Search results

  1. L

    Askofu atabiri Tanzania kupigwa na Rwanda!

    WA TZ wezang usimnyoshe m2kidole we ombea taifa letu
  2. L

    Waislamu Arusha watoa tamko kuhusu tukio la kinyama kanisani Olasiti

    Sis ni ndugu ila aman inavurugwa na wanasiasa
  3. L

    Lema kuiteka Muheza kesho

    Hongera katbu wa kanda kaskazn ebu mlioko huko tanga mtujuze yanayoendlea
  4. L

    Natangaza nia mwaka 2015

    Ebu tujuze kwa utambulsho kwanza,jina kamil,uraia,umri,chama kipi unatoke?,nk ili tukusome fresh
  5. L

    Bora CCM wamejua Arusha hawana lao

    Chadema arusha tumeshnda siku nyingne ni sherehe tu,
  6. L

    Mnyika aomba muongozo kujadili matukio ya utekaji

    Dhambi mbaya kulikozote ni uoga mh mnyika yupo sawa ila ma makinda amepwaya kiti kilikuwa cha samwel sitta,tena pange noga humo mjengon
  7. L

    Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    Ningekuwa dk wa komba ninge muandika fomul ya kula asubui maji ya moto mchana desh jion kipande cha muogo,mh, lissu yupo sawa wanataka wafanye makosa anyamaze ndyo maana cdm wanapo ona pesa znaibiwa tembo na rasilimal zetu wamekuwa mali ya mtu mmoja wanasema ukwel na ukwel una uma,na nukuu...
  8. L

    Baada ya SUGU Kupachimba..TBC yarusha habari ya CHADEMA kuhusu Zitto

    Tbc ilijisahau ikawa inajua ni ya mtu mmoja ka ccm,sasa wamefungua nakujua niya UMMA wa watanzania
  9. L

    CHADEMA Ihamasisshe wanachama na watz kutembea na vifaa vya kuchukua picture.Ni zaidi ya silaha

    Nakuunga mkono tuimizane mahala popote pale syo tu kwenye makamanda tu bali hata kwenye mikutano ya serkal,ccm,binafs ,wakuu wa mikoa wilaya,popote pale hata kwenye nyumba za ibada hii ndyo intelensia ya kutosha tusitegemee tukio baya tuseme laiti tungelijua huku tutakuwa tumechelewa,mkuu BIG UP,.
  10. L

    Kwanini WABUNGE wa CHADEMA ndio Wanaoongoza kwa kuwa na KESI NYINGI? Au ni WAKOROFI??

    Ukomboz sikaz ndogo napale unapoamua kuwa mkwel unaonikana kuwa wew ni mchochez na unania yakuvuruga aman ya nchi mfano mdogo ni jana bungen msemaj wa kamb ya upnzan Mh Sugu,penye ukwel lazima utaonekana mbaya,hapa kwetu arachuga Mh.lema ametupa amasa kubwa huwa anafalsafa yake moja inayopendwa...
  11. L

    Tundu Lisu katika uzinduzi kampeni za Udiwani Iseke, Singida 17.5.2013

    Aminia Tundu lissu hongera hongera sana kazi mnayoifanya siyo ndogo nikubwa sana hapa tz.
  12. L

    Zitto leo ndani ya Tabora Mjini, kufungua matawi katika kata zote.

    Mh,naibu katibu mkuu zitto (mb)kila la heri tupo pamoja.
  13. L

    Dr. Slaa ziarani Manyara

    Kila la heri dr slaa,mwenyezi Mungu akutangulie kwa kila hatua,ufanikiwe katika ziara yako uwe na afya teeeele!MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI CHADEMA.na iwe ivyo.
  14. L

    Yaliyojiri katika Mkutano wa CHADEMA Arusha - Mei 02, 2013

    Ndy naelekea uwanjan kushuudia yale mulongo alikuwa anajidai nayo hata kuamuru polce wamkamate lema.
  15. L

    Godbless Lema aanza ziara ya kuteketeza CCM Arusha

    Kamanda lema tupo pamoja
  16. L

    CHADEMA ARUSHA: Mkutano Mkubwa wa Hadhara Kesho Tarehe 2 viwanja vya Ngarenaro

    Kesho nitajitaid nimalze kaz mapema niuzurie ni muhimu sana,ARUSHA na LEMA ni mfano wa kuigwa na mikoa mingne Tz.
  17. L

    Mh. Zitto apewa jukumu la kuikomboa kanda ya Magharibi

    Mh.zitto hongera kwakuchaguliwa kuiongoza kanda ya magharibi uwezo unao nia unayo hakika 2015 itakuwa shangwe.
Back
Top Bottom