak njia ya kwenda Masanah ni Tatizo La miaka sasa.
  9. D

    Naomba ufafanuzi kuhusu adhabu ya Basil Mramba na wenzie

    Yes,bado wapo wanaendelea kufanya kaz za Community service Hospital ya sinza palestina. Wanasimamiwa na Supervising officer aliyeteuliwa na Community service officer mbele ya mahakama.Supervising officer hapa atakua in charge wa hospital ya palestina. Wanafanya kaz masaa ma4 tu kwa siku kila...
  10. D

    Lulu afungukia mahusiano yake na DJ Majay

    Yaan acha kbs nilikua na muadmire sn uyu mama enz hizo yuko TBL km marketing maneja na matamasha ya likizo tym na akina Majay na Vj Penny channel Ten/magic fm.Mara akainvest maisha club na Enterntainment masterz mihela tu akawa anaingiza,Aiseee kama mpunga Bi mdash anao na maisha mazur...
  11. D

    Mramba na Yona kutumikia kifungo cha nje. Kufanya usafi hospitali ya Palestina, Sinza

    Mkuu tafuta,The community service act,No 6 of 2002.from Ministry of Home Affairs. Maelezo menginge kuhusu kifungo cha njee nimeyaeleza uko nyuma.Shukran.
  12. D

    Mramba na Yona kutumikia kifungo cha nje. Kufanya usafi hospitali ya Palestina, Sinza

    Hata hpa Tanzania hii adhab ya kifungo cha nje mbona ipo sn Community Service Department iko chin ya Wizara ya Mambo ya Ndani inahudumiwa na Social workers lkn wahusika wakuu ni Probation officers Uko Dunian hiz adhab zinajulikana sn kwasababu mara nying uwa wanapewaga Maceleb na kule...
  13. D

    Nateseka na wanangu, wasamaria wema nisaidieni nipate pa kuishi na mtaji wa genge

    Tungekusaidia lkn sasa dunia haiminik,nan Ana uhakika kama kwel unashida? Inakua ngumu sn.
  14. D

    Zitto Kabwe: Kahama, Kawe, Ubungo na Segerea wananiomba nigombee ubunge

    Kama humu jf tungekuaga tunatoa Tuzo bas,we ungechukua Tuzo la Mjinga Bora wa Jamii Forum.Uwege unafichaga ujinga wako bas,yaan unaandikaga utumbo.Sijui unakuaga umeashikiwa bastora na Al Shabab lzm ucomment ----- km sivyo wanakuua.
  15. D

    Hiki ndicho kilichosababisha Sugu kung'aka, "Mimi sio mbunge wa wasanii''

    The top rated comments on here have made my evenin'.Thanks Guys fo makin' me smile.
  16. D

    Jackline Silemu ITV

    Baba Desi Nadhan utakua unamsema Laurah George ndo aliyekuwepo enzi hizo na Si Suzan George. Kulikuwa na Laurah George na Suzane Lukindo/Mungy aliendaga BBC London akarud na sasa hiv ni mmbos TBC I. Zaid ya hao wawil utakua bas umechanganya majina sa sijui unamsema nani hapa, Laura George or...
  17. D

    Madawa ya Kulevya: Padri John Wotherspoon atembelea Tanzania

    East African Eagle Ungekaaa kimya tusingeona ujinga wako kwakwel,picha umepewa kusoma napo ukashindwa,Kwa tarifa yako tu uyo Padri hana shida yoyote ile na hapat faida yoyote ile kuwasaidia hao watoto wa wafungwa.Kwa maelezo zaid tembelea tovoti yke.v2catholic na iyo website inajulikana mpka...
  18. D

    Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

    Bunge ilikua Kiboko yao,hakuna forodhan,olympio,kisutu wala muhimbil,mambo yote yalikua site senta,wakishua mixa wauswaz ilikua balaaa.Rest in Paradise brother Salehe Gate Keeper)
  19. D

    Padri Wootherspon: Kukutana na Dr. Slaa ni sawa nakukutana Mandela au Nyerere

    Walioweza kuonana na Fr John au hata kuwasiliana.nae wanaweza kumjadil uyu Padri vizur lakin wengine umu.ndan naona.mnatoka na mapovu kwa kuandika ----- tu.Fr John si mwanachama wa chama chochote na si mtanzania na hapat faida yoyote ile kuwasaidia Watanzania.kama fr ameguswa tu na watanzanja...
Back
Top Bottom