Search results

  1. Tanki

    Msaada kwenye tuta: Nawezaje kucheza game ya kwenye simu yangu kupitia smart tv yangu

    Wakuu, Nina Smart tv hapa inch 32 ( Alitop ). Naomba kuelekezwa jinsi ya ku-connect simu na tv Ili nicheze game kwenye simu ila display ionyeshe kwenye tv. NOTE: Tv ni Alitop , simu ni Infinix hot 20i
  2. Tanki

    Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Sorry Kwa kuchelewa kukujibu mkuu.Nina siku kadhaa sikuingia j.f. Ila ujumbe ndo nimeuona now usiku huu. Check PM yako.
  3. Tanki

    Unapata shot ya stock kwenye biashara Yako? Nipe kazi niwe stock controller wako. Mungu ni mwema SITAKUANGUSHA

    Nina uzoefu wa miaka miwili na nusu ambapo nilifanya katika moja ya depot ya kampuni ya Cocacola, hizi ambazo zinaitwa SSD. Nilikuwa chini ya kampuni Fulani ambayo mshahara wangu ulikuwa ukipitia kwenye hiyo kampuni. Nilifanya kazi Kwa miaka kadhaa na niliacha kazi Kwa amani kabisa pasipo...
  4. Tanki

    Mnaojua kuhusu hili naomba kujuzwa (YouTube)

    Kwenye pitapita zangu huko kwenye YouTube nimekutana na channel yenye subscribers 151 tu. Ila ukiplay video inaleta kwanza matangazo. So, hii ndo kusema hii channel ya watu 151 Iko monetized??? Kama jibu ni YES, Je inawezekana hii?? Kwani vigezo hasa vya channels kuwa monetized ni vipi???
  5. Tanki

    Hivi, mtandao upi tunaweza kupost bidhaa za nafaka Kwa akili ya kupata wateja wa ulaya na uarabuni n.k

    Husika na kichwa Cha habari hapo juu. Hivi Kwa mtandao kama ebay, Alibaba, Amazon. Tunaweza kufanya hii kitu?.
  6. Tanki

    Anayejua kuhusu vifungashio vya bidhaa naomba anijuze

    Vifungashio vya plastic vimekatazazwa. Sasa wakuu, niko na plan ya kuanzisha biashara ya kuuza dagaa mchele. Nilitaka niwahifadhi kwenye kifungashio ambacho kitakuwa cheupe Cha kuweza kuonyesha kilichomo ndani. Kiwe Cha kuweza kubeba uzito wa dagaa mchele robo au nusu tu. Viwe vya plastick...
  7. Tanki

    Naomba kuuliza kitu kuhusu hii minada ya hapa Dar es aalaam

    Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni, Jumatatu ni Tabata Kinyerezi, Na Kuna siku huwa upo Tabata segerea Kwa mbele kule sijui ni Tabata bima...
  8. Tanki

    Naomba kuuliza kitu kuhusu hii minada ya hapa Dar es salaam?

    Ok, ni hivi wakuu, Kuna hii minada huwa inafanyika kwenye eneo husika Kwa siku maalum. Kwa mfano najua Kwa huku Dar es salaam Kila Ijumaa mnada huwa upo Kitunda, Jumanne huwa upo Kivule sokoni, Jumatatu ni Tabata Kinyerezi, Na Kuna siku huwa upo Tabata segerea Kwa mbele kule sijui ni Tabata bima...
  9. Tanki

    Msaada: Wapi nitapata zile mbao za kujengea kibanda Cha biashara ( Nipo Tabata DSM )

    Husika na kichwa cha habari hapo juu. Nitashukuru zaidi kama nitapewa na bei zake. Natanguliza shukrani. Ubarikiwe
  10. Tanki

    SoC02 Ukifa, utanikuta motoni nakusubiri

    Mkuu, kwanini tukubali kukutana motoni?. Kwanini tusipite njia sahihi ambayo haitokei huko motoni?
Back
Top Bottom