Search results

  1. W

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Mkuu hata uchaguzi usingerudiwa tungeendelea kuwa maskini tu, haimaanishi kuwa hizo hela ndo zingukuja kutusaidia, so better haki itendeke na tuendelee kupambana kuliko kukaa kimya wakati tukiendelea kuwa maskini kwa maana nyingine with or without uchaguzi kurudiwa we will still be poor, but...
  2. W

    Mbunge wa Sumbawanga Mjini (CCM) avuliwa ubunge na mahakama!

    Confirmed Mbunge was Sumbawanga avuliwa ubunge rasmi
  3. W

    Matokeo ya Uchaguzi mdogo Igunga (matokeo ya awali)

    Kata nne mpaka sasa zimetangwa kata nne ambazo zote CCM wanaongoza, moja ya hiyo kata ni sehemu anakotoka mgombea wa CCM, kwa bahati mbaya majina ya kata sijayakariri vizuri
  4. W

    Shitambala ajibu agizo la Dr. Slaa

    Samirnasir nafurahi sana kusoma hii post na pia naunga mkono kama CDM inahitaji kubadili mtindo wake wa viti maalum ili kupunguza malalamiko. Lakini pamoja na hayo yote pengine tusisahau mambo machache na hata tunapolaum tukumbuke hata hao walioshiriki kuandaa mchakato huu hawakuwa miungu wala...
  5. W

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    hahahaaaaaaaaaaaaaaaaa, angalau nimecheka jioni hii, asante mkuu. kuna watu huku ndani I cant even describe. hulala wakitafuta nini cha kuzua
  6. W

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    You are not missing anything mkuu, kuna watu humu ndani yaoi ni kufanya spining kila kukicha na kufanya chokochoko ili wapate ya kuongesa kuhusu CDM, hakuna sehemu zitto amezungumza kuhusu msimamo wa chama chake, watu wameamua kumchokonoa tu ili wafurahi wao, na hata kama kuna tetesi (i dought...
  7. W

    Zitto anataka kusaliti CHADEMA?

    Tatizo lenu hapa ndani mnapenda kuona CHADEMA inasambaratika ndo maana mnatafuta wapi kwa kuanzia, mlianza wakati aliotangaza kugombea uKUB haikuwork sasa mwatafuta njia nyingine, aliyeandika hapo amesema ni tetesi na akaomba zitto azungumze, zitto hajajibu tayari mnaanza kumtukana what is this...
  8. W

    Pinda aapa bila Msaafu wala Biblia

    Kwa sababu yeye ni mkristo na hata wakati wa kiapo cha ubunge alifanya hivyo do we need a rocket science kujua alichoshika ni biblia au quran wakati tunajua ni mkristo kweli JF ni zaidi ya thinkers
  9. W

    Pinda aapa bila Msaafu wala Biblia

    Siyo kweli kama Pinda ameapa bila msahafu. Ameapa akiwa ameshika biblia na imeonyeshwa kabisa usipotoshe watu mkuu source: TBC
  10. W

    Elections 2010 Kikwete awateua Meghji na Nahodha ubunge

    Mizizi nakubalina na wewe katika aya yako ya kwanza ambayo umeeleza vizuri sana kuhusu uteuzi wa rais kwa wabunge watatu toka zanzibar na ninakubaliana nawe kabisa. Hata hivyi paragraph ya pili mimi sikubalini na maelezo yako kwani yanapotosha hali halisi ya CHADEMA, na isingekuwa haki...
  11. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Pole sana Mwera na pole zaidi kwa wenzetu kuwepo kituoni, lakini naamini watatoka tu, haya ndiyo mapambano dhidi ya udhalimu na wadhalimu na hii ndo njia peke tutawatoa hawa wezi mmoja baada ya mwingine. Nisikuchoshe mkuu sherehekea kwa bidii maana hilo ni bao na tusi kwa PM tema uwanjani kwake...
  12. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Mwera naomba pia upige kelele sana on my behalf pia ili pinda apate ujumbe kuwa mpanda siyo sumbawanga mjini walipochakachachua na kuhakikisha mtu wao anashinda kwa kura 196. shout mpaka dodoma isikie na waambie waseme waliosema chadema ni cha kaskazini na cha wakritooo. hilo hakika ni bao...
  13. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Mwera what a news???? natamani ningekuwa hapo nami nasherekea, maana ushindi huo unaongeza presence ya CHADEMA nyanda za juu kusini ikizingatiwa kuwa unafuta kabisa ile dhana ya CHADEMA ni cha kikabila na kidini. zaidi ya yote huyu ni moja ya viongozi wetu chadema. sasa inakamilisha safu ya...
  14. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Asante sana mwanakijiji, hujui ni kiasi gani nateseka kusuburi matokeo haya, asante kwani umekuwa more concrete kwa kuja na data hizo, kama utaendelea kupata update please keep on posting. You are the reason I am still awake asante sana God bless those who sufferes for this national
  15. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    kaka poleni lakini kuna habari nyingi mno mpaka zinatisha, asante kwa kulinda kura zetu, sisi kawe tulilinda siku mbili msichoke usiku mmoja tu! tuko pamoja
  16. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Mwanakijiji, hii habari inamchanganyiko sana, kwanza tuliambiwa CDM wameshinda kwa kura 607 (ameandika Kitila akimnukuu Zitto) then tukaambiwa CDM kashinda kwa kura 67 tu kulingana na mwera, baadaye mwingine akasema wamekurupuka CCM ndiye ameshinda sasa nawe waja na hii tema mhhhhh, sipati hata...
  17. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Mwera kuna sehemu huko nimesoma jamaa anasema CCM ndo ameshinda, si inamaana yeye kapata taarifa rasmi za tume ya uchaguzi? du silali kaka wewe tupashe hata kama ni habari mbaya
  18. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Mwamajamvi mbona mnatuchanganya? kuna mwingine hapo juu (OMUNGA) anasema acha kukurupuka mshindi ni CCM. sasa tuamini lipi? tafadhali kama huna hahika basi sema tetesi usiseme confimred Usichoke endelea kusaidia mkuu
  19. W

    Elections 2010 CHADEMA Yapeta Mpanda mjini; Yarudisha majimbo yake yote except 1!!

    Sasa basi na wewe weka source hapa na matokeo kamili maana unaosema wamekurupuka nao hawajaweka data kama wewe, hebu weka twimu tuamini kuwa nawe hukurupuki
Back
Top Bottom