Search results

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    Kampeni ya Mama Paka ina lengo la kutokomeza mnyama aitwaye paka nchini Zanzibar

    Paka wengi wa Zanzibar ni majini. Tutaona mwisho wa hii kampeni ni upi?
  2. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Tumtolee Mungu matoleo, mnatoa sadaka, halafu zinamfikiaje Mungu? Utajibiwa ni mishahara ya watumishi wake.
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Ndio maana hamna dini ya kweli wala ya haki. Zote zilienea kwa kuuwa watu wasio na hatia
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Bado nasisitiza Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Tulianza kumuabudu Mungu kabla hata dini hazijaja. Wanyakyusa Mungu wanamwita Kyala, Wasukuma wanamwita Seba, Wanyihaa wanamwita Mulungu. Wazee wetu walimwomba Mungu naye akawajibu kabla hata dini hazijaja. Dini zimeleta uongo mwingi na...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Nime quote andiko gani Mtukutu wa Nyaigela ?
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    Nakuwa na maamuzi ya kusitasita kuolewa tena tangu ndoa ya kwanza inishinde 2021

    Mmeonjana tayari? Usijali. Sikiliza moyo wako mama. Moyo ukigoma, usiulazimishe. Kama jamaa amesha onja, ingia kwenye maombi ya toba na kujitakasa. Mungu wetu aliye mwingi wa rehema atakusamehe, nawe utapata amani ya moyo wako.
  7. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Hebu swali rejesha kwako, halafu andika jawabu lako hapa
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mlionielewa, nisaidieni kutengeneza playlist moja hatari

    Crazy GK- Kosa langu Mwana FA- Wakati umelala Sugu- Hayakuwa mapenzi Uswahilini Matola- Kosa la Marehemu Jay Mo- Mawazo Adili Chapakazi- Peke yangu Fid Q- Sihitaji Marafiki Solo Thang- Homa ya Dunia Kikosi cha Mizinga- Tunasonga Juma Nature- Jinsi kijana
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mungu na dini ni vitu viwili tofauti. Mungu hasomi wala haandiki

    Mungu ni asili, yeye ndiyo chanzo cha vyote vinavyoonekana na visivyo onekana. Ili Mungu akure maarifa, hana haja ya kukuandikia kiatabu. Jiulize maarifa makubwa waliyonayo wanyama mbalimbali, wameyasoma kwenye kitabu gani kitakatifu? Mungu yupo, hasomi, haandiki, wala hana dini. Dini ni...
  10. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Anaweza hata kukusingizia unaficha bunduki na meno ya tembo ndani, alipoona uhalifu wako ndipo ukampiga na kuvihamisha hivyo vitu huku ukimtisha kwamba akifichua siri ndio mwisho wa maisha yake!
  11. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Hajakwambia Putin alimwomba aende Marekani akamuombe Joe Biden ampunguzie vikwazo vya uchumi?
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

    Wanajua sheria, wana uzoefu na viapo. Kwanini wanakubali kanisani kuapa kwamba tutaishi pamoja kwenye shida na raha, nitakuwa mtiifu hadi kifo kitutenganishe?
Back
Top Bottom