Search results

  1. Mtoto wa Mama Samia

    Very soon Polepole atafungua dirisha la usajili awamu ya pili

    Sasa hivi bandugu kila mwanachama, hasa waliokuwa Wagombea kutoka upinzani ana uchungu mwingi moyoni baada ya zoezi la Uchaguzi huu kuvurugwa. Huu ni muda wa kutafakari na kuchanga karata namna ya kuyakabiri yanayoitwa maisha baada ya Uchaguzi. Lakini amini nakuambieni, baada ya matokeo ya...
  2. Mtoto wa Mama Samia

    Unakimbilia ndoa lakini ulishawahi kuhongwa au kuhonga?

    Kama hujawahi kuhongwa ewe mtoto wa kike utadumu kwenye ndoa kweli? Hata kama umewahi kuhongwa, je, ni kiasi gani? Sio uwe umehongwa chips mayai na chenji kidogo tu. Mwanamke aliye wahi kuhongwa huwa ni imara kwenye ndoa. Ni sawa na kusema amepitia kwenye tanuru la majaribu, huwa ameiva. Huyu...
  3. Mtoto wa Mama Samia

    Magufuli: Hutaki wafanyabiashara wa Kitanzania wawe mabillionaire?

    Ni vigumu kuwa billionaire katika ulimwengu wa tatu bila kukwepa kulipa kodi. It is next to impossible. Haiwezekani mfanyabiashara kuanza na mtaji wa million moja na kutengeneza faida muda wote hadi kufikia level ya billionaire. HAIWEZEKANI. Haiwezekani mfanyabiashara 'mtakatifu' akawa...
  4. Mtoto wa Mama Samia

    Lowassa, umeamua kuwa na busara?

    Ngoyayi Lowassa, nini kimekupata? Kwanini umekuwa mtu wa busara tena? Busara itakurejeshea heshima yako au ndiyo itamalizia hata hiyo chembe ya heshima iliyobaki? Kulikuwa na maana gani ya kutoka CCM kama ulijua kwamba utapoteza uchaguzi na usisabishe homa? CCM walikudhalilisha kwa kiasi...
  5. Mtoto wa Mama Samia

    Enjoy to the maximum

    Live today as if there is no tomorrow. Uzee si kitu chema, ni muda wa maradhi mengi, uchovu mwingi, majuto tele,... Aah, better to live to the maximum, don't let a day go without enjoying life.Vunja mifupa ingali meno bado iko yote. If a neighbor ask you for a company in a cold night...
  6. Mtoto wa Mama Samia

    Nyoka wa Makengeza anakuja tena!

    Mtavimba mpasuke lakini Mheshimiwa Chenge, Nyoka msaka pesa anakuja tena. Hatukujari Magufuli kuacha kumnadi jukwaani wakati wa kampeni, tumemchagua kwa kishindo. Anakuja, kama kawaida yake, polepole anageuza makengeza kusaka harufu ya noti. Kama vile hataki, kama vile zezeta kumbe anasaka...
  7. Mtoto wa Mama Samia

    Tujadili msemo huu "Tutasikia na kuona mengi 2015"

    2015 ni mwaka wa uchaguzi, mwaka wa sarakasi,mwaka wa kujipanga na kupanguliwa, mwaka wa vurugu na chereko, mwaka wa shetani na Mungu kidogo, mwaka wa urafiki na uadui mpya, mwaka wa kupoteza mali na kuvuna mali, kuvuna aibu... Wana JF kila muda wamekuwa wakisema, "Mwaka huu tutaona na kusikia...
  8. Mtoto wa Mama Samia

    Hata kama angekuwepo Nyerere

    14th October Tanzania tunamkumbuka kidume mmoja mahiri sana wa vizazi vyote nchini. Kumekuwa na mazoea kwa Wabongo, pale mambo yanapoenda mrama husikika wakisema "Angekuwepo Nyerere haya yasingetokea" For the sake of flash back; Nyerere fought, and fought for the following issues: 1...
  9. Mtoto wa Mama Samia

    Nitachukua kadi ya CCM Oct 30th 2015

    Kama CHADEMA chini ya mwamvuli wa UKAWA itapoteza uchaguzi huu kihalali, na yenyewe ikakubali, basi mimi kwa mara ya kwanza nitachukua kadi ya ccm na kuwa mwanachama. Haina haja ya kuwa na upinzani. Hasa nasema hivyo baada ya kuona viongozi mahiri wa upinzani walotuaminisha kwa miaka nenda...
  10. Mtoto wa Mama Samia

    Hivi huko shule mlienda kusomea ujinga?

    Hiyo ni kauli ya member mwenzetu bi. Kikongwe, the lone widow, Faizafoxy. Husema hivyo pale ambapo baadhi ya wanajukwaa wanapoandika makosa katika michango yao. Kiukweli makosa mengine ya kiuandishi huwa ni ya kizembe kabisa. Yaani mtu anaandika maneno mia moja lakini makosa kumi. Umakini uko...
  11. Mtoto wa Mama Samia

    Maarufu kama Msoga, Mwandiga...

    Msoga kilikuwa kijiji fukara and very awkward, lakini leo hii Sungura mjanja wa msoga amekifanya kijiji hiki kuwa maarufu. Butiama (hivi ilikuwa ni kijiji?) aliifanya baba wa Taifa kuwa maarufu. Kogero... Zitto naye ameifanya mwandiga maarufu. Lakini viongozi hawa ni watoto wa mjini : Big...
  12. Mtoto wa Mama Samia

    Walokole wa Lowassa, hadi kero!

    Ushapu na uchangamfu wa wafuasi wa EL, kwa maana ya 4UM,Friends of Lowasa, Team Lowassa katika mitandao ya kijamii (tangu kuhamia kwao CDM) umewafunika hata makamanda wa long time. Hii inanikumbusha jamaa fulani waliwahi kuokoka kanisani - katika mda mfupi wa uokovu wao waliweza kucheza na...
  13. Mtoto wa Mama Samia

    Kwenye uchaguzi huu, CCM labda waingize kikosi cha pili!

    First 11 ya CCM inaingia kwenye uchaguzi ikiwa ni majeruhi karibu kikosi kizima. Kuanzia goalkeeper, mabeck, midfielders na washambuliaji wake wa kutumainiwa wote wako hoi na hakuna dalili za wao kurejea dimbani kwenye mmpambano wa October. Mchakato wa kumpata mgombea umewaacha hoi, kuna walio...
  14. Mtoto wa Mama Samia

    Bar na mahotel mengi Dodoma yamekula hasara kubwa kwa sababu ya Lowassa

    Niambieni Wana JF kama Lowassa angetazwa mshindi kuna brand ya pombe gani ingebaki unsold Dodoma? Kuna bar gani ingebaki tulivu leo? Leo bar karibu zote zitakuwa doro. Maana wafuasi wa Lowassa hakuna hata mmoja mwenye appetite ya kiraji. Mate machungu ! No more champagne, no more wine, no more...
  15. Mtoto wa Mama Samia

    Rambirambi za CHADEMA zakataliwa msiba wa headmaster Bariadi

    Katika hatua ya kuuaga mwili wa marehemu mwl. Mahumi kulikuwa na makundi zaidi ya kumi yaliyotakiwa kutoa salamu za rambirambi. CCM wao alikuwepo Nyoka msaka pesa mwenyewe.MC alipewa maelekezo asiwaite wala kupokea rambirambi kutoka CHADEMA. Msiba huo ulikuwa ni mkubwa mno na ulivuta hisia za...
  16. Mtoto wa Mama Samia

    Kipima joto ITV na drama ya Amboni Tanga

    Kipima joto ITV hutokana na habari yenye kufikirisha. Swali la leo la Kipma Joto lilitakiwa liwe juu ya 'Ugaidi wa Amboni' lakini ITV wamegwaya na kuibuka na Magugu maji. Naomba Tuwasaidie ITV kuformulate swali la KJ.
  17. Mtoto wa Mama Samia

    Walio kahama, nisaidie...!

    Nahitaji kuwasiliana na BLACK BOYS studio, mwenye access nao, au wenyewe call 0783489183
  18. Mtoto wa Mama Samia

    Africa Kabisa cha Star TV ni UROJO mtupu

    Kipind hiki bora kingeitwa Africa kidogo maana visitor/host wa kpindi wana-behave kama ulaya.Mpoto talk to this guy BJ.
  19. Mtoto wa Mama Samia

    Hotuba za Rais Kikwete ni worthless papers, kama unabisha sikiliza ya Mei Mosi

    Rais Kikwete hata kama anahutubia kusanyiko la msiba lazima hotuba yake itakuwa written! Tena mara nyingi hotuba zake huwa ni ndefu sana zenye kuchosha wasikilizaji. Kwa bahati mbaya sana hotuba za JK hazina mashiko – maneno yaliyomo sio long lasting kama zilivyo hotuba za Baba wa Taifa...
  20. Mtoto wa Mama Samia

    Heri ya bi. Kidude wa taarabu kuliko mateja na malaya wa bongo flava.

    Wasanii wa Muziki wa Bongo Flava huingia katika muziki wakiwa vijana wadogo na kufirisika kimziki na hata ki-mali wakiwa wangali vijana wadogo. Lakini tunaambiwa kwamba Bi. Kidude ameanza kujishughulisha na mziki tangu akiwa binti mdogo, na amedumu katika mziki hadi pumzi yake ya mwisho. Pengine...
Back
Top Bottom