Search results

  1. B

    Master scholarship in GIS and natural resource management

    Wadau anayefahamu link yenye hii kitu. Iwe africa au nje ya africa.my dream ni kusoma hii kitu. Let me know wadau
  2. B

    Biashara ya lubricant za magari,pikipiki.

    Habari za muda wakubwa.naomba msaada kwa mwenye utaalamu wa biashara ya lubricant . Nataka kuanza hii biashara but sina uelewa wa mambo ya msingi yanayotakiwa customer wapo wa kutosha. Napenda kujua wapi naweza kuchua mzigo Kwa urahisi wa bei na quality.ni mtaji wa kiasi gani unafaa kuanzia.?ni...
  3. B

    Umiliki wa Ardhi na Nyumba: Taratibu, Mchakato na Ushauri wa Kununua na Kumiliki Kihalali

    Naomba kujua taratibu za kisheri mtu unpotaka kununua ardhi au kiwanja ambacho hakijapimwa N i mambo gani ya kuzingiti ili tatizo linapotokea usipoteze haki zako?
  4. B

    msaada wa Dvd za elimu ya mazingira.

    Nipo Arusha Naomba kujua ni wapi nawezapata DvD za kiswahili kwa ajili ya kuelimisha wananchi kuhusu umuhimu wa mazingira.zinazoelezea mambo ya defforestation,climate change,overstocking,illegal hunting,.ila ziwe zinahusu tanzania au africa.
  5. B

    bayern noma

    bayern kashamkojolea barc viwili
  6. B

    natafuta soko la Asali

    wana jf naombe kujua wapi nawezapata soko la asali la uhakika na price market inayotoa.
  7. B

    Niolewe na yupi kati ya nimpendae ama anipendae?

    mbona sijaona hoja gapo kama unasema mr y hunafeel naye lakini mr x unampenda.sasa utaolewaje namtu ambaye huna feeling.msaada usiwe kigezo cha ndoa.hapa inaonekana hela za mr y unazitaka wakati huo x unamfeel.use ur common sense
  8. B

    kwa wakina mama wanaotaka watoto tu?

    god help them
  9. B

    kuwahi kupiga bao wakati wa sex

    Nimekuwa nawahi sana kupiga bao wakati kudo.nimejaribu wakati mwingine kuhamisha mawazo lakini wapi!wataalamu nipewe mbinu ili nichelewe hata 15 minutes
  10. B

    gharama za kusoma programme ya executive MBA

    wadau naomba unisaidie kunipa mchanganuo wa gharama za kusoma Programme ya Executive MBA UDSM pamoja na ESAMI
  11. B

    Bunge letu si bunge tukufu

    Ni kwa muda mrefu sasa tumeshuhudia bunge letu likitawaliwa na uzalendo wa vyama zaidi kuliko kutekeleza yale wananchi waliyowatuma.mfano badala ya wabunge kujikita ktka kuchangia hotuba ya waziri mkuu badala yake muda mwingi umekuwa ukitumika kupigana vijembe ,kejeli na matusi.haya mambo...
  12. B

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    wadau ni kwa namna gani unaweza wekeza kwny mradi wa ufugaji nyuki kisha upate milioni kumi 10 kwa mwaka?soko kubwa la asali ni wapi ndani na nje ya nchi?
  13. B

    Ufugaji wa Nguruwe: Fahamu faida, hasara na mbinu bora za ufugaji

    Wana Jf. Naomba msaada nina eneo langu km heka moja msata nataka nianzishe ufugaji wa nguruwe.nifanyeje ili niweza pata faida 3mil baada ya mieizi 3.kujua soko?naamba mchanganua wa kitaalam?
Back
Top Bottom