Search results

  1. M

    Hunted in Tanzania, saved in Philadephia: Young albino amputees

    Albino amputees from Tanzania arrive in Philadelphia for proper treatment | Daily Mail Online
  2. M

    Kwa wanaokifahamu kipare

    thank youuuu
  3. M

    Matusi katika picha ya tangazo la Wema / Airtel

    Sijui kama ni mie mwenyewe ninaefikiria hivi lkn herufi zilizopo ktk hiyo picha yaani "WTF" ni initials wanazotumia watu ktk chat rooms na zinasimama badala ya neno " what the f**k" Sasa kwa waliotengeneza hilo tangazo ama wamefanya makusudi au ni mabumbuwazi. So kama watu wa Airtel mpo humu...
  4. M

    Will the Prince really shake hands with Tanzania's president?

    Will the Prince really shake hands with Tanzania's president? bit.ly @MailOnline
  5. M

    White House cancels Obama's African safari after plans are revealed to include military SNIPERS!

    President and Mrs. Obama are planning a trip to sub-Saharan Africa later in the month, but the White House has scotched a plan to include a Tanzanian safari on the agenda after a reporter revealed that a team of snipers with high-powered military assault rifles would accompany him in the...
  6. M

    Pembe za ndovu zaenye thamani ya zaidi ya Tshs 2 Billion zakamatwa HongKong

    UPDATED: Over £2million worth of illegally shipped ivory was confiscated by custom officers in Hong kong in the city's biggest ever seizure of endangered species products. Seven people were arrested after custom officials, acting on a tip-off, searched containers shipped from Tanzania and Kenya...
  7. M

    Men are more likely to drop dead from a heart attack during extra-marital sex

    You've been warned! Men are more likely to drop dead from a heart attack during extra-marital sex Affairs are often with younger women in unfamiliar settings, which adds extra stress to the activity Read more: Men are more likely to die from a heart attack during extra-marital sex | Mail Online
  8. M

    World's newest snake discovered in Tanzania by a British scientist

    The world's newest snake has menacing-looking yellow and black scales, dull green eyes and two spiky horns. And it's named after a seven-year-old girl "MATILDA' Matilda's Horned Viper was discovered in a small patch of southwest Tanzania about two years ago and was introduced last month as the...
  9. M

    Neno la leo -wadadaz!!!!!!!!!

    There were dayz when wadadaz used to cook like their mamaz, now they drink like their babaz!!!!!!!!
  10. M

    Quote of the day!!!!!!!

    There were dayz when girlz used to cook like their momz, now they drink like their dadz.
  11. M

    Ombi kwa waishio marekani

    Wanajf mnaoishi USA naomba maoni yenu. Mie nipo TZ ila mke wangu anaishi US na nimefanikiwa viza ili nije nimjoin . Tatizo ni kuwa nimepata kazi ya prof bongo na nategemea mshahara wa kama 3million, sasa nipeni maoni yenu kama ni ww ungechagua kazi au kwenda US. Nmeishi Euro kama miaka sita...
  12. M

    Rafiki yangu anaibiwa penzi

    Halloo, Nina rafiki yangu mpenzi jana kanilalamikia kuwa anahisi kuna mtu ana mahusiano ya kimapenzi na mkewe, ila ameshindwa kumkamata kwa sababu saa zote mkewe anafuta message zote kwenye inbox na sent items lakini msg counter inaonyesha kwamba kuna msg nyingi tu zimetumwa. Naombeni basi...
  13. M

    Uchaguzi mkuu 2010.

    Wanajamii vp tukianzisha kampeni ya kuwanyima ccm kura ili wajue kwamba wao pia siyo miungu watu, tukiweza kuimiza vijana wetu kupitia mitandao inaweza kusaidia kuielimisha jamii.
  14. M

    Re: OBOTE AMEME (BONDIA MTANZANIA)

    Nimetoka kuangalia pambano la bondia mtanzania aitwaye Obote Ameme na kijana mdogo wa kizungu, pambano limefanyika nchini Uswiss na lilikuwa linaonyeshwa na kituo cha Sky sports hapa UK. Lilikuwa ni pambano la utangulizi kabla ya pambano la Bingwa Klitchiko na lilikuwa la raundi nne. Kwa...
Back
Top Bottom