Search results

  1. M

    "Moto umewawakia, hawawezi kuuzima" - Mengi

    Kwa kweli haya ndio mambo ya siasa. lakini tuwe makini kwani tunakoelekea sio kuzuri. hesima ni kitu muhimu sana katika jamii yeyote. Viongozi na sisi wananchi ni lazima tuheshimiane. Mambo ya kuchafuana sio mazuri. Ninamuheshimu sana Mengi na ninaamini kuwa sisi bindamu wote tunaupungufu katika...
  2. M

    Peacock hotels na unyanyasaji wa kijinsia

    Dada unatia aibu wanawake wenzako. Sasa kama wewe umesoma kuliko huyu mzee wa Peacock mbona hukutafuta kazi kwingine ambako hawaendekezi Ngono? Wewe hukwenda Peacock kuajiriwa, ulikwenda kutafuta mabwana na hao wenzako mliozalishwa na kama mnauwezo mzuri wa kufanya kazi. Hivi kweli wewe umesoma...
Back
Top Bottom