Search results

  1. Verified

    Nchi ya Ujerumani imepangika vizuri sana(Kiuchumi)

    Vipi Bondeni hapo kwa Madiba? Jo'burg Cape Town Pretoria Port Elizabert Durban Kwazul Natal Vipi hiyo miji?
  2. Verified

    Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

    KIMEGUSA LAMI? AU MBELE YAKE KUNA PLOT NYINGINE??
  3. Verified

    LAPTOP HP 250 12th GEN- FOR SALE

    If someone offers you 500k, sell it asap!! You'll thank me later
  4. Verified

    Hatutarajii Julius Mtatiro kufanya uzinduzi wa Guest House huko Shinyanga

    Tatizo lipo wapi? Ujinga ni pale mnapozidharau guest house kwa kuwa akili zenu zimejawa na uzinzi! Mnasahau kwamba Guest House ni sehemu ya biashara tena inayoipa mapato serikali kama zilivyo biashara zingine!
  5. Verified

    Tunafunga CCTV camera kwa bei ndogo

    Tunafunga Camera 6 kwa Tsh. Milion 3! Karibuni sana wateja
  6. Verified

    INAUZWA Nyumba kuukuu inazwa Mbagala kwa Mangaya

    Inauzwa Milion 180, na bei haipungui
  7. Verified

    Mwanamke aliefanana jina la mama yangu ama mama mdogo wangu hachomoki na ananipenda kweli ni hadi mimi nimwache, kuna nguvu za kiroho ?

    Ni coincidence tu mkuu, mambo ya kiroho ni kweli yapo kwenye issue za mahusiano, ila hii yako ni ya kawaida sana, the fact kwamba hao wengine ulio taja hukuingia nao kwenye mahusiano. Halafu kuzoeana na mwanamke haimaanishi ndio anakupenda, ni mambo ya kawaida sana! Ila nikijaribu kukusoma...
  8. Verified

    Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Nami nimelisoma kwa style hiyo. Ameshasema hata akichepuka huwa analazimisha kuliwa ndogo, means akipata mwanaume ambaye hatumii huo mtandao, bado atamkumbuka aliyemfundisha!! #SMH
  9. Verified

    Nawezaje kuachana na mwanaume mbabe anayeniingilia kinyume?

    Haya mambo ni magumu sana, Tatizo lipo hivi; Anaweza akaachana na huyo mwanaume, then baada ya lets say mwaka mmoja, akapata mwanaume mwingine ambaye hajui A wala B kwamba mwenzake alikuwa na michezo ya kurukwa ukuta, mwanaume akatangaza ndoa akamuoa na kumfanya kuwa mwanamke wake wa heshima...
  10. Verified

    Mabishano ya kidini yanafanywa na watu wenye Upeo Mdogo wa Akili

    Kuna hili swali, waislam wengi wanalikwepa. Je waliopewa kitabu ni akina nani?
  11. Verified

    kwanini AJIRA PORTAL baadhi ya kazi Mtu aliesoma Biotechnology and laboratory sciences hawezi kuaply hata kama ana sifa

    Bacherol = Bachelor Microbilogy = Microbiology Watch your spelling, huenda shida inaanzia hapo!
  12. Verified

    Nafasi ya kazi kusimamia apartments Arusha

    1. Receptionist 2. House Keeper/Cleaner 3. Social Media Manager Kazi za watu watatu tofauti tofauti unataka uajiri mtu mmoja! Lack of understanding!!
  13. Verified

    Nifahamishe kituo cha watoto yatima chenye uhitaji mkubwa sana

    Nenda Machame ukawasaidie ndugu zako UROGWE, au uambiwe "unaringa kisa una vihela, na tutaona kama utafika mbali"!!
  14. Verified

    Mlio karibu na Tundu Lissu mumkanye aache mara moja kuropoka ropoka!

    Ndugu Rutashuba Nyuma bandiko lako linaonesha jinsi ulivyo nyuma kama jina lako!! T.L amewashika pabaya, na kwa sasa ndio tumaini pekee walilo nalo Watanzania! Kama concern yako ni IDADI ya wamasai kule NGORONGORO, hiyo concern ihamishie Zanzibar kwanza, maana ni eneo dogo lenye limitation ya...
  15. Verified

    Siku hizi wanawake wasomi warembo wenye hela wanasaka wanaume gym

    Don't forget kwamba na mashoga wengi wanashinda GYM!
  16. Verified

    Huu ni udhalilishaji mkubwa kwa Dini za Kikristo. Clip Kutoka madhabahu ya GeorDavie

    Ushawai kumsikia akimtaja YESU au aki recite Bible? Huyu mbona sio Mkristo, ni Motivational Speaker! Kusajiri taasisi za dini kunawasaidia wapigaji kukwepa kodi
  17. Verified

    Kibongobongo kumiliki milioni 100 kabla ya miaka 30

    Hiyo pesa ni ndogo sana! Hiyo ni dola 42,000, kuna vijana wadogo tu, wanazungusha crypto Huo msemi unamaanisha 40 ni umri wa kuanza kutumbua ulichokusanya from 20 - 39!! Kula bata bila stress ya pesa
Back
Top Bottom