yes uhakika nilikuwa nao, but who cares so long as they leave the country, hata Marekani ukitaka kuondoka nchini mwao hawakuzuii. what's the point kumzuia mtu kuondoka nchini?. hapa tunazungumzia Sheria ya uhamiaji je ni kweli iko hivi?
Kama mnakumbuka mwanzoni mwa miaka ya Tisini kuna kundi moja la vijana wadogo lilikuwa linaitwa Kriss Kross, likiwa na vijana wawili mmoja akiitwa Chris Kelly au "Mac Daddy" na Mwingine akiitwa Chris Smith "Daddy Mac".
Habari za hivi punde zinasema Mac Daddy Chris Kelly, amefariki dunia kwa...
Wiki iliyopita, niliwasili katika uwanja wetu wa kimataifa JK Nyerere, katika moja ya safari zangu nje ya nchi., Kwa bahati mbaya ticket yangu ilikuwa na matatizo nikaambiwa nikae katika madawati upande wa kulia kama unaingia katika sehemu ya kukabidhi mizigo wakati wanashughulikia tatizo langu...
Kwa wale wasiomjua Steve Jobs nadhani kwa njia moja au nyingine wamesikia na kutumia vifaa alivyovianzisha among few being
1.Ipads
2.iPhones
3. ipods
3. Macs computers ( Macbook, iMac, Mac pro, Mac min etc)
Huu ndio wasifu wake
Steve Jobs
Steven Paul Jobs (February 24, 1955 – October...
Be Proactive
create environment, choose response before problems start
Begin with the End in Mind
create cognitive mindset, what is the vision, what is the habit
Put First Things First
application of mindset, habit in action, short-term goals
Think Win-Win
achievements depend on...
Wiki iliyopita nikitokea Dar kuelekea Nairobi na ndege ya asubuhi sana (inaondoka Dar around saa kumi usiku), Kutokana na matatizo ya mawasiliano (Nairobi) ndege nyingi zilizokuwa zinaelekea huko, zilichelewa na nyingine kama Turkish airline iliyoruka kuelekea huku ilibidi irudi Dar.Ndege yetu...
MAOFISA WA JUU WATUHUMIWA KUIHONGA KAMATI YA MAKAMBA
WIZARA ya Nishati na Madini imeingia katika kashfa nzito ambapo baadhi ya maofisa wa wizara hiyo wanatuhumiwa kuwahonga baadhi ya wabunge katika Kamati ya Bunge ya Nishati na Madini kwa kile kinachodaiwa kutaka bajeti ya wizara hiyo kupita...
Kwa sasa ukisema nani katibu mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi, watanzania wengi wanaweza wakakupa jibu, ila ukiuliza hivi nani alikuwa na hicho cheo kabla ya Nape Mnauye nadhani ni wana-CCM (sio wanatanzania kwa ujumla) wachache sana wana jibu hilo.
Je hii ina maana Nape anatiza wajibu wake/...
Wapinzani wa Serikali ya Kanal Gadaffi wamekiri kuwa wako katika mazungumzo na serikali ya Ufaransa ili kupewa silaha zaidi kuweza kumuondoa Gadaffi Madarakani.
Pamoja na kwamba Serikali ya Ufaransa haijakiri kuwepo kwa mazungumzo hayo, ila imekiri kuwadondoshea silaha wapizania hao silaha kwa...
Katika pitapita yangu kusoma habari za nyumbani nimekutana na habari hii nikaona hebu nishare na wanajamii
Nchi Ya Wapiga Porojo Itaendelea Kwa Muujiza Upi?
Na Nova Kambota
Kama kuna jambo linalowaumiza vichwa watanznia basi ni swali kuwa kwanini kila wanalopanga halifanikiwi? au kwanini...
Nakubaliana kabisa na mwendabure,
hizo takwimu za TRA, kwanza kabisa zinatokana na Bandari ya Dar es salaam kuvurunda hivyo kutumia ya Mombasa.
Lakini hiyo haitoi justification ya kuchukua hata hicho kidogo kilichopo na kukipeleka Tanga,.
Tanga haina tofauti kubwa na Zanzibar na Bagamoyo, nenda...
"Kwa uchumi na usalama wa nchi serikali ya Tanzania inapaswa kufanya maamuzi mazito na kuwasilisha maombi bungeni ya kutenga kiasi cha Shilingi Bilioni 131 ambacho kinahitajika kama sehemu ya kuchangia asilimia 15 ya mkopo kwa ajili ya mradi wa Bomba la Gesi kutoka Mtwara mpaka Dar es salaam na...
MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika, amesema haitoshi kwa Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, kuweka ukomo wa kukamilika kwa katiba mpya ifikapo mwaka 2014 ,bila kuweka ratiba ya mchakato wa kupata katiba hiyo.
Amesema wananchi wanapaswa kupokea kwa tahadhari taarifa ya Pinda kwa kuwa alipaswa kuitoa...
MAKAMU Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Profesa Idrisa Kikula amesema hawezi kushawishika kwa lolote katika kuwarudisha chuoni hapo wanafunzi kwa kuwa anazo taarifa kuwa baadhi walitengeneza mabomu ya kupambana na polisi.
Profesa Kikula alitoa kauli hiyo jana wakati akizungumza na wakuu wa wilaya...
Sitta ajitosa mjadala wa posho
WAZIRI wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta amejitosa kwenye mjadala wa posho ulioanza bungeni hivi karibuni akieleza kuwa suala la kujadili posho za wanasiasa na watendaji wengine linatakiwa kuanzia ngazi ya chini.
Alisema juzi katika mdahalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.