Search results

  1. Mcben100

    Sasa ni dhahiri CCM inamuogopa Mbowe, lakini unadhani ni kwanini inamuogopa kiasi hiki?

    Kwa iyo shemeji ndo umeamua kuja kunisemea huku mitandaoni, sawa nashukuru sana
  2. Mcben100

    Mhariri wa Gazeti la Majira umewaza nini hadi kuja na Kichwa cha hovyo hiki cha Habari leo?

    Kwa tabia hiz za watz hii nchi itaendelea kukopa kwa kutumi lasrimali zake. Kumaliza umasikin itakua ni ndoto isiyofika asubuhi.
  3. Mcben100

    Hii ngoma ya fally ipupa Associe kali sana

    Hujasikiliza humanisme utakuja kunishukuru
  4. Mcben100

    2013 kurudi nyuma ukipata division one watu wanakushangaa ila siku hizi ukiikosa watu wanakushangaa zaidi!

    Nafikir watu wanaona shule sio muhimu tena kama zaman ilivyokua huyo mwenye división one enzi hizo hata serikali itamtafuta na kumpa ufadhili na pengine kupewa nfasi kubwa baadae, lakin siku hiz hata ambao hawakusoma wana nafas kubwa na wanaongoza wasio. Nadhan kuna dhana ya kwamba kufaulu shule...
  5. Mcben100

    Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?

    Kilichotekea 2015, ni kielelezo kuwa bila wiz, na tume za mchongo ccm haiwez kwenda popote. Hili lilimpa hofu sana mwndazke baada ya kupitshwa kimagumash na ndipo akaamua kupambana kuhakiksha anaua kabisa ushindan ndo mpak kufikia kufanya assassination attempts. So ccm ikikubal katiba mpya na...
  6. Mcben100

    Tundu Lissu: Kufa kwa Magufuli ni 'Poetic Justice'

    Kama CCM walitufundisha kuimba Iddi Amin akifa mim siwez kulia, nutamtupa kagera awe chakula cha mamba, wakat ukatili wa huyo mtu sis wengne hata hatukuuona. Kwa nin saiv mnatutaka kusikitikie kifo cha katili tulie mshuhudia kwa macho yetu wenyew. Yaan mnataka kila kitu kutuelekeza mnachotaka...
  7. Mcben100

    Huyu muuaji ni shujaa kama mashujaa wengine

    Nafikiri umri wa wahusika kwenye hii habari ilikua muhim kuuweka.
  8. Mcben100

    Ndege ya kivita ya DRC yaingia ndani ya anga la Rwanda na kutua

    Nasubir tu tuje tuongezewe tozo, tupandishiwe bei ya mafuta, na gharama za vitu mbalimbali tukiambiwa ni athari ya vita ya Congo na Rwanda.
  9. Mcben100

    Kitendawili kilichonishinda!

    Kwan me nikimt**mba ye anaumia fu me napata raha.
  10. Mcben100

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Dodoma watu wamekua wajinga sana wanadhan hako kamji ni bora kuliko mji wowote nchin, chumba kimoja saiv si ajab ukaambiwa 250k, kwa mwez.
  11. Mcben100

    Plot4Sale Tunauza Viwanja na Mashamba Dodoma

    Kwa kwel skuiz pesa yetu haina maana km 65M inanunua sqm 400 tu. Hakuna kijana atatoboa nchi hii. Icho kiwanja ata kingekua Manhattan New York hakiwez kufikia bei hiyo. Acha kuota.
  12. Mcben100

    Nilishangaa Waziri Mbarawa kutumia muda mwingi kuelezea mradi ambao watanzania hawautaki

    Kwa kweli katika miradi bora ya awamu ya tano ni SGR, na bwawa la umeme, acha ule utopolo wa chato international airport
  13. Mcben100

    Inawezekanaje bajeti ya Kenya ikawa kubwa mara mbili ya ile ya Tanzania?

    Kumbuka wao wana uwezo wa kubadili chama tawala, wauwezo wakubadili chama pinzan kua tawala wakt nyinyi hamuez chama kimoja miaka 60. Maendeleo yatatoka wap ata mkiwa na raslimali nch yoyote
  14. Mcben100

    Ni heri kubariki ndoa kuliko kufunga harusi

    Kwan ukifunga ndoa kuna mahali mnaulizwa km mlishawah kufanya tendo???
  15. Mcben100

    List ya mikoa inayoongoza kwa kuwa na watu washamba hapa Tanzania

    Kwa iyi wa Dar ndo wajanja sanaaa. Daraja likijengwa tu tu wanafanya maandamano yakupongeza serikali na kudhan Tanzania ishakua ulaya. Kifupi nch nzima yote hii na washamba sana. Dar kwa vile mirad ming inaanzia hapa bas ndo wanajikuta wajanja balaa.
  16. Mcben100

    Kwa nini Gari za Nissan Qashqai siyo maarufu sana Tanzania?

    Ni gari ile ile moja wala hakuna upgrade, inasemekana ilianza kuuzwa kwa jina la quashqai jina hili lilsumbua sana baadhi ya nchi kulitumia walishndwa kulitaja mfano Australia. Ndipo wakaipa jina dualis. Kwa iyo kuna baadhi ya nchi unauzwa kwa jina la hilo na zingne kma Australia nadhan na huk...
  17. Mcben100

    Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

    Na Mungu alivowaajabu sasa leo magu ni maiti Tundu ni mzima. Kwel hakuna zaidi ya Mungu. Mungu aliufanya moyo wa pharaoh kua mgumu ili kumpeleka katika mauti yake. Vivyo hivyo alifanya kwa dikteta wetu uchwara.
  18. Mcben100

    Wanaume unaoa huku unajua bado una tamani kila Mwanamke, unataka uwe na mahusiano naye

    Labda tu niseme kuhusu uzi wenyew, hakuna umri ukifika unaacha kutamani kwa iyo kusema usioe kwa sabab bado unatamaa, utakufa bila kuoa, by the way lengo kuu la kuoa sio kuzima tamaa kwa wanawake wengne ama kukamilisha haja za tamaa zako kwa mke wako, nadhan lengo ni kua na familia.
  19. Mcben100

    Wanaume unaoa huku unajua bado una tamani kila Mwanamke, unataka uwe na mahusiano naye

    Hiz fake ID hiz sasa Mayunga anawezaje kuleta uzi kma huu au ni ubini.
  20. Mcben100

    Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

    Kama tuna kumbukumb za kina farao, herode, hitle, amin na mambo yote walioyafanya ulimwenguni na Tanzania. Hatuwez kusahau kumbukumb za mambo alifanya JPM. Kusema kwamba asisemwe kwa kigezo kua ameshakufa ni utoto kabisa. Mtu aliefanya mambo mabaya zaid na aliefanya mazur zaid wote watakumbukwa...
Back
Top Bottom