hakikisha umejaza kila kipengele mfano pale ktk academic qualifications jaza na upload vyeti vyako kuanzia O level , A level na vingine, upload vyeti katika pdf format.
Mungu sio mnafiki na hapendi wanafiki
Naomba mnukuu maneno yangu:
HUYO MZEE LITAKALOKUJA KUMKUTA NI KUBWA ZAIDI YA LILE LA HUYU ALIYENUNUA VYETI APATE MADARAKA.
time will tell.
Kinachotakiwa ni vyeti ndio mana huyo unayemtetea mwenyewe hana la kujibu, wewe unashoboka hapa unakuja kama nani kumtetea, kama kafeli unataka tuseme amefaulu, acheni umbulula, kafeli kafeli tu na itabaki hivyo, Nape hafanyi maamuzi kwa mawazo finyu kama hayo yasiyo na tija, kwani mlikua hamjui...
Kwanza lazima utakua ume root simu ndio ukaweza kufanya hivyo, sasa hiyo root app uninstaller uliyoitumia ina sehemu ya recycle bin, nenda hapo utaikuta hiyo app ipo hapo, ibofye itaingia ikikataa rudia tena na tena itaingia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.