Search results

  1. K

    Makapuku Forum

    Jengo la Makao Makuu linabomolewa, hivyo wafanyakazi wapo busy kuokoa mali na sio kusimamia huduma za grid ya Taifa. Wasilaumiwe wao kwa kuvibadilisha vipaumbele vya kazi zao katika kipindi hiki.
  2. K

    Masaki, Dar: Adam Malima atishiwa kwa Bunduki, Risasi zarindima kama Njugu

    Kuna clip inayotembezwa kwenye WhatsApp inayoonyesha hilo tukio. Inaishia na Mhe. Malima kulazimishwa kuingia kwenye gari la polisi.
  3. K

    Explosion In New York, 29 Injured In Manhattan Explosion

    Jamaa ameshakamatwa tayari: http://www.breakingnews.com/i/EADa
  4. K

    Kinara Wa Mil.7/= Kwa Dakika Sasa Afikisha Makosa 383

    Alishawahi kukamatwa na kudhaminiwa ili waisubiri kesi kuisikilizwa, lakini akaitumia fursa hiyo ili kutoroka. Ikabidi asakwe hadi akakamatwa upya maeneo ya Iringa, akiwa anakimbilia mipaka ya kusini, kwa maana ya kuelekea kwenye nchi zilizo nje ya EAC. Ni hafadhali mashtaka yake yatajwe tu...
  5. K

    Mkuu wa Wilaya Serengeti aliyeteuliwa kimakosa aaibishwa kwa kutolewa nje ya Ukumbi Ikulu

    Namuonea huruma huyo jamaa. Amepokea pongezi nyingi, kisha akaaga nyumbani ili akale kiapo. Ndugu, marafiki na jirani zake wanamuona amekaa pale Ikulu, na ghafla anatimuliwa kama vile amefanya makosa yeye. Kweli anastahili kupewa heshima zaidi ya hapo, na angalau kulipwa fidia kwa usumbufu na...
  6. K

    Naomba ushauri kuhusu huyu msichana

    Ushauri wa kusoma kwanza ni sahihi kabisa. Tena umwambie huyo msichana kwamba huna muda wa ku-spend nae kwa sasa kwani masomo ni magumu mno na mitihani inakaribia. Ila hapo isije ukawa kila siku unakula starehe za mjini.
  7. K

    Huduma ya Internet ikikosekana wakati wa uchaguzi, itakuwaje?

    Pamoja na yale maelezo mazuri ya Mdanganywa katika mada hii, tuyatafakari pia haya ya ziada: 1) Hizi huduma za WhatsApp, FaceBook, Twitter, nk. hazitegemei tu upatikanaji wa Internet kwa njia ya simu zetu za viganjani. Wale wenye direct Satellite link wataendelea kupokea mawasiliano yao ya...
  8. K

    Sababu zilizosaidia ndege ya Nkurunzinza isitunguliwe Bujumbura

    Mbona hiyo ZS-OPR imefutwa usajili wake tangu 2004: http://www.airport-data.com/aircraft/ZS-OPR.html
  9. K

    TANZIA: Brigedia Jen. Mstaafu Hashim Mbita, amefariki Dunia

    Poleni sana wanafamilia wote wa Marehemu Brigadia Generali Hashim Mbitta.
  10. K

    Hongera Idris kwa USHINDI BBA

    Hongera sana Idrisa!
  11. K

    Simu yako ya kwanza ilikuwa ipi?

    Nokia 2010 (mwaka 1996?).
  12. K

    Obama hosts leaders of four African countries...

    Kwanini iwe hoja iwapo JK hakualikwa? Afrika ina nchi 50 na BO halazimiki kujifungia kwenye nchi hii ya kwetu tu.
  13. K

    Zanzibar: Padri auawa kwa kupigwa Risasi!

    Taarifa zaidi zinaweza kupatikana hapa: http://kajunason.blogspot.com/2013/02/padre-evaristi-mushi-wa-kanisa-la-mtoni.html?m=1
  14. K

    Kunanini leo

    Kwani kuna chochote kilichotokea huku Tz? Ile filamu iliyoleta hasira ni ya kipumbavu mtupu, na aliyeitengeneza atashtakiwa hata na waigizaji, kwani alibadilisha maneno waliyotamka ili kuchochea hasira za kidini. Mhusika ameshapatikana na ni mtapeli fulani kutoka Misri aliyesuka mpango huu...
  15. K

    SimbaNET Hooks into SEACOM

    Inasikitisha kuona jinsi baadhi yetu tunavyoendelea kulalamika wakati tumepewa fursa nzuri ya kufurahi na kupongezana kwa haya maendeleo ya msingi. Tunapaswa kuwa tunafurahi pamoja na ndugu zetu walio wateja wa SimbaNET bila kuwa na wivu wala usongo, kwani katika siku za usoni wenzao...
  16. K

    Fighting CYBERCRIME in Tanzania

    Let's not let ourselves get distracted from the central topic of this posting. I would argue that the very first thing needed to enable Tz to combat cybercrime is an Act of Parliament (ie. a Law) that identifies activities which constitute a 'cybercrime' and what penalties the Courts can...
  17. K

    MLIMA KILIMANJARO KULIPUKA NOVEMBER-areas such as Marangu, Machame, Himo and Moshi on

    Bluray is correct in everything - thanks to him/her for the info! That article is only good as a perfect case-study of dishonestly misleading journalism whereby hot statements on the cover page are intended to make everybody buy a copy of that paper. Deep within the middle of the article is...
Back
Top Bottom