Baada ya mvua kubwa kuunguruma juzi jijini dar, kibanda changu nilichoozeka bati ya "msouth" kina vuja sana, (nafikiri mafundi walifanya mchezo mchafu kujifunzia kwenye paa langu wakati wa kuezeka).
kibanda changu nimeezeka lakini bado sijakipiga dari, hivyo naomba wajuvi wa mambo ya ujenzi...
Watu wengi hudhani uwekezaji wa mashamba ya miti unalipa kirahisi, sio kweli. Ni kazi ngumu na risk kubwa ni MOTO, yaani omba moto usiingie kwenye shamba lako la miti maana utakufa kwa presha ile miti ya pines inawaka kama imetiwa petroli.
Mkuu MalafyaleP
naomba kuulizwa swali moja, kwamfano ninafuga shambani na mteja anataka kununua nguruwe kutoka kwenye zizi wakiwa wazima kwa ajili ya kupeleka machinjioni, je gharama ya nguruwe unaipima namna gani, kwa makadirio tu kwa kila nguruwe, ama kwa flat rate, ama kwa liveweight? Na...
Mkuu una tatizo kama langu, na mimi napata ujumbe huo huo
Mkuu mi natumia iPad Air, niliichakachua kwasababu iPad haisupport whatsap, lakini kila nikijaribu ujanja niliotumia kuchakachua inagoma. Vipi una maujanja yoyote ambayo unafahamu mkuu?
Mkuu naona umevitundika hapo kwenye avatar yako, naomba tafadhali unipe mchanganuo wa vifaa na gharama ya ufundi wa plumbinh, kibanda changu kipo katika hatua za kuingiza maji ndani
Watu wengine kwa ubishi wa vijiweni hamjambo, nakwambia gari tumeliona na ZERO point ZERO kilometa mnabishabisha ovyo ovyo mmekalia google google, mie nimeliona kwa macho nyie mliyaona google (inamaana google mnaiamini kuliko akili zenu). Basi ni sawa
Mkuu testing hazifanywi kwa gari zooote kila moja, isipokua inafanyika kwa sampling ya kila production batch, na kumbuka gari inatengenezwa kwa mitambo sio mkono wa mwanadamu
zero kilometa zipo mkuu hata ukienda DT Dobie au CFAO unapata! Ukitaka gari ya 0 kilometa basi haitatembezwa barabarani...
Sawa mkuu, kwahiyo nikitaka kumla pamoja na familia yangu mezani itabidi kila mwana familia ale kware wake peke yake! Hahahahaaa kware kumbe ni kitoweo cha kitajiri kumbe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.