Search results

  1. Msaranga

    Kurasini: Vijana wanakinga mafuta yaliyobaki kwenye Malori ni hatari

    Ni Mara nyingi Mimi asubuhi hupita Mandela road kuelekea kibaruani huku kurasini sasa kwenye foleni kuna malori ya mafuta yakielekea bandarini kuchukua mafuta sasa kuna vijana wanakinga mafuta yaliyobaki sasa kwa mfano petroli ni mafuta hatari sana Na ni rahisi kusababisha mlipuko madhalani...
  2. Msaranga

    Ushauri fao la kujitoa NSSF

    Duh yaani wee acha tuu tunatiana umasikini hivi hivi
  3. Msaranga

    Ushauri fao la kujitoa NSSF

    Wadau, Mimi nimefanya kazi miaka 12 nikaamua kuacha kazi nikiwa na biashara zangu ndogo ndogo nikajua kiasia nilichonacho NSSF around 60milioni ingeniwezesha kupanua biashara zangu na kwenda mkoani kuwekeza kwenye kilimo. Cha ajabu nimekaa miezi sita nilivyofuatilia FAO lakujitoa NSSF...
  4. Msaranga

    Askofu Gwajima amshukia Mrisho Gambo, amtuhumu kuleta Siasa kwenye Msiba

    acha uongo mimi nilikuwepo watu walimshangilia sana Gwajima
  5. Msaranga

    Yaliyojiri katika kuaga Mwili wa Marehemu Philemon Ndesamburo

    Rip Mzee wetu kweli watu walikupenda sana na uliwasaidia sana bila kubagua mungu akupe raha ya milele
  6. Msaranga

    Ukweli mchungu, Lema mwisho wake 2020

    Pole Sana Arusha wanajielewa Sana lema ni mbunge wa maisha
  7. Msaranga

    Anayewajua vizuri Radar Recruitment

    Radar wapo vizuri Sana nawakubali mimi wamenipatia kazi ya maana
  8. Msaranga

    NI WIZARA GANI ZILIZOKWISHA HAMIA DODOMA?

    Tetemeko la Bukoba limesababisha uhamaji kuchelewa
  9. Msaranga

    TANESCO Vs Mgao wa Umma Tz

    Huku kimara mbona kila cku wanakata umeme naona Kuna kamgao
  10. Msaranga

    Mbowe ulipofikia lazima uachane na siasa za ushindani; Hausafishiki!

    Mbowe ni jembe letu acha ukibaraka na kujipendekeza
  11. Msaranga

    Mbowe ulipofikia lazima uachane na siasa za ushindani; Hausafishiki!

    Shame on you haya ni mambo binafsi hayana uhusiano nachama mboe ni jembe
  12. Msaranga

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    Acha kujipendekeza ni vizuri kuongea mambo ya msingi
  13. Msaranga

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    Hujitambu kabisa
  14. Msaranga

    Mh. Tundu Lissu, kuwa makini na CHADEMA

    Huna jipya shame on you
  15. Msaranga

    Tetesi: Hamisi Mgeja mbioni kurejea CCM

    Njaa ni mbaya sana ukawa wapo imara lowasa naye ndio chaguo letu
Back
Top Bottom