Search results

  1. Z

    Fursa ya kuwekeza Kigoma Mjini

    Wadau kwa wanaofahamu vizuri mkoa wa Kigoma kuna fursa zipi ambazo naweza kuwekeza na zikaleta return nzuri,nahitaji kujua ili nianze utekelezaji haraka.Nawasilisha
  2. Z

    Graduate, mshahara chini ya milioni moja usifanye kazi

    Mawazo potofu,kitaani pagumu sana karibuni vijana kumaliza soli na bahasha
  3. Z

    Naomba ushauri kat ya EGM na CBG ipi mnanishauri nikaisome a-level?

    Piga CBG utafaidi sana endapo utafaulu kuna options nyingi sana
  4. Z

    Hivi Mtu Aliyesoma EGM Anaweza Akaja kusoma AGRICULTURE ENGENEERING SUA?

    Chuo ni Universal studies kama mtu amekidhi vigezo atapewa admission,then anapimwa kila mhula akishindwa kinachofuata kudisco.Mbona wapo CBG&EGM wanasoma Agric. and irrigation engineerings pale they do wonder.
  5. Z

    Hivi Mtu Aliyesoma EGM Anaweza Akaja kusoma AGRICULTURE ENGENEERING SUA?

    Physics ni ile ile,kwani math itacover kuna jamaa tumemaliza nae hiyo kozi
  6. Z

    Kuitwa usaili T.A chuo

    Asante! wameagiza kuanda ppt,na kufany written language profiency test kabla usaili.
  7. Z

    Kuitwa usaili T.A chuo

    Wadau mwenye kujua vitu vya kujiandaa zaidi,nimeitwa interview pale SUA.Nawasilisha,asanteni
  8. Z

    Halmashauri Vs Ajira za kilimo

    Bora nyie mmepewa live,sie tumeishia barua za kudai wiki ya 3 hii
  9. Z

    Lugha ya interview Utumishi ni ipi?

    Hapo ni english,ila unakaribishwa kwa kiswahili.Komaa general skills na darasani ndugu
  10. Z

    Msaada kwenye tuta!

    Tafadhari naomba ushauri,nimeitwa usaili T.A pale SUA sasa nipo dilema maana nilipata kazi utumishi nipo kituo cha kazi.
  11. Z

    SUA college of Engineering wafanya kikao cha kujua hatima ya boom.

    SUA engineering ipo tokea 1984,sasa huyo anaeshangaa atakuwa sio mfuatiliaji
  12. Z

    Kweli tumelikoroga WAHANDISI-SUA (SUA-COE)

    Pigeni shule,hayo mambo siyo ya kukurupuka.Pesa yenu mtaipata muda siyo mrefu
  13. Z

    Kusoma Masomo ya QT, DAR

    Wadau naomba kujulishwa wapi wako vizuri kusoma QT ukiwa DAR.Kuna ndugu anatamani kwenda shule,nawasilisha kwa maoni.
  14. Z

    Barua ya kupangiwa kituo cha kazi

    Pamoja sana wanajf nashukuru barua nimeipata,imebakia kuripoti kituo cha kazi.NEVER GIVE UP,GOD IS GREATER!
  15. Z

    Wenyeji wa mkoa wa Kigoma

    Natumai mu wazima,natarajia kuwasili mkoani naomba kufahamu mazingira na upatikanaji wa nyumba ya kupanga.Nawasilisha!
  16. Z

    Kuna aliyewahi kupata kazi au kuitwa kwenye interviewkupitia mtandao wa Zoom

    Tafuta SLP au email address ya kampuni/shirika husika utume maombi.
  17. Z

    Barua ya kupangiwa kituo cha kazi

    Nashukuru kwa mawazo na ushauri mzuri,na ahidi kuufanyia kazi haraka.Mungu azidi kuwa nanyi.
  18. Z

    Barua ya kupangiwa kituo cha kazi

    Nashukuru kwa dua zenu,nimeitwa kazini kupitia utumishi.Naomba kujua barua nitasubiri muda gani? au nifanyeje niipate?
  19. Z

    Msaada watafutaji ajira wenzangu

    Pole ndugu,tembelea tovuti yao itakuwepo!
Back
Top Bottom