Search results

  1. Melvine

    Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Dodoma ndio maana ipo katikati ya Tanzania yaani popote inafikika bila tatizo. Imagine ingekua Dar na wewe upo Kagera mpakani mwa Uganda na unahitaji kwa haraka 'medical attention' kwa upande wa fuvu lako. Daaah
  2. Melvine

    Ifahamu Iran na Maendeleo yake (Technology and Manufacturing)

    40% ya taarifa humu ni uongo ndugu yetu Venus Star na kwasababu tayari mkuu Scars tayari ameshakuumbua kwa 20% basi ibaki ivyo nisichangie kitu maana nitapoteza maana ya 'thread' yako. Sio mbaya umejaribu lakini kuweka picha nzuri za warembo na zitasaidia watu katika shughuli zao za baadae.
  3. Melvine

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    betPawa. KG1CHV Ni Odds 15 hizo
  4. Melvine

    Daaah, bodaboda bodaboda...inauma sana

    Unaweza jiuliza kwenye 'lane' hiyo alifata nini ila unaweza kosa majibu ya haraka.
  5. Melvine

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    M2Y7KFP betPawa...weka pesa ndefu baadae midnight unishukuru.
  6. Melvine

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Muhindi bhana ukiweka hela nyingi anakimbia ila ndogo ananasa...kudadeki zake
  7. Melvine

    U Rwanda rwanze umuceri wavanywe muri Tanzania

    U Rwanda nigihugu gito cyane kandi muburyo bumwe cyangwa ubundi, niba abayobozi bacyo babonye ko ibintu byifashe, cyane cyane ibyo bibazo byimibereho, nibyiza ko bareba abaturanyi babo nkatwe abanya Tanzaniya kugirango babafashe/ubufasha bwimibereho. Basaba gusa infashanyo yibiribwa aho kubona...
  8. Melvine

    The DaVinc code by Dan brown; Part 1

    Kumekucha
  9. Melvine

    Tatizo sio CCM na wala tatizo sio mchakato wa uchaguzi yaani upigaji kura, tatizo ni wapiga kura wa vyama hivyo vya upinzani

    Unapozungumzia Demokrasia ni ile hali ya mtu kuchagua au kuchagulia, fairness, ulingo sawa wa kufanya shughuli za kisiasa, vyama kuwa na mchakato wa ndani wa kutafuta wawakilishi wao katika nafasi mbali mbali za uwakilishi katika levo tofauti tofauti za chaguzi. Demokrasia ni uwanja mpana na...
  10. Melvine

    Vyama aina ya CCM huwa havitoki madarakani kwa sanduku la kura

    Tatizo kubwa la wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani ni kutokupiga kura siku ya uchaguzi. Huwezi mkuta mfuasi/mwanachama wa CCM siku ya uchaguzi asiende kupiga kura. CCCM wana wenyeviti wa mashina katika kila mtaa na kila mtaa una shina la CCM, wapinzani wanaanza kupigwa bao hapo kwenye...
  11. Melvine

    Daktari binafsi wa hayati Rais Magufuli Prof. Mabula Mchembe yuko wapi?

    Baada ya aliyekua CDF wetu kipindi cha mwenda zake na kuzungumza katika kumbukizi ya Hayati Pombe Magufuli najiuliza uyu Dokta yupo wapi kwa sasa? CDF aliyepita kaongea mengi na yakufikirisha kwa mantiki ya viongozi kadhaa kutokujua katiba yetu inasema/inataka nini kwa tukio kama lile...
  12. Melvine

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee wenzangu nimerudi tena. Here we go...betPawa code D4A23CD Game zinaanza saa11 jioni hii. Chambua, punguza timu labda ila kikubwa zaidi weka pesa yakutosha na umpige muhindi...wale wakongwe wenzangu wanajua kabisa ukila njoo utoe shukrani.
  13. Melvine

    Kama kungekuwa na simu mbinguni ungempigia nani kumsalimia?

    Baba yangu...i miss him so much
  14. Melvine

    Kama haujawahi kunywa energy drinks Hongera na Jiepushe nazo. Kama umezoea kuzitumia Tafadhali weka mpango wa kupunguza na kuacha

    Umenena vyema ila ulichokosea ni hiyo 'attachment' yako...iko kinywaji cha pembeni kulia sio Energy Drink.
  15. Melvine

    Video: Ndege inayoaminika kubeba kundi la Wagner 140 yalipuka Mali, Afrika

    Na nyongeza hapo hapo...angalieni ilo vumbi si kubwa kiivyo ila mara paaap vumbi kubwa na moto. Kwangu mimi video hiyo iko edited kwa 100%
Back
Top Bottom