Search results

  1. Hulbjd

    Chukua tahadhari kabla ya kulizwa

    Kuna mchezo umeanzizwa kwenye mtandao wa kuuza na kununua vitu huu mtandao ni maarufu sana. Juzi ametoka kulizwa mtu na hao matapeli wanatumia namba ambayo haionyeshi jina na inapiga kazi hadi sasa.. Nawashauri watu wanaotumia mitandao kuuza vitu vyao wawe makini sana na hao watu kwani...
  2. Hulbjd

    Lady Jaydee: Clouds FM ni wanafiki, wanataka wahongwe ili wapige nyimbo za wasanii

    Hii redio itakuja kufa kifo cha mende.. Huu ni mwanzo tu baadae wasanii wote watawachukia kwa UBAGUZI WAO.
  3. Hulbjd

    Kuna ubaya gani House girl akiwa na mahusiano ya kimapenzi na mwanao?

    Mimi sioni mbaya kama kuoa au kuolewa wafanye maandalizi ya ndoa tu
  4. Hulbjd

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Kwa kukuongoza 2015
  5. Hulbjd

    Kura ya maoni: Edward N. Lowassa v/s Bernard K. Membe

    Sina comment hapo.. Chadema 4rever
  6. Hulbjd

    Madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Sasa hapa dr ni nani maana naona kama sioni jibu lililo sahihi
  7. Hulbjd

    Sheikh Ponda akamatwa Dar!

    Hakuna Mungu wa mambo ambayo si mema....ahsanteni kama mmenielewa.
  8. Hulbjd

    Kama darasa

    Asante sana Baba v
  9. Hulbjd

    Kama darasa

    Nimependa sana hii web,, na nimejifunza mambo mengi sana wakuu, kwakweli mchango wenu ni muhimu sana, nawaomba tuzidi kusaidiana
  10. Hulbjd

    MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Dah kwakweli Mungu awabarikini sana wakuu.... Yaani hambagui mtu kwakweli .'na endeleeni na moyo huwo huwo
  11. Hulbjd

    Morogoro: Viongozi wa CHADEMA wakamatwa na polisi, vurugu zaibuka!

    Chenye mwanzo kina mwisho .'na mwisho wa ubaya ni aibu
  12. Hulbjd

    msaada:mobile tv

    Mambo ndo haya
  13. Hulbjd

    MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Kaka unadownload vp maana kidogo sijakupata
  14. Hulbjd

    MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni njia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashindwa kwa...
  15. Hulbjd

    MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni nyia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashindwa kwa...
  16. Hulbjd

    MSAADA WA KUSIKILIZA RADIO INTERNET KWA NJIA YA SIMU YA MKONONI {Nokia}

    Wakuu poleni na uchovu wa siku, natumaini kila mmoja humu yupo mzima wa afya na kama yupo anayeumwa basi tumwombeeni aweze kurudi hali yake ya mwanzo. Wakuu mimi ninatatizo la kutoelewa ni nyia gani mzitumiazo kusikiliza redio za internet, mfano napenda kusikiliza timesfm.co.tz ila nashinda kwa...
  17. Hulbjd

    Msaada wa kusikiliza radio internet kwa njia ya sim

Back
Top Bottom