Search results

  1. M

    Prof. Assad amlipua Magufuli kwa ufisadi uuzaji wa nyumba za Serikali

    Kwa ujumla Magufuli ndiye pekee Waziri anaye kubalika mchapakazi.Jamani tuwe wakweli hata kama CCM imeharibu tuukubali ukweli kuwa Magufuli ni Jembe.Hata UKAWA ikichukua Dola kama kuna kipengele cha kuruhusu waziri kutoka upinzani Magufuli asiachwe.Hata UKAWA wenyewe kwenye hotuba yake...
  2. M

    Tahadhari: Mazoezi ya Al-shaabab ndani ya Dar es Salaam

    [Ndugu yangu Asante kwa taarifa hii.Lakini kama umeweza kuguswa na swala la hofu ya usalama wa nchi yako hadi ukaamua kuandika humu asubuhi hii, unashindwaje kutoa taarifa hii nyeti kwa wahusika hadi jioni utakapo kuwa unatoka kazini? Je kama maandalizi hayo ni ya mwisho kabla ya kuvamia sehemu...
  3. M

    Kangi Lugora: Nikikemea ufisadi wana CCM wananishambulia eti mpinzani!

    Ndugu wana Jf kama huna cha kuchangia ni vizuri ukawa una soma maoni ya wengine ambavyo pia utakuwa umeshiriki kwenye jamvi.Au kama huna uhakika na unachokusudia kusema basi uliza wanajf wana upana mkubwa wa uelewa watakujuza. Kwanza Kangi Lugola Hana Shule ndogo.Shule kwa wanasiasa hawa huwa ni...
  4. M

    Je ni halali kwa Baraza la Mawaziri kutangazwa na Katibu Mkuu Kiongozi?

    Mkuu huyu bwana anatakiwa kuhurumiwa.Kimsingi si swala la katibu mkuu kiongozi kuwa na hadhi ya kutangaza baraza ingawa yeye kwa hadhi ya makatibu wakuu wote ndiye kiongozi isipokuwa mawaziri ni wakuu wake wa kazi kiprotokali.Hapo awali katibu mkuu kiongozi huyo alikuwepo lakini Mh.Raisi ndiye...
  5. M

    KANGI LUGOLA kutolewa kafara!

    Mhe.Kangi Lugola ni katika wabunde wachache wa ccm wenye mtizamo wa kimasilahi ya taifa kuliko chama chao.Mimi binafsi sishangai na naamini kuwa hata yeye kwa kupanga kuyasema hayo aliyoyasema hatashangaa kupokea vitisho kama ilivyo kawaida ya siasa zetu za Kiswahili ambapo mtu badala ya...
  6. M

    Mandela hastahili heshima ya juu hivi kupita makubwa yaliyofanywa na akina Nyerere

    Ndugu zangu hatuwezi kuiacha historia japo wengi wanaweza kutoukubali ukweli huu.Mandela ni mtu mweusi aliyeishi na makaburu.ikumbukwe pia kuwa Mandela hakuwa na msimamo kama wa mwalimu.Mwalimu kuhusu imani yake ya ujamaa na kujitegemea aliwatukana wazi wazi bila kulemba na alisusia hata vikao...
  7. M

    ubakaji jkt

    Hii ni mbaya sana.Katika vitu nyeti katika miiko ya askali aliyekula kiapo ni kubaka.Na hasa anapokuwa mkufunzi wa jeshi.Hii naona ni kashfa katika jeshi na bila mzaha muu wa jeshi anatakiwa kulitolea maelezo ili kama kweli limetendeka hatua za kisheria zichukuliwe haraka.Sisi tuliopitia jeshi...
  8. M

    JK awajibu wapinzani kuhusu Muswada wa katiba mpya; Adai ni waongo na wapotoshaji

    Ngugu yetu hili la simu mbona halina uhusiano na mada inayoongelewa?.Kama kipimo cha kujua kama viongozi ni wezi kwa matukio ya mtu mmoja kama ulivyo ainisha basi CCM hakuna kiongozi anayefaa kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi. CCM sasa hivi ndio kichaka pekee cha wezi kilichobaki. lakini mh.kama...
  9. M

    Na nembo hii hatuitaki kwenye shirikisho letu

    Ifikie mahali watanzania ambao kwa mwelekeo tunaouonesha kuwa muungano tunataka kuua tuwe na mambo muhimu wa kuhoji.Hili la nembo sioni maantiki yake kwa sababu mtoa maada anachojaribu kueleza hakina mashiko.Hii ni nembo inayoelezea Tanzania sawa na jina na mtu je ni halali uanze kuhoji kwanini...
  10. M

    Mauaji ya Mwanachuo wa Uhasibu - CHADEMA kuhusishwa

    Swala lililo hapa mbele kwa mkuu wa chuo ni wasiwasi wake kuwa asipoonekana kumkana Mh. Lema wakati ameongea tangible issues chuoni na wanafunzi wakamwelewa wakubwa wa CCM watamwondoa. Hii ni tabia ya watendaji wengi wasio jiamini kwa kukimbilia kunawa mikono.Je wakati jengo lilipo anguka Dar...
  11. M

    viwango vipya vya ufaulu kwa kidato cha sita kuongezwa ni busara wakati huu?

    Viwango hivyo vitaanza kutumika mwakani.Swala ni kuwa kama mwanafunzi kuanzia mwaka jana alipo anza kidato cha tano kwa mfano alikuwa akipata 50 alihesabiwa daraja C.mwaka kesho katika maendeleo ya mwanafunzi huyo huyo wakitaka historia ya maendeleo yake sasa mfumo mpya atakuwa daraja E.Je ni...
  12. M

    viwango vipya vya ufaulu kwa kidato cha sita kuongezwa ni busara wakati huu?

    Ndugu wana JF wakati huu ambapo jamii ya watanzania wameduaa wasijue cha kufanya baada ya mshtuko wa kufeli kwa wanafunzi wa kidato cha nne mwaka jana ambapo hata jawabu la tatizo hilo bado linatafutwa na serikali kwa kuunda hata tume za uchunguzi,Baraza la mitihani (NECTA) limeongeza viwango...
  13. M

    Tanzania: Mawaziri na madawa ya kulevya

    Mh.Kange ana hoja nzinto japo najua atakuwa ameshawaudhi wakubwa.Lakini nchi hii tunahitajai viongozi wenye uthubutu wa kusema wazi yanayokera jamii ya watanzania bila kujali kama upande wowote utakasirishwa. Serikari kwa ujumla wake inao uwezo wa kukomesha biashara hii.Je kama kiongozi mkubwa...
  14. M

    Ajali za barabarani zinazohusiana na askali wa usalama barabarani zinaepukwaje?

    Mimi ninapata shida sana ninaposhuhudia ajali barabarani ambayo kwa mtizamo hata usio wa kitaalamu sana inaonesha kuwa ajali hiyo ilikuwa ya kuepukika na badala yake inasababisha maumivu makali na hata kugharimu maisha ya watu.Kumekuwa na wimbi kubwa la ajali ambazo zinahusisha askali wa usalama...
  15. M

    Gorofa jingine la NHC nusra kuanguka (hali ya hatari yatangazwa)

    Hii sidhani kama kuna dili Lumumba hasa kama ukimaanisha lumumba jengo la ushirika ambapo ni makao makuu ya jeshi la zimamoto na uokoaji.Kwanza jeshi la zimamoto kisheria ndilo lenye wajibu wa kuzima moto na kuokoa na wote tunao fika kusaidia tunatakiwa kupata ushauri wa kitaalamu kabla ya...
  16. M

    Nape: Jitegemee Trading Company ni mali ya CCM, lakini...

    Hili swala si la CHADEMA tu badala yake tuipongeze kwa kutufumbulia macho kwa vitendo vya kuiua nchi kiuchumi kwa maslahi ya wachache.Nichukue fulsa hii kumwomba Mh.Mwakyembe akumbuke heshima aliyokwisha pewa na watanzania asianze kuchafua mikono yake.Daima simamia ukweli hata kama uko katika...
  17. M

    Kwa wasiomjua Magufuli, Je, anafaa kuwa Rais?

    Nimekuwa msomaji zaidi wa Jf kuliko mwandikaji lakini naomba nitoe maoni kidogo juu ya hii hoja. Ndugu mtoa hoja tunashukuru kwa ujumbe uliojaribu kuutoa kwa wana jf ingawa umesahau kuwa Dr. Magufuri watanzania hawajamfahamu leo. Ninao wasiwasi kuwa wewe unahisi kwamba Magufuli amewafanyia...
Back
Top Bottom