Brother, it happens to any human beings so we si wakulaumiwa ni sawa na kupata ajali ya gari. Kuogopa kupima sio suluhisho maana utaendelea kujitesa bure better you know once and for all then you will make decision from there. I dont think your frind is a killer what could have happen labda...
Breaking news!!!! Ndege ya ATC yaanguka uwanja wa ndege Kigoma!source TBC1 breaking news, inasema watu 35 wamenusurika, habari zaidi baadaye. Mdau mwenye taarifa zaidi atupatie.
Spea sio issue maana hawa dada zetu wanatumia gari vizuri, so nashauri nunua corola haina ufundi, pia inaweza kwena masafa marefu...haya mengine yanaweza kuchemsha anytime. kuhusu mkopo please angalia interest rates...you should go for the lowest.
Sikuyaamini yale niliyosikia ..ina maana JK anahofu kama Ghadafi au, wana JF naomba tuiangalie hii kauli kiundani na kwa umakini, Chadema haikua inacampaign mambo ya dowans???!!!! haya ndo mambo ya kuwadanganya wananchi na hivyo naomba mwongozo tumchukulie hatua gani!
Wewe kama mkuu wa familia una 'say' hivyo amka asubuhi mwambie ajira yako leo mwisho na unampa 24hrs notice. maadam anajua kua anamchakachua mkeo hatakua na kipingamizi kuondoka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.