Search results

  1. M

    Uraia Pacha Tanzania: Siasa ya Bernard Membe na hatma yake

    Jamani jamani jamani, Watanzania tuko zaidi ya millioni 40 ambao karibu wote ni masikini, ni wachache tu wenye uhitaji/uwezo wa kuwa na uraia wa nchi mbili. Hawa wachache wenye uraia wa nchi mbili kimagendo (kwa sasa sheria hairuhusu) makusudi yao ya kuwa na uraia wa nchi mbili ni maendeleo ya...
  2. M

    Tumpe Rais Kikwete heshima yake

    "Jana mwenyekiti wa CHADEMA bwana Freeman Mbowe alipokuwa akiwahutubia wananchi wa Wasso huko Ngorongoro alimtaka raisi Jakaya Mrisho Kikwete ajiuzulu na kuondoka Ikulu mara moja. Kisa kushindwa kuwalipa wafanyakazi kiwango cha chini cha sh.315,000!" Mambo hayo, kweli mh. Mbowe alitegemea...
  3. M

    Elections 2010 Siri ya Mshahara wa Rais na Marupurupu ya Rais Wastaafu...

    Bandugu ukishajua mwizi wako, what do you do? Tutafute solution ya kuwadhibiti waache kutuibia! Inawezekana ikatuchukua muda lakini la msingi ni kuanza kuweka mikakati ya kueliminate these self centred politicians. Kwao wanatumia siasa kama forum ya kujinufaisha na sio kuwatumikia wananchi kama...
  4. M

    Wahadhiri vyuo vikuu vya umma kugoma

    Kugoma kwa ajili ya maslahi yako binafsi sio jambo la kiungwana wala kishujaa, these people are self centred. Watanzania wangapi hawana uhakika wa kula, watanzania wangapi wanakosa matibabu kwa ajili hawana pesa za kulipia matibabu, watanzania wangapi hawana ajira, watanzania wangapi...
  5. M

    Awekwe wapi kiongozi huyu?

    Fanya ufanyavyo, sema uonavyo, danganya uwezavyo lakini siku moja tutakubaliana kwamba muungano huu una kasoro nyingi. Ukiishaungana hasa kwa style hii ya muungano wetu lazima kuwepo na chain of command inayo usisha pande zote za muungano, kwa mfano mawaziri wa wizara zilizo kwenye muungano...
  6. M

    Matukio Tisa yaliyomdhalilisha Rais Kikwete 2006-2010

    Hayo ni matukio yanayotudhalilisha Watanzania. Now what next? Tuko tayari kuendelea kudhalilishwa? Kudhalilishwa kungekuwa kunaendana na kuendeleza maisha ya Mtanzania kusingekuwepo malalamiko mengi, lakini kibaya ni kudhalilishwa pamoja n maisha ya Mtanzania wa kawaida kuendelea kudidimia...
  7. M

    Waraka: Kanisa Katoliki laandaa waumini uchaguzi 2010

    Ogopa sana watu au taasisi au chama cha siasa au serikali inayo shindwa au kataa kuelimisha uma kwa kuogopa kuondolewa madarakani. Maanake uma ubaki na kutoelewa ili uendelee kudanganywa, kutawaliwa kiujanja ujanja na kuibiwa kiujanja, kwa mwendo huu hakuna maendeleo, umasikini, magonjwa na...
  8. M

    Karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo

    Maoni yangu ni kwamba wake za vigogo ndio wanamdandia
Back
Top Bottom