Search results

  1. M

    Kampuni inatafutwa ambayo ina Power Purchase Agreement (PPA) kuzalisha umeme wa Solar 50-200MW

    Kama kuna mtu humu analifahamu kampuni lolote ambalo limeshapata Power Purchase Agreement na Tanesco na linatafuta muwekezaji kwa ajili ya kuzalisha umeme wa solar kuanzia 50-200MW anitafute kwa mawasiliano yafuatayo Email: mathiaslyamunda@femapo.org Mobile: +255765346970 Wapo wawekezaji ambao...
  2. M

    Mtatiro apewe Jimbo la Kinondoni, tuongeze nguvu ya Upinzani Bungeni

    Wanajamvi Nashauri Jimbo la Kinondoni ambalo kuna Mbunge kajiuzulu, Mtatiro awe Mgombea pekee wa Vyama vyote vya Upinzani, Namaanisha Chadema, CUF ya Seif, ACT na NCCR. Tukienda kwa Umoja huu tutaipiga CCM asubuhi tu. Pia katika Majimbo ya Songea Mjini, Singida Kaskazini na Logido tuonesha...
  3. M

    Ukitaka kujua ajenda ya CCM dhidi ya Lowassa angalia taarifa za habari za TBC1 hasa ya Makongoro Leo

    Yani Lowassa leo kashambuliwa na Makongoro wazi wazi. Lowasa kawekea machinery ya maana kummaliza. UKAWA Mwaka huu hadi Magogoni.
  4. M

    Mbunge wa Bahi Omary Baduel ameshinda kesi ya Rushwa iliyokuwa inamkabili

    Taarifa nilizozipata kutoka chanzo cha kuaminika Mbunge wa Bahi ameshinda kesi ya rushwa iliyokuwa inamkabili. ============== [/COLOR]CHANZO: NIPASHE[/SIZE][/FONT]
  5. M

    ZITTO KABWE Ulimi umeteleza ama? Kuanzisha chama ukiwa ndani ya Chadema ni Uhaini!

    Akiwa anahojiwa amekiri mwenyewe kuwa alianzisha chama cha ACT akiwa bado yuko CHADEMA, aliwatuma wenzake kuanzisha Chama na kumuandalia mazingira. Sasa uadilifu wako Zitto unaojitapa nao ni upi kuanzisha Chama ukiwa ndani ya chama kingine ni uhaini na ni zaidi ya usaliti. Nilivyokusikiliza leo...
  6. M

    China yatimiza miaka 65 ya Uhuru wake ikiwa kwenye nchi 3 zenye uchumi mkubwa duniani

    Wanaosema miaka 50 haitoshi kwa Tanzania kuwa nchi iliyoendelea wakajifunze China na Korea ya kusini. China imethibitisha kuwa nchi ikiwa na malengo inaweza kuyafikia, miaka 50+ ni mingi sana kwa nchi yenye rasilimali kama Tanzania. Chanzo:123independenceday
  7. M

    Makatibu wakuu wapya wa CHADEMA kuelekea uchaguzi mkuu 2015

    Makatibu wa CHADEMA wateule Zanzibar-Naibu katibu mkuu 1.Salum Walimu Mtangazaji wa channel ten na mfanyakazi wa vodacom ateuliwa kuwa naibu katibu mkuu Zanzibar-CHADEMA. Naibu katibu mkuu 1.Johny Johny Mnyika Amrithi Zitto Kabwe awa naibu katibu mkuu CHADEMA. Katibu mkuu 1. Dr...
  8. M

    Angalizo kwa wapiga kura kuelekea uchaguzi wa BAVICHA taifa tarehe 10 September 2014

    ANGALIZO KWA WAPIGA KURA KUELEKEA UCHAGUZI WA BAVICHA TAIFA TAREHE 10 SEPTEMBER 2014: Uzalendo kwa Chama changu-Chadema unanisukuma kuyasema haya; Uenyekiti wa Bavicha taifa ni taasisi Muhimu sana na ya kimkakati kuelekea Uchaguzi mkuu wa taifa 2015, Mwenyekiti wa Bavicha atakuwa ndo icon...
  9. M

    Sifa kuu za Kiongozi wa BAVICHA Taifa (Mwenyekiti)-Kwa wana Bavicha tujadili.

    Sifa kuu za kiongozi wa bavicha taifa (mwenyekiti): 1. Awe mfia chama 2. Hana bei, hanunuliki kwa gharama yoyote 3. Mtii kwa viongozi wakuu wa chama 4. Anayeshaurika 5. Mwadilifu 6. Uwezo mkubwa jukwaani na kujenga hoja 7. Awe ni mwanaharakati na mwana diplomasia 8. Asiwe na chembe ya usaliti...
  10. M

    Polisi wasambaratisha mkutano wa CHADEMA wa Uchaguzi kata ya Moshono, Arusha

    Muda mfupi uliopita police wamevuruga mkutano wa uchaguzi wa CHADEMA kata ya Moshono. Police mtaendelea kutumika hadi lini? CHADEMA ni chama kilichosajiliwa na kina haki ya kuendesha shuguli zake za kichama bila kubugudhiwa, mmetumwa na nani kuingilia shughuli za ndani za CHADEMA?
  11. M

    Alphonce Mawazo akabidhi kata ya Sombetini rasmi kwa Ally Bananga

    Jana Chadema Arusha ilifanya uzinduzi wa kihistoria wa uchaguzi wa kata ya Sombetini na le Captain Mawazo alitoa Hotuba kali iliyowaliza wana Sombetini wakikumbuka jinsi alivyowatumikia kwa uaminifu. Jana akisikilizwa na Maelfu ya wananchi wa Sombetini Captain Mawazo alimpa wosia mzito Bananga...
  12. M

    CCM Nayo Haina Democrasia? Mbona inamfunga Lowassa Mdomo? au Democrasia ni Chadema tu

    Ndudu wana Jf, Matamko mawili ya vioungozi wa juu wa CCM Nape na Mangula, yameenda kinyume na campaign ambazo wanaCCM hapa Jf wamekuwa wakipiga kuhusu Democrasia ndani ya vyama huku wakiinanga Chadema kuwa inamnyima Zitto Kabwe Demicrasia ndani ya Chama. Je anachokifanya Lowassa sicho ambacho...
  13. M

    DC-BAHI Atishia kuzifuta asasi za Kiraia zinazotoea elimu juu ya Madhara ya Kuchimba Uranium Bahi

    Mkuu wa Wilaya ya Bahi Betty Mkwasa amezishambulia na kutishia kuzifuta asasi za Kiraia zinazotoa elimu kwa wananchi juu ya mchakato wa uchimbaji wa madini ya uranium na madhara yanayoweza kuwapata wananchi endapo utafiti na uchimbaji holela wa madini hayo utafanyika. Mh. Betty Mkwasa...
  14. M

    Matukio ya Kigaidi na dhana ya "Official or State Terrorism"

    WADAU NAOMBA TUJADILI DHANA HII YA UGAIDI WA KISERIKALI "STATE TERRORISM" TUKILINGANISHA NA MATUKIO YANAYOENDELEA NCHINI KWASASA! "Official or State Terrorism –"referring to nations whose rule is based upon fear and oppression that reach similar to terrorism or such proportions.” It may also...
  15. M

    PICHA: Nimefurahia hii MBINU YA WANA LOLIONDO KUDAI HAKI KWA CCM MAENEO MENGINE WAIGE HII MBINU.....

    Huku FUKO LA KADI ZA CCM likiwa mbele ya VIONGOZI wa CCM wananchi wa LOLIONDO wamekitisha CHAMA cha Mapindizi hadi kutengua maamuzi ya Serikali na waziri wa Mali asili na Utalii.... Mbinu hii imeonesha kufanikiwa sasa ni wakati Mwafaka kwenye maeneo mengine yenye mgogoro/Migogoro ya Ardhi...
  16. M

    Picha: Matunda ya CHADEMA Loliondo Yavuna wanachama wapya!

    CHADEMA imeendeleza harakati za M4C wilaya ya Ngorongoro Loliondo. Wamevuna wanachama wengi, huku Mwigulu Nchemba mkutano wake ukidoda, na kurudishiwa kadi za CCM hadharini.
  17. M

    Weka Sahihi Kupinga Uchimbaji wa Madini ya Uranium Wilaya ya Bahi

    Kwa mliofuatilia habari za hivi karibuni kupitia StarTV wananchi wa Bahi wanaishi katika hofu kutokana na mpango uliopo wa serikali kuanza uchimbaji wa madini hatari ya Uranium kwenye ardhi yao. Kutokana na hatua za awali za utafiti kumekuwepo na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi jinsi...
Back
Top Bottom