Search results

  1. J

    Viongozi wa Kijamii fanyeni maandamano ya kumtia moyo Rais Magufuli kwa kuwatetea wanyonge

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisa na misharaha pia mizuri hata bodi ya mkopo wanakata 5% sasa....anastahili pongezi haswa.
  2. J

    Misaada ya EU imerudi kwa masharti yaleyale, japo....

    Kwahiyo hizo hela hazitoki mpka masharti yatimizwe sio.....haya popcorn [emoji897] please....Kweli mfa maji haishi kutapatapa....its not even a 2years mshaanza kurudi nyuma,ziko wapi zile kauli za kibabe....shikamoo wahenga aisee walisema usitukane mamba kabla hujavuka mto.
  3. J

    Misaada ya EU imerudi kwa masharti yaleyale, japo....

    Utajiri upi unaouongelea mwenzetu??? Maana kama tumemezeshwa sisi ni nchi tajiri ila tuna shida kila siku....unazungumzia utajiri wa roho nini ndugu[emoji848]
  4. J

    Misaada ya EU imerudi kwa masharti yaleyale, japo....

    [emoji15][emoji15][emoji848][emoji848] hili linanipa walakini...ni nini tumewaahidi hawa wahisani mpaka wamekubali kutufadhili baada ya sisi kujidai tunaweza bila wao....we are in deep shit i can tell.
  5. J

    Itashangaza sana kama bado Lowassa na Sumaye wanaendelea kupokea masurufu ya Ustaafu

    Jamani alijiuzulu uwaziri mkuu na alibaki kuwa mbunge....kwahiyo hayo malipo alistahili kwa kuwa alikuwa akikatwa hela za pension...na anastahili benefits nyingne kama mbunge....[emoji23][emoji23][emoji23]
  6. J

    Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Hahahhaha utakuta waliofanya uhalifu walishafika iringa siku ile ile....watu mnahangaika na wana mkuranga....issa shame
  7. J

    Jeshi la Polisi lafanikiwa kuwaua majambazi wanne na kurejesha baadhi ya silaha zilizoporwa

    Hata waziri wa mambo ya ndani alisema aliyemnyooshea silaha ya moto aliyekuwa waziri wa habari ameshapatikana na anashikiliwa na jeshi la polisi ila haikuwa hivyo.....Trush shall set you free....SMH, ujangili dhidi ya askari wetu inabidi ukomeshwe...rambirambi zangu kwa familia za askari...
  8. J

    Uhalisia wa taifa la Israeli

    Wali zuri,ina maana waisraeli hawakufanana na wajerumani kabisa na ikawa rahisi kuwapoint kwenye community....this has led me to believe hawakuwa weupe...[emoji848][emoji848][emoji848]
  9. J

    China na Korea Kusini zimeionya kuiadhibu Pyongyang iwapo itarusha kombora lolote

    Affairs of the states in international arena is a complex matter....there is no permanent friend/enemy in politics....just interests
  10. J

    Siri ya Watoto Mazezeta Kwenye Biashara za Wahindi Hapa Tanzania

    Faiza amesema madeformation akimaanisha deformations kwa wingi wake na sehemu ya cross breed amejichanganya tu ni inbreed.
  11. J

    Nape Nnauye na Hussein Bashe kuweni waelewa

    Mchangiaji hapo juu umeongea mawazo yangu....it makes me wonder....uongozi hautakiwi kukosolewa[emoji848][emoji848]??? Sio kwenye nchi ya kidemocrasia .jamani hizi sio zama za wafalme.
  12. J

    Kungekuwa na uwezekano ningepiga kura yangu kwa Rais Magufuli kabla ya 2020

    Not today satan....abeg leave me alone[emoji850][emoji850][emoji850][emoji850][emoji850]
  13. J

    China na Korea Kusini zimeionya kuiadhibu Pyongyang iwapo itarusha kombora lolote

    Wameshindwa miaka yooote wataweza leo....jeuri ya marekani ni sababu vita haijawahi kuanzia kwao....wasubiri wakiwa wanapigwa kwao ndo tuone wanajidefend vipi ...ile 9/11 mpka leo wanaiongelea hawajui vita haooo Wanahofu n.korea na hizo nuclear weapons program ipo siku zitatua marekani ndio...
  14. J

    RUSSIA na IRAN wasema Watajibu kama US wakivuka Mstari mwekundu kwa Mara nyingine

    Kuwa unpredictable ndio silaha ya kwanza kwenye art of war...ndo maana usa wamekaa miaka ya kuhesabu south korea pale DMZ na bado wameshindwa kuidhibiti north korea...na china imewashinda kabisaaa,maana crimes against humanity zinazoendelea china si za kitoto....ndo maana wanaishia kumake empty...
  15. J

    RUSSIA na IRAN wasema Watajibu kama US wakivuka Mstari mwekundu kwa Mara nyingine

    Hii ya USA kuvamia syria ni ku provoke russia,n.korea ili wattack since syria ni allies wao....ili kwanza kupima uwezo wa silaha zao....i have strong reasons to believe kwamba hata zile biological weapons zilizotumika hazikutoka syria ....kila nchi duniani inaweka interest za taifa lake mbele...
  16. J

    Roma Mkatoliki usiposema ukweli kesho, wakatoliki halisi tutausema Jumanne

    Pale mtapojua hii series sio ya kwenye tv tuu...ndio akili itawakaa sawa
  17. J

    TLS: There are those who believe that because they are in positions of power we must agree with them

    We will all perish due to our lack of wisdom...#sad i have gone over and over the article (its long,it has to be an article) my learned brother i salute you...you have outlined our concerns regardless of the era of silence we are forced to live in, the rule of law must prevail to enable...
Back
Top Bottom