Search results

  1. M

    Bitooz,Nyangema,Brother men!!!

    haya naanza bitooz=mtoto wa kiume asiye na issue maalum mjini kila kitu mjuaji yeye heleni ,sigara ,pombe wanawake vyote mtaalamu yeye,a.k.a mpuuzi daraja la kwanza,mashauzi mengi ka mwanamke anaeanza vunja ungo. Nyangema=mtoto wa kitanzania aneuusudu umagharibi na kuukandia ubongo au uafrika...
  2. M

    ...we acha tu!

    huyo wa3 atisha yakhe huku zanziberry ka huyo twamwita ngulii
  3. M

    Kuzama chumvini kuna madhara kiafya?

    Chumvi aka uvinza ita utakavyo ndo style hapa mjini kama huiwezi acha wanaoiweza wafanye mambo yao kwa mara ya kwanza naijaribu mapaka leo ndio starehe yangu mwaka wa 7 sasa na hakuna fungus wala nini. Ila tigo tu ndo imenishinda na hii inatokana na msimamo mkali nilionao juu ya imani na vitabu...
  4. M

    Message! Message! imeingia

    mkubwa wala hata usisumbuke huyo penzi lishachuja au kuna wenzio wanamega ,mjini hapa magoli ya off side siku hizi ndio ushindi wenyewe,we lemaa tu mwenzio anakupetea nje ya kumi na nane huwajui wanawake wewe shauri lako,hata hivyo kila la heri katika kusolve msala wako huo .
  5. M

    My-Ex

    is all about luv usijifanye kidume nenda tu kapige magoti mbembeleze ,halo halo halo unalo!!!!!!na usiombe demu mwenyewe awe na hasira na wewe utakoma,n way kila la heri
  6. M

    Karamagi adaiwa kudandia wake za vigogo

    ndo kazi ya pesa hiyo
Back
Top Bottom