Search results

  1. Mtoto wa Mama Samia

    DOKEZO NBS toeni tamko: Ulipaji wa pesa za semina za Sensa kuna uhuni unafanyika

    You have nailed it.Tatizo la mama yangu, she is too humble, anadanganyika kirahis...sio sceptical kabisa. Anamwamini mtu haraka sana.
  2. Mtoto wa Mama Samia

    Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Ili akatafune kwingine. Mama kama kweli ameamua kufukunyua haya ya ujenzi wa madarasa ya COVID, basi mnyororo wa wawajibishwa ni mrefu.
  3. Mtoto wa Mama Samia

    Rais Samia awatumbua Wakurugenzi wa Halmashauri wanne kwa ubadhirifu wa Fedha zikiwemo za UVIKO-19

    Ni kweli ujenzi wa madarasa ya COVID Wilayani Geita ulisimamiwa vyema na madarasa yako na kiwango walau asilimia 75. Hilo liko wazi. Shida ya DED wa Geita ni kukiuka taratibu za manunuzi za Serikali. Mbona alihozi tenda za kununua kila kitu? Akawagawia ndg zake? Huo ndio utaratibu? Hilo ndo eneo...
  4. Mtoto wa Mama Samia

    Bima ya Afya kwa Wote (Universal Health Care)Rais Samia atoa TZS 149BL

    Only that, mother anatakiwa akaze kwenye ufuatiliaji. CLOSE FOLLOW UP ndiyo maana ya Serikali. Tangu hela ilipopokelewa, inapoanza kutumika na mradi unapokamilika. Is value for money there? If value for money is there, hakuhitaji maneno na madocument meengi. Mradi unajieleza. Mama inabidi...
  5. Mtoto wa Mama Samia

    Gambo: Awamu iliyopita kiongozi wa chini aliweza kuwa na nguvu kuliko hata Mimi Mkuu wa Mkoa

    Mkuu unajua raha na privilege ya kuwa Rais wa mkoa? Kila kitu buree. Usafiri ndani ya V8. Makazi hata nzi hawakanyagi. Viwanja vya gharama, mavazi serikali. Ndo uje ujiuzuru kwa sababu aliyekuteua ni mjinga? Si umwache na maujinga yakeee
  6. Mtoto wa Mama Samia

    Faini za Barabarani kwa Bodaboda sasa ni Tsh. 10,000

    Labda Traffic officer atakuwa anatembea na chain. Akimkamata bodaboda anafunga bike kwenye mango tree, halafu anaanza kuandika kwenye efd machine. Tofauti na hapo kweli, ataambulia vumbiiiii
  7. Mtoto wa Mama Samia

    Rais Samia; Urais wa nchi ni mambo makubwa

    Ni lini ulishawahi kutoa constructive criticism wewe ukaambiwa unamchukia mama?!
  8. Mtoto wa Mama Samia

    Wazee, watoto na wagonjwa Mkoani Geita na mikoa jirani washauriwa kufuatilia kuagwa kwa Rais Magufuli kupitia Vyombo vya Habari

    Ukiwanunulia wanyonge ma TV makuubwa ya million moja @ ukayaweka maeneo ya wazi zaidi ya tatu, maana yake million tano inaokoa maisha ya watu arobain.Kwa CCM, million tano Ni kubwa kuliko uhai wa watu arobaini walofariki Dar. Lakini kwa wenye akili, million tano ni ndogo mno ukilinganisha na...
  9. Mtoto wa Mama Samia

    "Nimesacrifice maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini" Maneno ya kweli kabisa ya hayati mpendwa Rais Magufuli

    Huyo alikuwa Rais wa mabwenyenye kivitendo, wanyonge waliambulia maneno tu au kupewa tuzawadi barabarani. Mindege hiyo haina msaada kwa wanyonge. Mnyonge anataka shule nzuri yenye walimu mahiri wa kusomesha watoto wa mnyonge. Hospitali level ya Kata na wilaya ziwe nzuri ili mnyonge atibiwe...
  10. Mtoto wa Mama Samia

    Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Hii inazihirisha kwamba katika Nchi yetu, Rais ni mfumo imara zaidi ya, wenye nguvu zaidi ya mfumo wenyewe, means TISS. US Wana TISS ambayo ina nguvu zaid ya Rais. Rais akileta ujinga wake na uendawazimu wake, mfumo unakataa. Kwetu sisi, tunaweza tukawa na Rais mwendawazimu, na bado mfumo...
  11. Mtoto wa Mama Samia

    Rais Magufuli: Majungu hayajengi na wala hayaleti maendeleo

    Well spoken. Tabora imekaa kiuswazi. Nature ya uswahilini ni majungu. Haina dawa hiyo. Labda ufanyike campaign kabambe ya population replacement. Half of the TB population peleka Mara, and the vice versa. Hapo utakomesha. Vikao tu havisaidii hata chembe. Na Jiwe anatakiwa aambiwe kwamba chanzo...
  12. Mtoto wa Mama Samia

    Joseph Kasheku Musukuma ni miongoni ya wabunge wajanja wajanja

    Kati ya mateso wanayopata watumishi Geita , na watu wenye shida Halmashauri ni kuhamishiwa Nzera kwa Halmashauri ya Wilaya Geita. Inagharimu muda na fedha kwa kiasi kikubwa sana. Usumbufu. Sijui walifikiri nini hao madiwani. Na inavyosemekana ni lobbying za Musukuma. Maana Halmashauri nzima...
  13. Mtoto wa Mama Samia

    Swali Gomvi: Korona 2.0 kwani Rais Magufuli ni mbia wa maisha yenu?

    If Jiwe thinks that he knows very well how to play gambling , let he go to Casino but stop his stupidity of playing on people s lives.
  14. Mtoto wa Mama Samia

    #COVID19 Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Ni kama vile Jiwe ame bet maisha ya Watanzania. Kwa akili ya Jiweanaweza kuwa anajisemea, " Tanzania kuna raia million 60, hata wakifa one million, NOT BAD! " Jiwe roho yake ngumu mnoooo
  15. Mtoto wa Mama Samia

    Shinyanga: Suma JKT waagizwa kuwachukulia hatua Walinzi wake waliompiga raia Hospitalini

    Mbona DC nu kama anafanya comedy?! Ilitakiwa aje na adhabu straight. Mamlaka anayo. Awaagize mabosi wa huyo mlinzi wamwajibishe. Before camera alitakiwa kusema nimeshauagiza uongozi to do this and this. Mim binafsi nina hasira mnoo na hao SUMA..kuna siku pale HOSPITAL ya Mkoa Simiyu alimanusura...
  16. Mtoto wa Mama Samia

    Kutovunjwa hoteli ya Desderia na Mikakati ya Serikali ya Magufuli

    Magufuli yupo rough sana! Tuna Rais wa ajabu our country has ever had. When his term ends every citizen will get a relief
Back
Top Bottom