Search results

  1. E

    Naomba ushauri ili nifanye maboresho ya ramani hii

    Habari zenu wadau wa ujenzi. Tafadhali naomba maoni yenu kwenye hii ramani, mnaionaje? Ina mapungufu gani? Niifanyie MABORESHO gani? Asanteni!
  2. E

    Tatizo kisima kuvuja

    Wakuu habari zenu. Naombeni msaada nina kisima ninachovuna maji ya mvua, naona kama kinavuja ndani kwa ndani kwani maji hayajai tena, nilijaribu nikatoa maji yote, nikasafisha na kusakafia tena pamoja na ule unga nimeaahau jina lake, wanasema unaziba, lakini naona maji bado hayasogei, Kama...
  3. E

    Uchaguzi 2020 Kwanini Rais anajitangazia ushindi?

    Hii ya Rais wa sasa kuwakataza wateule wake wasiende kugombea eti kuwa waridhike na akiwataka kuingia kwenye Baraza la Mawaziri atawateua. Najiuliza ameshajihesabia kuwa ameshashinda? Kwa Mamlaka gani ambayo anayo na kujihakikishia ushindi? What if akapigwa za uso? Anyway, nimejiuliza pia hawa...
  4. E

    Hali ya kanisani kwetu jana

    Halo wana jukwaa Jana niliamua nifanye kautafiti kadogo tu juu ya waaumini kwenda kanisani, kutokana na hili janga la Corona. Nilisali misa ya kwanza, na nilikaa nyuma kabisa kwakuwa nilikuwa nahudumu, kanisa lilikuwa na watu kama nusu ya kanisa na tulipohesabu sadaka kwa michango mitatu...
  5. E

    Visa vilivyowahi kunitokea maishani

    Habari ya jumatatu ya Pasaka!!! Leo nimeamua nilete visa vyangu nilivokutana navyo katika maisha. 1. Nilipokuwa kidato Cha 5 mtaani kwetu kulikuwa na mkaka ananitania mchumba angu, mchumba angu...basi Kuna siku akasema nisindikize kwa shangazi yangu Magomeni Mikumi, nikakubali tukapanda...
  6. E

    Wazo Fyatu: Wapinzani wote tuhamie CCM

    Habari wanajukwaa. Kwakuwa kumekuwa na hamahama ya viongozi wa kisiasa toka upinzani kwenda CCM na inasemekana kuwa wamekuwa wakinunuliwa kwa pesa nyingi. Kumekuwa na uonevu wa wazi kwa vyama vya upinzani hata kwenye chaguzi wa serikali za mitaa imeonekana wazi Rais wa nchi anataka nchi hii...
  7. E

    All the best Taifa Stars

    Kwa miaka 39 hatukuwahi kuingia kwenye mashindano ya Afcon...now tumepata nafasi...naona watanzania wanaiombea vibaya timu yetu...kweli sisi watanzania Ni pasua kichwa...Mungu atusamehe tu....nahisi tuna ka asilimia ka ukichaa... anyway mada yangu Leo Ni kuitakia timu kila lililo jema iweze...
  8. E

    Natafuta kuku wa kisasa (broiler)

    Tafadhali natafuta broiler aliyetayari kuliwa maeneo ya Mbezi na Kimara. Bei ni tsh 5500 kushuka chini.
  9. E

    Natafuta chain saw.

    Habari zenu wajasiriamali. Natafuta chain saw ya kukodisha kwaajili ya kukatia miti shambani kwangu. Nipo dar lkn nitafanyia kazi ya kukata miti Mkata, Handeni Tanga. Kwa anaeweza kuniuzia pia anakaribishwa.
  10. E

    Why Men Love or prefer bitches???

    Wana MMU Salama wakuu!! Kwenu nyie wanaume naomba mnisaidie why do you prefer bitches?? Nimekua nikiona wanaume wengi pamoja na kutambua dada fulani ni malaya lakini mmekuwa mkipigana vikumbo kuwafatilia tena sio kwa one night stand bali kwa mahusiano ya muda tu. Huwa nawashangaa...
  11. E

    How to make the first birthday special

    Waungwana habari zenu!!! Naomba msaada wa kujuzwa jinsi ya kuifanya birthday ya kwanza kabisa ya mwanangu kuwa so special Si mnajua tena it is once in a life time...ni furaha kama mzazi kuona mwanao anafikisha mwaka mmoja huku akiwa mwenye afya na furaha tele!!! Nafahamu yeye hailewi na...
  12. E

    Natafuta mume tuoane

    Salama wakuu wa love connect. Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 37, nina mtoto mmoja wa mwaka mmoja, baba yake tuliachana ila hatukuwahi kuishi pamoja, nimeajiriwa serikalini, nina elimu ya masters. Umbo langu ni mnene kiasi, maji ya kunde, dini mkristo mkatoliki, ninaishi dar. Natafuta...
  13. E

    Kiwanja kinauzwa bunju

    Kiwanja kinauzwa Bunju A maeneo ya Chalii. Kina ukubwa wa 35 kwa 25. Ni 20M lakini hakijapimwa.
  14. E

    Hivi ngono ni hitaji la lazima?

    Wadau wa jukwa hili natumaini hamjambo na kwale waliopata na misukosuko ya mafuriko poleni sana. Nina swali langu hili. Baada ya kusoma yale yanayoendelea Mbagala Zakhem watu kufanya ngono mchana kweupe na kununua kwa tsh 3000 na watu kupanga foleni kusubiri zamu zao na wengine hufanya wakiwa...
  15. E

    Dr Nchimbi yu buheri wa afya

    babalao 2 acha uzushi wakuwatakia watu mabaya. Nimeongea na Dr Nchimbi sasa hivi baada ya kushtushwa na thraed yako yu mzima kabisa wa afya njema. Uache uzandiki. pawa futa thread ya Babalao 2 ni ya uzushi.
  16. E

    Ushauri kuhusu biashara ya bisi

    Wadau wajasiriamali ninawasalimu! Naomba kupewa ushauri wa ujasiriamali mdogo bisi. Huwa napenda sana kula bisi, kila nikipita wanakokaanga lazima ninunue nijilieeee, sasa kwa mapenzi haya nikatamani nami nifanye biashara hii, nimefanya kautafiti kidogo maeneo ya mtaani kwetu hamna...
  17. E

    Vifaranga vya machotara

    Wapendwa wajasiriamali habari zenyu! Nimeamua kufuga kuku na nimetamani kufuga machotara wa malawi na kuchi, tafadhlini naomba msaada wa kupata vifaranga bora kwaajili ya ujasiriamali nipo dar nafanya ufugaji maeneo ya mbezi ya kimara. Nataka kuanza na kuku 400. Nitashukuru nikipata...
  18. E

    Hivi wanaume hawa bado wapo miaka hii?

    Wana mmu habri zenu.Naombeni msaada. Nipo kwenye maswali mengi kama hii inawezekana au mazingaombwe au naibiwa?Nipo kwenye mahusiano na mkaka toka mwezi wa tatu mwaka jana, kwa kipindi chote kaka huyu hajawahinigusa kwa mapenzi zaidi ya kushikana na kubusiana tu au wakati mwingine kumaliza...
Back
Top Bottom