Mimi huwa siku zote siwaamini wana siasa ni Waongo hata kama angelikuwa ni baba yangu mzazi ni mwana Siasa Nisingelimwamini hata kidogo Walikuw akila siku wanatuambia eti treni ya Mwendo wa kasi kumbe walikuwa wanatuongopea wanatufanya sisi Wananchi kama watoto wa kuwazaa Ahhh kazi kweli...
Jioni moja, baba yangu alisema: Mwanangu
Ninakufa na hivi karibuni nitaondoka
Lakini kabla ya kuaga kwangu mwisho:
Nisikilizeni. Na unisikie vizuri
Fanya chochote unachotaka kufanya
Kuwa na mpango au tembeza kete
Lakini jambo moja ni mwiko madhubuti
Tafadhali, fuata ushauri wangu
Usiwahi google...
One evening, my father said: My sonI’m dying and soon I’ll be goneBut before my final farewell:Hear me. And hear me wellDo whatever you want to doHave a plan or roll the diceBut one thing is strictly tabooPlease, follow my adviceNever google your symptomsThat is my only prescriptionYou get a...
Kutopima hakusaidii wewe kupona Maradhi yako. Bora kupima ujijuwe unao Huo Ukimwi au hauna na hata kama unao huo ukimwi dawa ya kutibu huo Ugonjwa ipo nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona maradhi yako uguwa pole.
🇿🇦🇿🇦 MZEE BABA🇿🇦🇿🇦
Ndugu watanzania mabaharia watafutaji na wanaharakati.......
Kwa masikitiko makubwa tunatangaza kifo cha ndugu yetu manzania mwezetu Michael aka Mike......
Mike Tanzania anatokea kinondoni......
Ndugu watanzania mike aliamisha makazi yake kutoka Tanzania na kuelekea...
Watoto wetu wa Shule Wakila Maharage ya michele iliyo ongezwa Virutubisho watapata Madhara kama hawa Kuku wa kisasa ona hizo picha hapo juu.
Je, kuna madhara yoyote ya kula nyama ya kuku wa kisasa kwa muda mrefu?
Madhara yapo mengi kiafya.
1.unapunguza uwezo wako wa kufkiri maana kuku hao...
Hao TBS Maboss wao wanakula rushwa tutamkumbuka Hayati Rais Magufuli alivyokuwa akisema kila wakati hataki mchezo na wala Rushwa. Na Rais Magufuli ana waonea huruma Wananchi wake lakini viongozi wetu wengi wao wanajali pesa kuliko Afya za Wananchi Wao. Tutaisoma Namba mpaka Mwisho wa dunia...
Fortified foods are foods that have had additional vitamins, minerals or other nutrients added to them. These nutrients are added to help people meet their daily recommended intake of these essential nutrients. However, consuming too much fortified food can have some negative effects on your...
Mimi Sikubaliani na uamuzi wa TBS Wameshapewa Pesa na hao walioleta hiyo misaada yenye madhara kwa watoto wetu kwa ajili ya afya zao za baadae kwanza kuna madhara makubwa kabisa kwa hivyo vyakula vilivyo tengenezwa Virutubishi kwa afya ya binadamu Soma hapa chini👇
What are the risks of...
wewe una chuki zako Hayati Rais Wetu Mchapa kazi RIP Magufuli chuki zako hazito kusaidia kitu unazungumza maneno ay pumba .
Kidini unapata dhambi na utaingai motoni kwa kumsema maiti Mungu atakutia Motoni na kukuadhibu ahapa hapa duniani kabla ya kifo chako kwa kumsema vibaya Maiti. Ukitaka...
Can you imagine what Americans and Europeans are teaching their students in school? This is Erasmus university in Netherlands. How I wish this will get to the ears of our kids & parents? I wept inside for the future of Africans & the generation unborn when I listen to this.
Pendeleeni kupewa misaada itawaponza sana iko siku wanaotoa misaada nao watataka na nyinyi muwalipe fadhila sijuwi mutawalipa kitu gani? Ukizoea kusaidiwa ipo siku itabidi ulipe fadhila je utalipa kitu gani? jiulize halafu upate jibu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.