Search results

  1. K

    Huyu ndiye atakayemchapa flord mayweather september 12, 2015.

    Name: Andre Berto Birth Name: Andre Mike Berto Born: 1983-09-07 (Age:31) Birthplace: Winter Haven, Florida, USA Hometown: Winter Haven, Florida, USA Stance: Orthodox Height: 5′ 6½″ / 169cm Reach: 68½″ / 174cm Boxing Record: (W 30 (KO 23), L 3, D 0)
  2. K

    Msaada: Tofauti ya Diploma na Ordinary Diploma

    Naomba kufahamu tofauti kati ya Diploma na Ordinary Diploma! Je! Alafu mwenye Ordinary Diploma anaweza kuendelea na Chuo kikuu through ''direct entry''? Ni hilo tu wadau, msaada wenu plz!
  3. K

    Ukiritimba wa vituo vya kuwasaidia ''mateja''

    Tatizo ni nini? Ni kweli hivi vituo vipo kwa nia ya dhati kuwasaidia hawa waathirika wa madawa ya kulevya? Ni dalili ya vigogo wa Madawa ya kulevya kuanza kuviangamiza hivi vituo ili kupata wateja zaidi? Ni kweli serikali inafuatilia hili tatizo au haipati malalamiko yoyote kutokana na huduma...
  4. K

    Haya kumekucha!

  5. K

    Video: Mayweather, Siwezi kusaidia Afrika kwa sababu haina mchango wowote kwenye mafanikio yangu

    Bingwa wa masumbwi Floyd Mayweather katika moja ya mahojiano yake anaeleza kuwa hawezi kuchangia chochote Afrika kwa sababu Afrika haina mchango wowote kwenye mafanikio yake. Mayweather akaenda mbali zaidi na kusema yeye hana asili ya Afrika lakini sio Mwafrika na wala hana mpango kuishi Afrika...
  6. K

    Hivi kwanini mtumiaji wa bima ya afya ananyanyasika kiasi hiki

    Nimeshuhudia kero, manyanyaso, bugudha na kejeri za hali ya juu anazopata mteja/mgonjwa kutoka kwenye vituo vingi vinavyotoa huduma matibabu kupitia bima ya afya, na kuonekana kwamba mtu umeenda kuomba msaada wakati kila mwisho wa mwezi fedha ya mchangiaji inakatwa. Hii si sawa hata kidogo...
  7. K

    Siku tisini zatolewa msalaba kuondolewa

    Jaji Larry Burns aagiza msalaba uliopo katika mlima soledad, San Diego, Calfonia, U.S.A kuondolewa mara moja ndani ya siku 90. Hii ni baada ya kusoma hukumu yake siku ya alhamis ya wiki iliyopita, na kusema kuwa uwepo wa Msalaba huo kwenye ardhi ya umma ni kinyume na katiba ya Marekani. The...
  8. K

    Tusiwauwe na kuwachoma moto mateja

    Namini sote ni mashuhuda wa matukio ya kuona vijana, wadogo zetu, rafiki zetu wakipoteza maisha kwa kuuwawa kikatili na kuchomwa moto na watu wanaodaiwa kuwa ''wananchi wenye hasira'' kwa makosa kama kupora simu, kuiba koki za bomba na vitu vingine ambavyo kwa hali yeyote ile ukitafari kile...
  9. K

    Diwani wa CHADEMA anusurika kupata kipigo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali

    Diwani wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wa kata ya Tai Halmashauri ya wilaya ya Rorya, Christopher Masiori amenusurika kuuwawa na wananchi wenye hasira kali baada ya kufumaniwa akivinjari Gesti na mke wa mtu. Source : Mtanzania 25/07/2023
  10. K

    CHADEMA haikushinda imetetea viti

    chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimetakiwa kujitathimi na kuacha kuendelea kupiga mayowe kwa kile wanachokisema kuwa ni ushindi wa kata nne katika uchaguzi mdogo uliofanyika Arusha, wanaharakati mbalimbali wamekisihi chama hicho kuacha kushangilia kwani hakuna chama kingine (ccm...
  11. K

    CHADEMA yakaidi agizo la serikali

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) cha kaidi agizo la serikali la kusitisha mpango wake wa kuwapatia mafunzo vijana kwenye kikosi maalum kwa ajili ya kukilinda chama na jamii kwa ujumla. source: Chanel 10
  12. K

    Mchungaji ahukumiwa kwenda jela miaka 3o na viboko 12

    Hakimu wa Mahakama ya wilaya ya Mbeya Mhe. Gilbert Ndeurou amemuhukumu Mchungaji wa kanisa la Evengical Assemblies of God Tanzania (EAGT) Mch. Daniel Mwasumbi (57) kwenda jela miaka 30 na kucharazwa viboko 12 baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka na kumsababishia ujauzito na kupelekea kumuharibia...
  13. K

    Tunduma: Jeshi la polisi lawasaka mchungaji na diwani

    Jeshi la polisi linawasaka diwani wa kata ya Tunduma Mhe.Frank na kiongozi wa kanisa la KKKT mchungaji Neema kwa tuhuma za uchochezi wa kidini na kusababisha taharuki na vurugu kubwa na hasara ya uhalibifu wa mali, Aidha Jeshi la polisi mbaka sasa linawashikilia watu kadhaa waliosadikiwa kuleta...
  14. K

    Polisi zanzibar waagizwa kumsaka mtu aliyemuua padri mushi

    Polisi Zanzibar waambiwa kuwa mtu waliyemkamata hausiani na mauaji ya Padri Mushi hivyo wanatakiwa kumsaka mtu aliyehusika na tukio hilo la mauaji, taarifa hizi zimekuja mara tu baada ya mtu huyo kufikishwa mahakamani leo Zanzibar. source: ITV
Back
Top Bottom